Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Google them, son!
Binafsi sijawahi wasikia, ila fanya utafiti Google, vizuri pia umeulizia hapa, ulizia pia kwenye makundi ya wajasiriamali wa mtandaoni whatsapp. Cha msingi usivutiwe na ahadi zao mpaka uhakikishe wako "legit".
 
NILIPOTAKA KUAGIZA BIDHAA AMBAYO WANASHIP WORLD WIDE NIKAONA SHIP TO TANZANIA HAIPO NAONA US TU WAKATI BIDHAA USHAAMBIWA WANASHIP WORLD WIDE HAPO UNAFANYAJE ILI UWEKE JINA LA NCHI TANZANIA
 
WANASHIP WORLD WIDE NIKAONA SHIP TO TANZANIA HAIPO NAONA US TU WAKATI BIDHAA USHAAMBIWA WANASHIP WORLD WIDE HAPO UNAFANYAJE
- Wasiliana na seller husika, na muombe akupe ghalama ya kutuma Tanzania.
- Pitia HAPA na soma kuhusu masoko kundi B
 
msaada wadau Naweza vp kuweka routing number PayPal nafanya vp kwa kutumia CRDB ?
 
NILIPOTAKA KUAGIZA BIDHAA AMBAYO WANASHIP WORLD WIDE NIKAONA SHIP TO TANZANIA HAIPO NAONA US TU WAKATI BIDHAA USHAAMBIWA WANASHIP WORLD WIDE HAPO UNAFANYAJE ILI UWEKE JINA LA NCHI TANZANIA
Unaweza kuona ni worldwide lakini kunakuwa na some exclusions, yaani seller anaamua kuziexclude baadhi ya nchi kwa sababu zake binafsi mf. Somaria kutokana na insecurities au TZ kwa sbb ya gharama kubwa za kutuma mzigo.
Kama alivyosuggest Mwl R.T.C hapo juu jaribu kumcontact seller muulize kama ataweza kuship kuja TZ akupe gharama.
 
dolly.jpg
🙂Ahsante wanaJF kwa kunifungua macho hatimaye leo nmepokea mzigo wangu wapili but wakwanza kuutia machoni na mikononi.

Nasema ni wa kwanza kuushika kwa sbb niliagza mzgo mwingine lakin seller alikuwa haship kuja TZ
bandicam 2017-05-25 19-13-43-439.jpg

so nikafungua ac viabox.com hawa wanadeal na kuforward mizgo kutoka marekani, unafungua ac online kupitia website yao wanakupa virtual physical address kwny store yao iliyopo portland marekani, I prefer them than other forwarding services kmvle myUS etc(ntaandka full review kama mtahitaji nifanye hvyo)
bandicam 2017-05-25 19-32-14-829.jpg

Japo mzgo now upo kwny store yangu lkn nimekutana na changamoto kubwa moja. gharama za kuship huo mzgo kuja TZ kutoka Viabox ni about marmbili ya gharama niliyoupurchase eBay, too bad!🙁
bandicam 2017-05-25 19-37-51-507.jpg

Ushauri wangu kwenu hasa wale ambao wanaingia huku na wako over excited wafanye investigation yakutosha before hawajaamua kuinvest.
 
Attachments

  • bandicam 2017-05-25 19-13-43-439.jpg
    bandicam 2017-05-25 19-13-43-439.jpg
    71.2 KB · Views: 135
unafungua ac online kupitia website yao wanakupa virtual physical address kwny store yao iliyopo portland marekani, I prefer them than other forwarding services kmvle myUS etc(ntaandka full review kama mtahitaji nifanye hvyo)
Ni vyema ukafanya hivyo kwa manufaa ya wengine pia. Waweza kutumia hii thread Pia: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) ambapo hili limejadiliwa.
Japo mzgo now upo kwny store yangu lkn nimekutana na changamoto kubwa moja. gharama za kuship huo mzgo kuja TZ kutoka Viabox ni about marmbili ya gharama niliyoupurchase eBay, too bad!
Taarifa ya kwanza ambayo ulipaswa kuitafuta kabla ya kuweka order ilikuwa ni
- Jumla ya uzito wa package yote. EBAY ni mara chache kuweka uzito wa mzigo katika maelezo, ila item hiyo hiyo ukiitafuta AMAZON unakuta uzito wake, ndipo ufanye maamuzi ya kununua.
upload_2017-5-26_5-49-44.png

