Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

1. nenda ebay.com kisha register chagua customer au kama wewe ni muuzaji chagua akaunti ya merchant.

2. kujiunga inabidi kadi yako ya benki (visa/mastercard) iwe imesajiliwa kwanza kununua mtandaoni, kisha nenda paypal.com weka details zako na za kadi yako kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) hapo kadi yako itakuwa verified tayari na paypal.

3. nenda sehemu yoyote. wanayokubali paypal nunua chochote, ingiza. detail za paypal, watakata gharama za icho kitu basi umemaliza

very easy

Sasa crdb naenda kuwa verified au nafanya vip
 
Ata mimi nimenunua simu jumapili iliyopita mchana (15/09/2013), na jana jumatatu (23/09/2013) nimepokea simu yangu kupitia kwa FedEx...

naomba unambie n xmu aina gan na mpaka umepokea imegharimu total kiasi gan.na je smu hyo kwa hapa bongo n xawa na umeokoa kiax ambacho ultakiwa kuklpa
 
Sasa crdb naenda kuwa verified au nafanya vip
ukiweka details za kadi yako, paypal wanakata mpunga kidogo ambao utarudishwa ukiverify, utaambiwa uende benki uangalie muamala uliofanya na paypal kuna namba ambazo zipo kwenye uo muamala utaingiza kwenye akaunti yako ya paypal zikiwa sahihi wanaverify na hela waliyokata inarudishwa
 
Mkuu ili kunufaisha wanajamii ungesema umenunua simu kwa bei gani, umetumia ebay ya nchi gani, shipment imeanzia wapi, gharama za usafirishaji ni kiasi gani, na ushuru umelipia bei gani?

NImenunua kwa gharama ya TSH 644300.. Hii ni pamoja na gharama ya usafirishaji. Simu niliyonunua ni Samsung S4 mini.
Maduka mengi ya Tanzania niliulizia bei yake ilikua 850,000 na kuendelea. Baada ya kusoma post ya C6 kwamba amefanikiwa kununua kitu ebay na kukipata, na mimi nikapata ujasiri wa kununua.

Note: Nilitengeneza akaunti ebay, kisha nikachagua simu ninayoitaka, baada ya kuona wana ship Tanzania kwa kutumia FedEx ndio nikaamua kununua. Baada ya kununua nikapewa no kwa ajili ya kua na track mzigo wangu. Siku ya jumatatu asubuhi nikapigiwa simu na mtu wa FedEx kua mzigo wangu umefika. Nikaenda FedEX nikachukua simu yangu ikiwakwenye box lake.

Kwenye picha chini hapa unaweza ukaona namna nilivyokua nautrack mzigo wangu
yapili.PNG
yakwanza.PNG

Ikiwa unahitaji maelezo zaidi usisite kuniuliza. Ila ninaweza kuchelewa kukujibu kutokana na shughuli ninayoifanya
 
Last edited by a moderator:
naomba unambie n xmu aina gan na mpaka umepokea imegharimu total kiasi gan.na je smu hyo kwa hapa bongo n xawa na umeokoa kiax ambacho ultakiwa kuklpa

NI Samsung Galaxy S4 Mini... Imegharimu ~640K pamoja na gharama ya usafirishaji. Kwa bongo simu inauzwa kuanzia 850K kwa maduka niliyoulizia. Nimeokoa karibu 200K ivi
 
Ukichanganua bei ya mzigo na utmaji inakuaje?
yani nataka kujua bei ya utumaji ktk hyo FedEx
 
Ukitusaidia ebay store name ya huyo seller itakuwa poa sana
 
Mm eBay nachukuaga sana mizigo
Na bidhaa nyingi nauza humu jf
Tumia search button kutafuta "soln to hypehydrosis" au "soln to premature ejaculation"

mkuu chief-mkwawa mm natumia box la chuo hivo silipiagi kitu chochote zaidi ya ile shiping fee iliyoandikwa na muuzaji

Kama alivyo sema chief-mkwawa inabidi kuangalia repitation ya seller

Maana mm kama mnakumbuka nilianzisha thread ya "hivi eBay ni genuine market place" sababu niliona iPhone 5 $14.99 na Mac book mpya $24.99
seller alikuwa wa china na akuwa na positive feedback hata moja
Baada ya dakika na baada ya mm kufanya paymeny nikaambiwa kwa email item removed

Namshukuru Mungu nili open case nakikawa refunded lkn hadi leo hii refund sijawahi kuiona kwenye Bank statement naliamua chuna tu

HOPE YOU WILL LEARN FROM WHAT HAPPENED TO ME

pole kijana ,, nahisi wewe ulingalia BID siyo buying price, bid mnapandishiana dau then mda ukiisha aliyeweka hela kubwa ndo anabeba mzigo
 
NImenunua kwa gharama ya TSH 644300.. Hii ni pamoja na gharama ya usafirishaji. Simu niliyonunua ni Samsung S4 mini.
Maduka mengi ya Tanzania niliulizia bei yake ilikua 850,000 na kuendelea. Baada ya kusoma post ya C6 kwamba amefanikiwa kununua kitu ebay na kukipata, na mimi nikapata ujasiri wa kununua.

