Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Tatizo wauzaji freight shipping wanagonga parefu wanaweza gonga ata mara 3 ya mzigo wako
 
2879c75156bf7c71af9284ab406ab55f.jpg

App itakuonyesha yote, seller kutumia carrier gani, mzigo umefika wapi n. K

Cable ilikuja kwa Singapore post,kwenye tracking ilionyesha kwanza ilipita Posta ya Kenya then ndio ikaja posta ya Tanzania.

Cover na tampered screen zimekuja na China post kwenye tracking vyote vya China post vimefika Tanzania na ku clear customs tarehe 8 so vilichukua siku kumi hiyo ya singapore post ilifika tarehe 11.

Posta sikupata shida wamenitumia message tarehe 13 yenye namba, nikafika pale nikamtajia Mmama yule namba niliotumiwa kwenye message ya simu akaniletea mizigo yangu bundled pamoja.Nikamuonyesha KITAMBULISHO Akatafuta vikaratasi vyote nikasign aka verify kwenye computer nikapata mizigo yangu.
 
Naweza kutumia slp la taasisi au company na nikapigiwa simu nikachukue mzigo wangu au hiyo mizingo italetwa kwenye company au taasisi niliyopo direct..?
 
Naweza kutumia slp la taasisi au company na nikapigiwa simu nikachukue mzigo wangu au hiyo mizingo italetwa kwenye company au taasisi niliyopo direct..?
Kwenye ofisi bidhaa wanakuletea nimeshuhudia kwenye ofisi ya Bro wangu sijui kama wanaenda kila ofisi.
 
Nimekuja hapa kutoa experience yangu ya Aliexpress nadhani labda itawasaidi, sasa tarehe 29 niliamua kujitosa aliexpress maana kuna bidhaa niliziona eBay sema bei ilikuwa juu kidogo sasa nikadownload application yao ya Android, nikasign up (ilichukua dakika chache sana) nikaanza kwa kununua tempered screen protector, cover ya simu, pamoja na cable usb type c to USB ya kawaida (maana Dar nzima nimeikosa).

Sema ukweli nimepapenda aliexpress maana kwanza wanapayment system yao wenyewe ya Alipay haina shida unajaza tu card number basi simple, pili kwenye review watu wanapost hadi picture so unajua kifaa unacho agiza kutafananaje, tatu bidhaa unaweza kutrack kwenye mobile app pale pale nne buyers wako
fasta sana kujibu matatizo uliyonayo.

Sasa kwenye bidhaa yani nilivyo Agiza na kulipia shipping (ya juu ilikuwa 3$) vyote vimefika Dar tarehe 11 mwezi huu so vilichukua siku 12 na posta wakanitumia message nikachukue.

So kama kuna mtu alikuwa anaogopa ondoa shaka cha msingi soma review za seller, angalia rating na nunua bidhaa yenye buyers wengi kidogo.. Ndio hayo tu.

Hawa wana hata buyers protection km paypal vile
 
Yeah naungana na mdau hapo juu kwamba Aliexpress wako vizuri, nilinunua items tatu, mbili zililifika within 4weeks na nikaenda posta kuchukua at no cost, ila item moja bado, tracking imekuwa ngumu posta wanasema bado haijasifika, ebay nilinunua mashine ya kunyolea kutoka Japan, ilifika ndani ya wiki tatu nayo nikaichukua posta bila shida, kuna risk kidogo na benefits unapofanya online purchase, haf ni vizuri kuwa na akaunti mbili za benki, moja maalum kwaajili ya manunuzi na nyingine kwaajili ya top up
 
Jamani samahani kwa usumbufu .nilikua nauliza jinsi ya kupata verification code kutoka paypal ambayo hutumwa benki mana nimejaribu kuchukua benki statment transaction ya paypal walio kata 1$ haijaonekana ila nilipo ingiza mastercard kwenye paypal nilipokea ujumbe kua pesa imekatwa .nimejaribu kuwauliza CRDB hawajaiona .natumai ombi langu litajibiwa
 
Wapigie customer care waombe wakuangalizie hao staff wa kwenye mabranch hivi vitu wengi hawajui
 
uzi mzuri sana, ukiufatilia toka mwanzo utajifunza vitu vingi.
 
BANC ABCni 15000 na unakatwa kiasi unacholipia tu hakuna makato ya transaction wala nini,mfano,unanunua bidhaa yenye thamani ya Usd 120 utakatwa Usd 120 tu

w
Naomba mtu anayejua portal ya BancABC ninayoweza kuingia na ku-access card yangu. Yaani kuangalia salio na kuona transaction nilizofanya kupitia card yangu. Kwa mfano ya UBA najua ni Login naomba kujua ya BancABC
 
I am expecting to tranfer funds online following purchase of commodities.

As a matters of fact online business is growing faster however the twp parties remain hesitant until compromised.

If anyone know the safe way of online payment.
 
Jamani nisaidieni kuna alishawai kununua kitu kupitia ebay anisaidie kitu kimoja kila nikitaka kununua kitu inaniambia niweke street adreas je adreas ya ile nianayotumia ya ips au nikafungue nyengine apa apa tanzania
 
Jamani nashukuru sana kwa waliotoa maelekezo,nilipata challenge kubwa sana tangu last year kuwezesha DEBIT CARD yangu iweze kufanya online payment,nilianza na NBC nikajaza form wakaniambia tayari lakin kadi yangu ilizidi kuwa declined kila nilipojaribu nikaenda NMB nao wakaleta mbwembwe mara lazma niwe na akaunti ya biashara hatimaye nikafungua acc CRDB jumanne nikaernda kujaza form ya maombi jana nikatumiwa sms kuwa kadi yangu imewezeshwa natakiwa niende kwenye website yao ili nijiunge na huduma ya verified by visa nikakamilisha.Leo asubuhi nimethubutu kuingia aliexpress nikaanza kujaribu USB OTG cable kwa 1.5USD na USB cable nyingine kwa 0.9USD zote zina free shipping nikazilipia badae order zikawa zimeandikwa payment succesful nisubiri 24 hrs for verification,nmimeingia jion hii nikaona payment verified na order imeandikwa awaiting shipment wacha nione kwanza itakavokuwa.Shukrani kwa wote waliotoa michango chanya na kututia moyo amateurs.najaribu ku attach screenshot napata error nikiweza nitaiweka
 
Back
Top Bottom