Hivyo unapokuwa na taarifa hizo pichani ni rahisi kujua ghalama za usafirishaji kabla mzigo haujanunuliwa. Asilimia kubwa ya items zote zenye uzito mkubwa sellers huwa hawatumi moja kwa moja kuja Africa (tanzania)
gharama za kuship huo mzgo kuja TZ kutoka Viabox ni about marmbili ya gharama
- Ni sahihi kabisa,
- Ghalama huwa ni kubwa hata kama item ingekuwa na uzito chini ya 1kg
- Hii nni changamoto kwa wote waliotumia HIZI kampuni za USA, pitia hii thread: Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)
Kwa kuzingatia hizi changamoto ndipo nikaja na hizi huduma tatu BUY4ME, PAY4ME, na SHIP4ME
- Kwenye Hii huduma ya SHIP4ME ninakupa huduma kama itolewayo na VIABOX, MYUS, COMGATEWAY etl.
- Ship4me nitaiongezea hapa www.bit.ly/101buy4me baada ya website yangu kukamilika ambapo mtu atajisajiri na kupata virtual address kwenye taifa lolote atakalohitaji kati mataifa zaidi ya 15 ikiwemo USA, UK, GERMANY, JAPAN etl
 
Ni vyema ukafanya hivyo kwa manufaa ya wengine pia. Waweza kutumia hii thread Pia: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) ambapo hili limejadiliwa.

Taarifa ya kwanza ambayo ulipaswa kuitafuta kabla ya kuweka order ilikuwa ni
- Jumla ya uzito wa package yote. EBAY ni mara chache kuweka uzito wa mzigo katika maelezo, ila item hiyo hiyo ukiitafuta AMAZON unakuta uzito wake, ndipo ufanye maamuzi ya kununua.
View attachment 514588
Hivyo unapokuwa na taarifa hizo pichani ni rahisi kujua ghalama za usafirishaji kabla mzigo haujanunuliwa. Asilimia kubwa ya items zote zenye uzito mkubwa sellers huwa hawatumi moja kwa moja kuja Africa (tanzania)

- Ni sahihi kabisa,
- Ghalama huwa ni kubwa hata kama item ingekuwa na uzito chini ya 1kg
- Hii nni changamoto kwa wote waliotumia HIZI kampuni za USA, pitia hii thread: Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)
Kwa kuzingatia hizi changamoto ndipo nikaja na hizi huduma tatu BUY4ME, PAY4ME, na SHIP4ME
- Kwenye Hii huduma ya SHIP4ME ninakupa huduma kama itolewayo na VIABOX, MYUS, COMGATEWAY etl.
- Ship4me nitaiongezea hapa www.bit.ly/101buy4me baada ya website yangu kukamilika ambapo mtu atajisajiri na kupata virtual address kwenye taifa lolote atakalohitaji kati mataifa zaidi ya 15 ikiwemo USA, UK, GERMANY, JAPAN etl
Thanks for your useful comment Mwl.RCT I appreciate.
 
Habari hivi mzigo ukitumwa via DHL global Mail unapokelewa Kwenye address ya post au ofisi za DHl?
Wazoefu nifungueni macho.
Maana kuna parcel ipo njiani imetumwa via DHL global Mail (DHL Asia ecommerce)
Mwl.RCT , UncleUber
 
View attachment 514432
🙂Ahsante wanaJF kwa kunifungua macho hatimaye leo nmepokea mzigo wangu wapili but wakwanza kuutia machoni na mikononi.

