Sababu ya kuingiza process ya kusajili card (mteja kukubali kutumia kadi kwa manunuzi 'online' ni kumlinda mteja. Akiwa amessjili inakuwa akijuwa kwamba manunuzi Yanayofanywa kwenye internet 'online' ameyaidhimisha kwa hiyo ana wajibu wa kulinda taarifa (namba na namba ya siri ya card) yake. Benki haitakubali kubeba risk ya wateja wake kufanya miamala kwenye internet bila kujua athari za kufanya hivyo! Tunaombavwateja wazingatie 'terms and conditions'
Za kila huduma ili waepuke matatizo! Msibaki tu kulaumu processes/procedures za Benki kwani zote zinalenga kulinda usalama wa fedhaza wateja!
Happy New year!
Za kila huduma ili waepuke matatizo! Msibaki tu kulaumu processes/procedures za Benki kwani zote zinalenga kulinda usalama wa fedhaza wateja!
Happy New year!