Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wewe ni mgeni wa product za China?hawa ni Allibaba cimu hii hapa kwa uzuri wa kutoshaView attachment 2155745
Procedure za uagizaji mitandao ya uk bado ni changamoto sana kwa watanzania wengiJe wewe ni mgeni wa product za China?
Je nini hasa unachohitaji?
Kama wahitaji simu za hakika na sio product za kichina basi hama toka alibaba/ aliexpress na nenda mitandao ya UK au USA kama amazon .com
Hauwezi kupewa mtu mwingine maana pale Pana namba yako ya simu wanakupigia unaenda na vitambulisho vyako kwa ufupiMkuu maelezo kidogo hapo unapo sema unatumia box la chuo, je kuna mtu hua anakuchukulia au inakuaje, na je ikitokea mzigo wako ukachukuliwa na mtu ambae sio wewe??
Ukibadili anuani pia kwenye ukurasa wa PayPal unabadili,inawezekana sana. Hata kadi pia unaweza kubadili au kuongezaTaalifa ambazo zinajazwa PayPal, eBay na Bank lazim ziwe sawa?? mfano Anuani ya posta iliyo jazwa bank ni lazima ifanane na itakayo jazwa ,eBay na PayPal??
pia je wanapokea mabadiliko ya anuani pale mtu atakapo kua kabadili location??
Unaponinua kitu wakati wa kulipia itakupeleka kwenye page yako ambayo pia anwani yako ya kutumia mzigo ipo,baadaye unabofya unalipaukiwa unanunua watakuuliza shipping adress iwe sawa na paypal au utabadili, ila details za paypl lazima ziwe sawa na card
Je wewe ni mgeni wa product za China?
Je nini hasa unachohitaji?
Kama wahitaji simu za hakika na sio product za kichina basi hama toka alibaba/ aliexpress na nenda mitandao ya UK au USA kama amazon .com
Pitia kwangu kufanikisha manunuzi | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaila kinachonifanya nishindwe ni pale kwenye shipping na import fee, Amazon price zao ziko juu sana.
mkuu kwema?Ebay ni soko kama unavyosema kkoo ebaya haiibi wala haipo trusted kama vile soko halikuibii wala haliaminiki. wanaoiba ni watu ndio maana unatakiwa unaponunua kitu ebay au amazon uwe unaangalia review za muuzaji.
Kamzigo kangu kamefikaWakuu habari zenu samahani naomba kujuzwa kwa wazoefu wa kuogiza parcel, apo mzigo wangu utakua umefika wapi na lini natalajia kupokeaView attachment 2331648
Aliexpress unapata sema bei rahisi na copy za kutosha kama unaangalia unafuu huko.mkuu kwema?
naomba msaada wako nishida na kioo cha samsung note 9, naona kununua bongo bei kali sana
Kamzigo kangu kamefika
Mkuuu mie napata kazi sana kujiungaHakuna wauzaji feki aliexpress. Ni jukumu lako kukagua vyema bidhaa unayohitaji.