Nasema ni wa kwanza kuushika kwa sbb niliagza mzgo mwingine lakin seller alikuwa haship kuja TZ
View attachment 514406
so nikafungua ac viabox.com hawa wanadeal na kuforward mizgo kutoka marekani, unafungua ac online kupitia website yao wanakupa virtual physical address kwny store yao iliyopo portland marekani, I prefer them than other forwarding services kmvle myUS etc(ntaandka full review kama mtahitaji nifanye hvyo)
View attachment 514436
Japo mzgo now upo kwny store yangu lkn nimekutana na changamoto kubwa moja. gharama za kuship huo mzgo kuja TZ kutoka Viabox ni about marmbili ya gharama niliyoupurchase eBay, too bad!🙁
View attachment 514441

Ushauri wangu kwenu hasa wale ambao wanaingia huku na wako over excited wafanye investigation yakutosha before hawajaamua kuinvest.
Wanaonekana wako Cheap ila ni matapeli hao watakua wanapiga pesa ya ziada kwenye Shipping hapo!

Unakua Blinded maana naona kwa kulinganisha na myus wako cheap sana kila kitu ni FREE storage days ni kubwa ili wakuvute ukishaagiza kwa adress yao wanakupiga Shipping Fee inayo lipiza hivo vitu ambavyo wamevifanya free...It doesn't make sense eti Mzungu akufanyie Repackaging Bure kabisa [emoji2] lazima hapo kuna Hidden Cost!

Unakaribishwa kutoa FULL review yako ila utuoneshe wanapata je Faida pia maana kila kitu ni Free kwao!
 
Mimi kuna saa fulani nilipenda kule ebay,
Bei ilikuwa Dola 1.92 ila hawaship tz so nikasema ngoja nijaribu kutumia STACKRY virtual address.
Ni kweli mzigo ulifika kwenye storage yangu.
Sasa mziki ulikuwa kwenye shipping cost yaani kutoka kule hadi Tz ni Dola 21.
Nikasema bora mzigo wakae nao tu kuliko kulipia tsh 49,000 mzigo nilionunua 4500
 
Mi najua namna ya kufanya manunuzi kupitia eBay, Amazon, Alibaba na Paypal yenyewe, shida kubwa niliyonayo ni pesa za kufanya manunuzi hayo! Je, waweza kunisaidia kwenye hilo? Ahsante.
 
Duuuh.... hii kali !!!
Anyway subiri hapa na kikopo chako,wenye moyo watakuja kukuchangia
 
Mimi kuna saa fulani nilipenda kule ebay,
Bei ilikuwa Dola 1.92 ila hawaship tz so nikasema ngoja nijaribu kutumia STACKRY virtual address.
Ni kweli mzigo ulifika kwenye storage yangu.
Sasa mziki ulikuwa kwenye shipping cost yaani kutoka kule hadi Tz ni Dola 21.
Nikasema bora mzigo wakae nao tu kuliko kulipia tsh 49,000 mzigo nilionunua 4500
Mimi Mzigo wangu umekwama kama miezi miwili hv Kwny locker langu la stackry sijui watanichaji zaidi?
 
View attachment 514432
🙂Ahsante wanaJF kwa kunifungua macho hatimaye leo nmepokea mzigo wangu wapili but wakwanza kuutia machoni na mikononi.

Nasema ni wa kwanza kuushika kwa sbb niliagza mzgo mwingine lakin seller alikuwa haship kuja TZ
View attachment 514406
so nikafungua ac viabox.com hawa wanadeal na kuforward mizgo kutoka marekani, unafungua ac online kupitia website yao wanakupa virtual physical address kwny store yao iliyopo portland marekani, I prefer them than other forwarding services kmvle myUS etc(ntaandka full review kama mtahitaji nifanye hvyo)
View attachment 514436
Japo mzgo now upo kwny store yangu lkn nimekutana na changamoto kubwa moja. gharama za kuship huo mzgo kuja TZ kutoka Viabox ni about marmbili ya gharama niliyoupurchase eBay, too bad!🙁
View attachment 514441

Ushauri wangu kwenu hasa wale ambao wanaingia huku na wako over excited wafanye investigation yakutosha before hawajaamua kuinvest.

MREJESHO:
Mzigo uko on the way baada ya kulipia shipping fee ya USD 203.
2screenshot-apps.asendiausa.com-2017-06-29-13-32-22.png
 
Back
Top Bottom