Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kitu kizuri sana hiki, wengi tumepata elimu ya kutosha jinsi ya kufanya manunuzi.
 
Naomba nifahamishwe jinsi ya kuipata hiyo track number na inatumikaje
Mkuu wasiliana na Seller wako akupatie. Akupe tracking number na courier aliyemtumia kukufikishia item. Ambapo atakupatia na wewe utatembelea website ya huyo courier na kuangalia au kutumia apps kama Delivery kutrack.
 
UTB8H8VdXqrFXKJk43Ovq6ybnpXaU.jpg
UTB8tTGrXqrFXKJk43Ovq6ybnpXaf.jpg

Nawashukuru sana wakuu nmeweza kununua iphone 5s kutoka aliexpress, imenfikia Dodoma bila tabu yoyote, nawashauri na wengine msiogope....
 
Safi sana mkuu. Hiyo ndio spirit!. Na Safi kwa kuleta mrejesho hapa jukwaani.
 
Wakuu nimekutana tana na hiyo bidhaa eBay thamani yake ni sawa 40K So nnimejitosa mazima je kwa uzoefu wenu sijapigwa kweli hapo maana Seller mwenyewe ni mchina.
CC. Mwl.RCT UncleUber Njunwa Wamavoko
dkLsiw

j2ijwG

iYnYqb
Angalia comment number 80 hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Na ufafanuzi nikatolea kwenye comment number 81: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
upload_2017-10-10_20-33-24.png

upload_2017-10-10_20-33-45.png

Kwa ufupi:
  • Ilitakiwa uangalie uhalisia wa bei kwanza.
  • Maana haiwezekani item ikauzwa kwa bei ya chini, ambayo hata kusafirishia item tu inakuwa haitoshi- Hakuna bidhaa ya hivyo.
 
Angalia comment number 80 hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Na ufafanuzi nikatolea kwenye comment number 81: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
View attachment 606438

View attachment 606439

Kwa ufupi:
  • Ilitakiwa uangalie uhalisia wa bei kwanza.
  • Maana haiwezekani item ikauzwa kwa bei ya chini, ambayo hata kusafirishia item tu inakuwa haitoshi- Hakuna bidhaa ya hivyo.
Kwahiyo hapo tayari nimepigwa Isee....
So nifanyeje?
 
Yametimia ila Nisha fungua Dispute
View attachment 607498
Ebay watairudisha fedha Paypal

Paypal watairudisha kwenye Bank husika.

Kuna baadhi ya benki - Automatic refund utaipata baadabya saa 72

Na kuna baadhi ya benki - Inakubidi usubiri zipite siku 3 hadi 5, ndipo uende benki kufuatilia au upige simu au utume email ndik fedha yako itashughulikiwa na utaiona katika balance yako.

Utakuja PM uniambie ni benki gani, ili nikushauri jinsi ya kufuatilia.

Karibu
 
Back
Top Bottom