Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Wakuu mnisaidie jinsi ya ku-sign up Paypal, najaza form vizuri but naona bado inazingua, pia Postal code yetu ni ipi?
Zip code 11000, tumia pc mi mwenyewe ilizingua ila baadae ikakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mnisaidie jinsi ya ku-sign up Paypal, najaza form vizuri but naona bado inazingua, pia Postal code yetu ni ipi?
Nenda na kitambulisho chako chochote chenye picha yako, waambie nataka kufungua akaunti kwa ajili ya online shoping watakupatia fomu ujaze kuna za aina mbili visa cash card tshs.5000 na visa travel money usd 20.kazi kwako
Lakini kama nimeweza kununua kwa kutumia paypal..........kwa nini nisiuze na kupokea hela kwa hiyo hiyo PayPal.........?........
Paypal haijaruhusu tanzania kupokea fedha direct theough paypal.
Tofauti zake ni nin?
Tofauti zake ni nin?
kuna ya TzShs(cash card) na USD(travel money) kwa maelezo zaidi tembelea tawi lao.maana mi natumia simu ningekupa maelezo ya kutosha
Nipo Dar hapa nime upgrade acc yangu ya paypal na 4napokea malipo kama kawaida
Shukrani. Ngoja ni google
Paypal haijaruhusu tanzania kupokea fedha direct theough paypal.
Oooh no........sasa nitafanyaje............?........
Unagoogle kuhusu nini..........?........
Kuhusu Bank ABC na kuna kitu kinaitwa payoneer account
Kwa kutumia kadi gani mkuu? Niambie umefanyaje mkuu
Oooh no........sasa nitafanyaje............?........
Visa cash card ya Banc ABC , log in kwa PC kwenye profile yako utaona sehemu ya ku upgrade paypal account kwa ajili ya kupokea malipo uki bofya hapo utaletewa fomu uijaze ikiwa na sehemu ya kuchagua aina ya biashara. Uzuri wa Banc ABC pesa ikiwa refunded inaingia direct kwenye kadi yako maana namba za kwenye kadi yako ndio akaunti yako hivyo waweza kuwithdraw kwenye ATM yoyote inayosuport visa
Hii ndio point inayonifanya nihame toka CRDB
Visa cash card ya Banc ABC , log in kwa PC kwenye profile yako utaona sehemu ya ku upgrade paypal account kwa ajili ya kupokea malipo uki bofya hapo utaletewa fomu uijaze ikiwa na sehemu ya kuchagua aina ya biashara. Uzuri wa Banc ABC pesa ikiwa refunded inaingia direct kwenye kadi yako maana namba za kwenye kadi yako ndio akaunti yako hivyo waweza kuwithdraw kwenye ATM yoyote inayosuport visa
Hawa jamaa(Bank ABC) wako vizuri tatizo hawajafanya marketing ya kutosha
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.