Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo hayajaeleweka vyema.wamenaiambià niwatumie track number na mie labda sina au sijui maana ninajaribu kununua vitu Nje,naomba msaada wako tafadhàli
Naomba nifahamishwe jinsi ya kuipata hiyo track number na inatumikajeMaelezo hayajaeleweka vyema.
Je ni msaada upi unahitaji?
Mkuu wasiliana na Seller wako akupatie. Akupe tracking number na courier aliyemtumia kukufikishia item. Ambapo atakupatia na wewe utatembelea website ya huyo courier na kuangalia au kutumia apps kama Delivery kutrack.Naomba nifahamishwe jinsi ya kuipata hiyo track number na inatumikaje
Safi sana mkuu. Hiyo ndio spirit!. Na Safi kwa kuleta mrejesho hapa jukwaani.![]()
![]()
Nawashukuru sana wakuu nmeweza kununua iphone 5s kutoka aliexpress, imenfikia Dodoma bila tabu yoyote, nawashauri na wengine msiogope....
Angalia comment number 80 hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaWakuu nimekutana tana na hiyo bidhaa eBay thamani yake ni sawa 40K So nnimejitosa mazima je kwa uzoefu wenu sijapigwa kweli hapo maana Seller mwenyewe ni mchina.
CC. Mwl.RCT UncleUber Njunwa Wamavoko
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo hapo tayari nimepigwa Isee....Angalia comment number 80 hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Na ufafanuzi nikatolea kwenye comment number 81: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
View attachment 606438
View attachment 606439
Kwa ufupi:
- Ilitakiwa uangalie uhalisia wa bei kwanza.
- Maana haiwezekani item ikauzwa kwa bei ya chini, ambayo hata kusafirishia item tu inakuwa haitoshi- Hakuna bidhaa ya hivyo.
Jipe muda wa siku 5.Kwahiyo hapo tayari nimepigwa Isee....
So nifanyeje?
Jipe muda wa siku 5.
Then fungua shitaka la kuomba refund ebay.
Time will Tell, Tusubiri.
INSHALLAHTime will Tell, Tusubiri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umevaa kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
Wenzetu wametuzidi sana uaminifu.
Kitu kinafika mpaka home
Hahahaha kama kawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] umevaa kabisa
Ebay watairudisha fedha PaypalYametimia ila Nisha fungua Dispute
View attachment 607498