Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

nimeenda dhl, jamaa wanachaji kwa uzito, ukitaka kutmumiwa mzigo kwa dhl lazima anayeutuma apeleke mzigo kwenye ofisi za dhl huko aliko na umpe physical address yako au care off dhl ya karibu na wewe, atakutumia tracking number na ukifika utaenda kuuchukua kama ni dar es salaam au popote ulipoelekeza mzigo uje, itabidi uwe na tin number kwa mzigo wowote pia unaweza kuchajiwa ushuru kutegemeana na mzigo wenyewegharama za kubeba kifurushi cha kilo 3.5 ni kama laki na themanini (kutoka tanzania kwenda marekani, jamaa hakiwa na exact figure kutoka us kuja huku)
DHL kiboko, barua tu kuja Uingereza wanatoza elfu sabini na tano!!! Walipo hojiwa wakasema hiyo ni minimum charge kwa uzito wa kuanzia milligram mpaka nusu kilo i.e flat rate bila ya kujali uzito mradi usizidi nusu kilo, ukizidisha nusu kilo unaingizwa kwenye charge bracket nyingine!
 
Sawa Mkuu. Laptop nilitolea mfano tu, wala sikumaanisha kuwa unataka kununua laptop. Achana na agents wa DHL wa hapa TZ. Ukitaka kupata uhakika kuwa kifaa chako kitafika Tz kwa gharama zipi kupitia DHL, wasiliana na seller* na uulize kama kuna option ya kutuma item unayotaka kununua kwa DHL na ina gharama gani. Yeye ataenda kuuliza DHL uko aliko na atakujulisha gharama. Suala la ghrama za DHL inategemena na nchi unakotoka mzigo. Mfano:Niliwahi kununua kifaa chenye uzito wa 650mg ktk mnada wa eBay kikatumwa toka Shen Zhen China hadi HOng Kong na baadaye toka Hong Kong kwa DHL hadi TZ kwa US $40 tu. Na hii ni mwezi june mwaka huu. Ebu angalia hii DHL guide ya 2011. Gharama zao hazijabadilika sana kwa mwaka huu. http://www.dhl.co.tz/content/dam/do...ng/dhl_express_rate_transit_guide_2011_tz.pdf
Utakaposhindwa kuelewa tutaeleweshana.
Ila kwa upande wa USA, hizo gharama nakubali zinaweza kufika, pili utalazimika kulipa kodi wakati unanunua hiyo bidhaa, na ikifika Tz hiyo bidhaa kama inastahili kodi, pia unalipia, hivyo utakuwa umelipa kodi mara mbili. Ukirejea kwenye guide ya DHL, USA iko Zone 5. Hivyo kioo cha simu kiko chini ya 0.5Kg na gharama yake ni TShs 90,251/- kwa mwaka 2011. Kwa mwaka huu 2013 haiwezi kuwa imepanda kiasi hicho cha 180K. KWA NINI? Sellers wengine hupandisha shipping fee ili wapate cha juu au anaweka na gharama za kupoteza muda wake, usafiri wa kupeleka au kutuma mzigo kwenda kwa agent wa DHL (Kwao, kila anachofanya mtu ni pesa, wakati sisi huku unaweza hata ukatembea kwa mguu kupeleka mzigo na usihesabu muda na usumbufu ulioupata) na ndo sababu kwenye Seller Ratings kwenye eBay, kuna kipengele cha Shipping Charges, je zilikuwa reasonable? Kama zilikuwa juu mno unamyima, au unampunguzia nyota.

User feedback

***** Item as described

***** Communication

***** Shipping time

* Shipping charges


NB: Seller*
Kuna sellers wengine ambao ni wateja wakubwa wa muda mrefu na mara kwa mara wa DHL, huwa wanapata punguzo la gharama za kutuma bidhaa popote duniani, au gharama zingine wanachangia wao, hivyo unaweza ogopa bure kutumia DHL kwa kudhani kuwa gharama zao ziko juu sana bila kuwasiliana na seller kumbe siyo. Uliza kwanza kabla ya kuogopea mbali. Angalia hii link, chini kabisa ya page utaona wana-ship product zao worldwide via DHL Express hadi 5Kg kwa US $25 tu kutoka Serbia- Ulaya Mashariki. mikromedia for PIC32 - Development Board For Multimedia

Mkuu angalia hizi Shipment price toka USA to other countries Bongo tupo Zone M Worldwide Shipping.

dfqye.png


Cc: @C6
 

Attachments

sasa hapa inamaana utamuomba yule anaekutumia aandke mzigo wako kuwa ni gft au? na cjaelewa mfano nimekipenda kitu ebay inamana wakat wa malipo kuna option inakuja ya kuchagua njia ya malipo km ni paypal au inakuaje? namaanisha inalink vp kati ya paypal na ebay wakat wa malipo? na elimu kidogo juu ya dhl pia.
Mkuu ni hivi karibu wauzaji wote wa E bay wanatumia paypal ambayo kama una check out basi automatic inafungua akaunti yako ya paypal unaingiza password na kujubali malipo ambayo ni pale pale anayapata.

Nami saizi nazidi kufuatilua kuhusu DHL ili nijue usalama wake.
 
