Brakelyn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,181
- 519
Emu elezea hiyo moja unayoongeza kwenye 0.25 unaitoa wapi?
ni sawa mzee wa rula,Mkuu kodi inategemea kwa mfano Import Tax ni 25% ya CIF, na kuna baadhi ya items wanakata 5% - 10% kisha 18% VAT.
Hivyo ni bora ukafanya utafiti wa kutosha kwa kwenda ofisi za TRA zilizo karibu nawe kama hujui category ipi bidhaa zako inaangukia na huna ujuzi wa kukokotoa kodi.
Mfano ulivyosema kuwa ukiagiza kitu kwa gharama ya 1m basi utalipa 180,000 maana yake hivyo ni VAT na item hiyo itakuwa na zero rate ya Import duty lakini kama inayo kwanza watakupiga hiyo custom duty ndiyo waje wamalizie VAT.
Mfano CIF ya kitu ulichoagiza ni U$1600 basi na kina import tax (customy duty):
Kutegemea na rate itayoangukia hiyo item ila nyingi ni 25% nami naapigia kwa hiyo 25%
Customy Duty.
1600 * 1.25 = 2000, kama ni 10% basi utazidisha mara 1.1 na kama ni 5% utapiga mara 1.05
Excise Duty ni zero kwa item nyingi ukitoa magari ambayo huwa charged kwa CC.
VAT
Jibu la juu ambalo ni 2000 * 1.18 = 2360.
Hivyo 2360 - 1600 = 760 in total
760 * Exchange Rate (1632) = 1,240,320 ndiyo kodi utayotakiwa kulipa wakuu.
Hiyo ni kwa kadri ya uelewa wangu.
au ili kuondoa utata wa hiyo ''1'' calculation ziwe hivi..
Assuming the cost of item CIF is $1600 (invoice)
Import Duty 25% of CIF ---> 25/100=0.25, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,0.25*1600= $400
VAT - 18% of Import Duty + CIF (1600+400=2000) ---> 18/100= 0.18,,,,,0.18*2000= $360
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,$760
ushuru utakaolipa tra kwa kuagiza mzigo wenye thamani ya $1600 ni $760,,,