Note: Nilitengeneza akaunti ebay, kisha nikachagua simu ninayoitaka, baada ya kuona wana ship Tanzania kwa kutumia FedEx ndio nikaamua kununua. Baada ya kununua nikapewa no kwa ajili ya kua na track mzigo wangu. Siku ya jumatatu asubuhi nikapigiwa simu na mtu wa FedEx kua mzigo wangu umefika. Nikaenda FedEX nikachukua simu yangu ikiwakwenye box lake.

Kwenye picha chini hapa unaweza ukaona namna nilivyokua nautrack mzigo wangu
View attachment 113510
View attachment 113511

Ikiwa unahitaji maelezo zaidi usisite kuniuliza. Ila ninaweza kuchelewa kukujibu kutokana na shughuli ninayoifanya

Mkuu mbona hujatuambia hiyo eBay ni ya nchi gani......
 
pole kijana ,, nahisi wewe ulingalia BID siyo buying price, bid mnapandishiana dau then mda ukiisha aliyeweka hela kubwa ndo anabeba mzigo

Unafikiri na confuse BID na BUY NOW

Huwezi helewa watakaelewa ni wale walionipa ushauri baada ya kuwaonesha Auction hiyo hapa hapa JF
 
nmekula somo la kutosha na nitawakamata wangu niwape somo ili tununue vitu online
 
kuna majibu bado cjapata.
vipi kuhusu Adress line 1 na Adress line 2?
hyo nimeikuta ktk paypal na cjajua najaza vp.
wanaojua naomba wanipe majibu tafadhali
 
ebay mambo yao poa. kwa wale wenye kadi za bank ya CRDB nendeni bank jisajili kwa online purchase. Utasubiria kwa wiki moja hadi mbili au hata siku 3 kadi inakuwa active. Then, jisajili paypal nakwambia utaokoa fedha kwa kununua vitu kwa bei poa.
 
thanks alot. No one in here knew that. (sarcasm)
 
Nataka nijaribu kununua vitu vya bei rahisi mfano:Headphone au Flash Disk ili nione kama mzigo utafika
 
Ukichanganua bei ya mzigo na utmaji inakuaje?
yani nataka kujua bei ya utumaji ktk hyo FedEx

Kuna mzigo nimeletewa toka us, hawa fedex wamedai agency fee ya 82,000 bado hatujaelewana agency fee ya nini wakati nilishalipa 200$ ya shipment?

Wakati nikileteea mizigo kwa dhl zaidi ya tax hawanicharge cost za ziada???
 
NImenunua kwa gharama ya TSH 644300.. Hii ni pamoja na gharama ya usafirishaji. Simu niliyonunua ni Samsung S4 mini.
Maduka mengi ya Tanzania niliulizia bei yake ilikua 850,000 na kuendelea. Baada ya kusoma post ya C6 kwamba amefanikiwa kununua kitu ebay na kukipata, na mimi nikapata ujasiri wa kununua.

Note: Nilitengeneza akaunti ebay, kisha nikachagua simu ninayoitaka, baada ya kuona wana ship Tanzania kwa kutumia FedEx ndio nikaamua kununua. Baada ya kununua nikapewa no kwa ajili ya kua na track mzigo wangu. Siku ya jumatatu asubuhi nikapigiwa simu na mtu wa FedEx kua mzigo wangu umefika. Nikaenda FedEX nikachukua simu yangu ikiwakwenye box lake.

Kwenye picha chini hapa unaweza ukaona namna nilivyokua nautrack mzigo wangu
View attachment 113510
View attachment 113511

Ikiwa unahitaji maelezo zaidi usisite kuniuliza. Ila ninaweza kuchelewa kukujibu kutokana na shughuli ninayoifanya

simu ulienda kuichukua wapi mkuu,airport,bandarini au crdb?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mzigo nimeletewa toka us, hawa fedex wamedai agency fee ya 82,000 bado hatujaelewana agency fee ya nini wakati nilishalipa 200$ ya shipment?

Wakati nikileteea mizigo kwa dhl zaidi ya tax hawanicharge cost za ziada???

Kama ulishalipa hyo 200 usd wanataka hyo 82,000 ya nn tena? Haya makampuni mbona kama yanazngua.
 
Back
Top Bottom