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
mkuu walikutumia kupitia njia gani? Nikimanisha posta au DHL
 
Angalizo: (In red above)
Ukirudishiwa pesa yako (refund) toka Paypal, inabidi usubiri kama mwezi mmoja, ndipo ufuatilie benki iliyokupa Debt card, maana pesa inaporudishwa, inaingia kwenye benki yako (ina-float) na haiwezi kuingia kwenye akaunti yako hadi uende benki ukiwa na vielelezo vya muamala wa pesa iliyorudishwa na Paypal na uandike barua kuomba iingizwe kwenye acc yako au utume email pamoja na vielelezo vya muamala wa mrejesho wa pesa toka Paypal kwenda Huduma kwa wateja wa Debt card husika. Pia itabibdi uwakumbushe mara kwa mara kwa simu. Hakika pesa yako haipotei. Namba za simu za huduma kwa wateja zinakuwa kwenye Debt Card yako. Debt Card namaanisha MasterCard, Visa etc. Kwa upande wa pesa iliyorudishwa toka Paypal kutoingia kwenye Acc yako ni kuwa TZ haiko kwenye orodha ya nchi zinazopokea pesa toka Paypal bali sisi tunaruhusiwa kutuma tu wala si kupokea. Kwa hali hii, si rahisi M-Tz kuuza bidhaa online kwa kuwa hatapata malipo ya mauzo ya bidhaa zake kupitia Paypal, mpaka apige jalamba muda mrefu. jirani zetu Kenya wao wamo kwenye orodha ya kutuma na kupokea pesa toka Paypal.

Mkuu kuna Mdau anaitwa farooq2013 anadai eti Uki-upgrade acc yako ya PP kuwa premiere/bussiness account
Unapokea malipo thru paypal online labda mtupeni mssaada hapa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni hivi karibu wauzaji wote wa E bay wanatumia paypal ambayo kama una check out basi automatic inafungua akaunti yako ya paypal unaingiza password na kujubali malipo ambayo ni pale pale anayapata.

Nami saizi nazidi kufuatilua kuhusu DHL ili nijue usalama wake.

ahaaa tnx alot ngoja niendelee kujifunza zaid pia kupitia wachangiaji
 
Mkuu kuna Mdau anaitwa farooq2013 anadai eti Uki-upgrade acc yako ya PP kuwa premiere/bussiness account
Unapokea malipo thru paypal online labda mtupeni mssaada hapa
kuna kitu kama hicho nimesoma kwenye account yangu ya paypal ila mie kutoa ukwasi wahivi hivi uwa najiuliza mara mbili mbili
 
kuna kitu kama hicho nimesoma kwenye account yangu ya paypal ila mie kutoa ukwasi wahivi hivi uwa najiuliza mara mbili mbili

Premier account its only 2.6$ per 30 Days almost buk 4 ya kibongo,

Nilikua naangalia baadhi ya resellers wa VPN hapa bongo wanasema wanapokea hata kwa PayPal nkawa najiulia hawa wako bongo gani?? Kumbe kuna hii kitu chini chini
 
Nimeona Mkuu. Basi kutuma mzigo toka hiyo Zone kuja TZ ni too expensive kwa DHL. Ni vizuri kununua bidhaa kutoka zones ambazo shipping fee yake ni nafuu.
Mkuu angalia hizi Shipment price toka USA to other countries Bongo tupo Zone M Worldwide Shipping.

dfqye.png


Cc: @C6
 
mara nyingi sana unaponunua vitu kama spear parts ndogo ndogo kama za pikipiki magari vioo vya simu betri za laptop, screen za tv au simu nk nk hivi huwa vinafika salama kabisa wafanyakazi wa posta hawana interest navyo maana akiiba screen ya HTC itamchukua muda sana kupata mnunuzi. Hapa unaweza kutumia sanduku la posta hata kwa free shipping

Lakini kama unanunua simu, kamera laptop nk yaani bidhaa nzima ni bora ukawatumia akina DHL au ukatumiwa kwa registered hapo utakuwa na uhakika wa kupata mzigo wako ingawa gharama inahusika zaidi

Seller wengi hasa wa spear parts za simu na simu zenyewe ni wachina, bidhaa zao ni za kichina ingawa ubora upo vizuri, hawa maranyingi wanaship mizigo yao kutokea China au Hong Kong na shipping huwa ni free. Hawa ni rahisi sana kuwaambia waandike gift ili ukwepa kodi lakini sio seller wa kutoka USA, UK au Canada....hawakubali ku lebel item as Gift

Kuna jamaa humu ndani wako USA kama sijakosea wao ukinunua kitu ebay unakidirect kwao USA na baada ya kupokea wanakutumia kwa njia zao na mzigo unakufikia salama kabisa,,,gharama zaidi inahusika

MUHIMU soma kwa makini Item description na hasa unapokuta bidhaa inauzwa kwa bei ndogo sana
Invisible tunaoma muistiki hii sredi imekuwa msaada mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Leo nimefanikiwa kupita crdb bank, Millenium Tower Branch. Gharama za ku'activate E-Commerce Transaction account ni 30 USD na hiyo ndo fee pia ya kila mwezi. Pia wanakata 5% kwa kila online transaction utakayofanya. Next week ntafika Azikiwe ambako ni branch yangu na pia ni HQ nipate uhakika wa hizi taarifa.
 
Leo nimefanikiwa kupita crdb bank, Millenium Tower Branch. Gharama za ku'activate E-Commerce Transaction account ni 30 USD na hiyo ndo fee pia ya kila mwezi. Pia wanakata 5% kwa kila online transaction utakayofanya. Next week ntafika Azikiwe ambako ni branch yangu na pia ni HQ nipate uhakika wa hizi taarifa.

Mkuu kuna vitu vi wili hapa Internet Banking na Purchase online(Hii ndio inayo ongelewa hapa) na kwa mujibu wa CRDB Banck huduma ya Purchase onlie ni completely FREE
 

Mkuu kuna vitu vi wili hapa Internet Banking na Purchase online(Hii ndio inayo ongelewa hapa) na kwa mujibu wa CRDB Banck huduma ya Purchase onlie ni completely FREE
internet banking kuna mpunga unakatwa initially, ila online purchase ni fomu unajaza afu unasikilizia
 
Back
Top Bottom