Ni vyema ukafanya hivyo kwa manufaa ya wengine pia. Waweza kutumia hii thread Pia:
Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) ambapo hili limejadiliwa.
Taarifa ya kwanza ambayo ulipaswa kuitafuta kabla ya kuweka order ilikuwa ni
- Jumla ya uzito wa package yote. EBAY ni mara chache kuweka uzito wa mzigo katika maelezo, ila item hiyo hiyo ukiitafuta AMAZON unakuta uzito wake, ndipo ufanye maamuzi ya kununua.
View attachment 514588
Hivyo unapokuwa na taarifa hizo pichani ni rahisi kujua ghalama za usafirishaji kabla mzigo haujanunuliwa. Asilimia kubwa ya items zote zenye uzito mkubwa sellers huwa hawatumi moja kwa moja kuja Africa (tanzania)
- Ni sahihi kabisa,
- Ghalama huwa ni kubwa hata kama item ingekuwa na uzito chini ya 1kg
- Hii nni changamoto kwa wote waliotumia HIZI kampuni za USA, pitia hii thread:
Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)
Kwa kuzingatia hizi changamoto ndipo nikaja na hizi huduma tatu BUY4ME, PAY4ME, na SHIP4ME
- Kwenye Hii huduma ya SHIP4ME ninakupa huduma kama itolewayo na VIABOX, MYUS, COMGATEWAY etl.
- Ship4me nitaiongezea hapa
www.bit.ly/101buy4me baada ya website yangu kukamilika ambapo mtu atajisajiri na kupata
virtual address kwenye taifa lolote atakalohitaji kati mataifa
zaidi ya 15 ikiwemo USA, UK, GERMANY, JAPAN etl