Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu C6 unaweza kutusaidia hapa ufafanuzi,labda nijibu nijibu majibu kadhaa katika hayo hapo,kwanza mkuu wangu me sina account ya CRDB naona mizinguo tu hao me natumia Barclays nina account ya Shillings,Pound na Dollars so sipo sure sana kwa hao CRDB wenyewe process zao zinakuwaje hasa ila kwa jinsi ninavyojua upande wa Barclays mfano me nikinunua anything with online banking huwa sikatwi amount yoyote ile seller ndio anakatwa kila kitu,kuhusu kwenye makato hamna anayeangalia bidhaa gani umenunua hiyo haijalishi mkuu wangu....
Nimegundua hizi bank za Tanzania wizi mwingi sana unafanyika na wanawaumiza sana wananchi kwa ---- service na charge za ovyo ovyo zisizokuwa na maana yoyote ile ila still nashangaa watu bado wanaangaika na bank za CRDB....
Nadhani kuna majibu mengine sijajibu maana sina uwakika nayo hasa ila mzigo wako kutumia postal fulani ni hatari bora ufikie ofisini kwa mtu moja kwa moja ni bora zaidi ila ukisema ufatilie kwenye postal wanazingua sanaaaa.....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
naomben mnijuze kuhusu paypal coz wengne n wagen wa mambo hayo
nataka kuandika makala kuhusu kununua vitu online, ntagusia changamoto kama vile mabenki wanavyotuibia
Samahani kwa hili. Naomba kujua ni process zipi ulianza nanzo kuanzia unapoanza kui order na kuanza kulipia benk mpaka kukamilisha malipo yote na kusubiria product? Product naziona ila nashindwa kujua kuwa naanzia benk, au nafanyaje malipo. yaniunisaidie kujua kuanzia ulipoanza mpaka kukamilisha taratibu zote
1. nenda ebay.com kisha register chagua customer au kama wewe ni muuzaji chagua akaunti ya merchant.
2. kujiunga inabidi kadi yako ya benki (visa/mastercard) iwe imesajiliwa kwanza kununua mtandaoni, kisha nenda paypal.com weka details zako na za kadi yako kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) hapo kadi yako itakuwa verified tayari na paypal.
3. nenda sehemu yoyote. wanayokubali paypal nunua chochote, ingiza. detail za paypal, watakata gharama za icho kitu basi umemaliza
very easy
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mru humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
ntakupa feedback jioni naenda ofisi za dhl na ems(posta) leo kuulizia maana nataka kununua laptop ebay ila naona nikilizwa posta ntakufa
Kimeo changu kimevunjika kioo sehemu ndogo nimekimbilia eBay nachek kioo ni 120$ nikajiuliza hapa bongo si ndo wata nambia 200k, Nafikiria kununua hawa posta wasije kunibambiza nikalia na 120$, VP kuhusu DHL shipment inakuaje??
ntakupa feedback jioni naenda ofisi za dhl na ems(posta) leo kuulizia maana nataka kununua laptop ebay ila naona nikilizwa posta ntakufa
je kama umeagiza kifaa mfano ukubwa wa tv utapokelea wapi?simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mru humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
i'm also looking forward to your reply lad
nimeenda dhl, jamaa wanachaji kwa uzito, ukitaka kutmumiwa mzigo kwa dhl lazima anayeutuma apeleke mzigo kwenye ofisi za dhl huko aliko na umpe physical address yako au care off dhl ya karibu na wewe, atakutumia tracking number na ukifika utaenda kuuchukua kama ni dar es salaam au popote ulipoelekeza mzigo uje, itabidi uwe na tin number kwa mzigo wowote pia unaweza kuchajiwa ushuru kutegemeana na mzigo wenyewe
Kimeo changu kimevunjika kioo sehemu ndogo nimekimbilia eBay nachek kioo ni 120$ nikajiuliza hapa bongo si ndo wata nambia 200k, Nafikiria kununua hawa posta wasije kunibambiza nikalia na 120$, VP kuhusu DHL shipment inakuaje??
Kama unaagiza Laptop hapo full ila kwa bidhaa ndogo Hiyo bei aisee(Kizuri Gharama), I'll take a risk ntaagiza kwa Postanimeenda dhl, jamaa wanachaji kwa uzito, ukitaka kutmumiwa mzigo kwa dhl lazima anayeutuma apeleke mzigo kwenye ofisi za dhl huko aliko na umpe physical address yako au care off dhl ya karibu na wewe, atakutumia tracking number na ukifika utaenda kuuchukua kama ni dar es salaam au popote ulipoelekeza mzigo uje, itabidi uwe na tin number kwa mzigo wowote pia unaweza kuchajiwa ushuru kutegemeana na mzigo wenyewe
gharama za kubeba kifurushi cha kilo 3.5 ni kama laki na themanini (kutoka tanzania kwenda marekani, jamaa hakiwa na exact figure kutoka us kuja huku)
nimeenda dhl, jamaa wanachaji kwa uzito, ukitaka kutmumiwa mzigo kwa dhl lazima anayeutuma apeleke mzigo kwenye ofisi za dhl huko aliko na umpe physical address yako au care off dhl ya karibu na wewe, atakutumia tracking number na ukifika utaenda kuuchukua kama ni dar es salaam au popote ulipoelekeza mzigo uje, itabidi uwe na tin number kwa mzigo wowote pia unaweza kuchajiwa ushuru kutegemeana na mzigo wenyewe
gharama za kubeba kifurushi cha kilo 3.5 ni kama laki na themanini (kutoka tanzania kwenda marekani, jamaa hakiwa na exact figure kutoka us kuja huku)
kama ukitumia ems ambayo iko kama dhl mzigo wako unafika haraka na salama, sema sasa gharama za shipping kwa ndege hapo ndo utamu unapoanziaMkuu nashukuru kwa maelezo uliyotoa kutokea mwanzo mpaka mwisho hapa ulipofikia. Ni kweli watu wanang'ang'ania CDRB lakini mimi nilienda ABC na kununua VISA kwa U$20 kama gharama ndiyo basi tena hadi itakoisha muda wake. Kwa maana hawana monthly charges wala fee charge kama ukinunua online. Ni wazuri kiukweli.
Kitu kilichonifanya mpaka nachangia ni kuwa niliagiza battery mbili toka China lakini jamaa akatuma mpaka tracking no lakini Singapore Post wakapoteza mzigo kwenye distpating process. Seller akatuma nyingine kwangu baada ya kumjulisha mbona sioni updates yoyote. Akanitumia tena kupitia China Post na tracking no nyingine na sasa naambiwa zimeshasafirishwa Bongo.
Sema nimeshituka sana baada ya kuambiwa uwizi ulipo Posta zetu. Na mimi nilikuwa nafanya kama jaribio ili niagize video camera kubwa ambayo nipo tayari kulipia kodi.
Ngoja nisubiri kamanitazipata week hii ili nije nitoe ushuhuda juu ya Posta za Tanzania.
ntakupa feedback jioni naenda ofisi za dhl na ems(posta) leo kuulizia maana nataka kununua laptop ebay ila naona nikilizwa posta ntakufa