Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eCommerce- kwa ufupi, kuuza na kununua mtandaoni. Notable multinational ni kama Amazon, Ebay, Alibaba, Best Buy etc.naomben mnijuze kuhusu paypal coz wengne n wagen wa mambo hayo
Aisee ngoma kali io [emoji39] [emoji39]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nokia 6 nimeipata kwa 650000/=, Smart watch kwa 40000/=
Bei ya bongo ilinishinda simple like that...
mkuu vipi mimi ambaye hata akaunti ya bank sina?na vip kuhusu kufungua akauntiVitu kama hivyo bora kumtumia mtu unayemjua akununulie then kuna njia nyingi zipo siku hizi mfano UK kuna watu wanaweza kukutumia pia bila kuangaika na charge wala watu wa tax wewe mzigo wako unafika bila tatizo....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kwa wewe hizi thread mbili zinakuhusumkuu vipi mimi ambaye hata akaunti ya bank sina?na vip kuhusu kufungua akaunti
nimekuelew mkuu lakin sina account ya back nataka nifungue vipi gharama za kufunguaKwa wewe hizi thread mbili zinakuhusu
KARIBU
Nenda equity bank na 10000/= pamoja na kitambulisho cha kura siku hiyo hiyo upewe kadi iliyo tayari kufanya manunuzi mtandaoni.nimekuelew mkuu lakin sina account ya back nataka nifungue vipi gharama za kufungua
ofisi zao ziko wap mkuuNenda equity bank na 10000/= pamoja na kitambulisho cha kura siku hiyo hiyo upewe kadi iliyo tayari kufanya manunuzi mtandaoni.
DarKwani upo mkoa gani?
Shukran mkuu
Ebay siyo matapeli. Ipo organized sana. Yaani kila utakacho utakipata.
Ila wengi wa wauzaji wanataka uwe na paypal ambayo wengi wa wabongo hatuna au hatujajisaijili na mtandao huo.
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
Habari wakuu,nmependa hii mada kidogo,ninaomba msaada jinsi ya kupokea mzigo kupitia DHL natakiwa niwe na vidokezo gani,Either ili niwe member wa DHL natakiwa nifanyeje na VP kuhus anayenitumia atanipataje kupitia hii DHL,ahsante
JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Fungua kesi ebay, uwe refunded.Habari ya Leo wanandugu, Naomba mnisaidie ushauri, Nilinunua calculator (CASIO FX-9750GII GRAPHING CALCULATOR) tarehe 3/1/2018 katika ebay, Ilikuwa inatoka Lithuania,Europe kuja Tanzania. Kutokana na tracking app ninayotumia (17track) Mzigo uliondoka tarehe 6/1/2018 kutoka ulaya. Tarehe 24/1/2018 mzigo ulifika Johanesburg International Mail Center, SouthAfrica (JIMC, ZAJNBA). Tangu siku hiyo mzigo haujatembea tena hadi leo (16/2/2018). Ila tarehe 6/2/2018 niliwasiliana na seller akaniambia kwamba nisubirie utafika tu. Nimesubiri wee nikaona hapana. Nikatuma email kwa JIMC hakuna majibu mpaka leo, Jana tar 15/2/2018 nikanunua kifurushi cha kimataifa niwapigie, nimepiga weee mpaka salio limeisha lakini hawakupokea. Inavyoonekana mzigo umetumwa kwa ems na Anwani ipo sahihi na destination inaonekana ni Tanzania. Naombeni ushauri nifanyaje?
mkuu vipi kodi baada ya mzigo kufika bongo walikutoza kiasi gani? na mzigo uliupokea kwa njia gani ?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nokia 6 nimeipata kwa 650000/=, Smart watch kwa 40000/=
Bei ya bongo ilinishinda simple like that...
vipi equity bank hawaitaji barua za serikali ya mtaa?Nenda equity bank na 10000/= pamoja na kitambulisho cha kura siku hiyo hiyo upewe kadi iliyo tayari kufanya manunuzi mtandaoni.