Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.

Du itabid nikuchek unisaidie
 
Nimekamilisha kila k2 kilichobaki ni kuchek mzgo wa kununua. Ila linapofka suala la kusubiria mzgo kwa njia ya posta hapo ndo kchwa knauma
 
kuna majibu bado cjapata.
vipi kuhusu Adress line 1 na Adress line 2?
hyo nimeikuta ktk paypal na cjajua najaza vp.
wanaojua naomba wanipe majibu tafadhali

hapo kwenye red mkuu umesema umefanikiwa..... nataka kujua umefanikiwa vp? na umetumia benki gani kama ni CRDB process zimechukua muda gani....?
 
Nilikwenda crdb nikajaza fomu ya internet enabling service. Baada ya cku mbili nikapata ujumbe kwa njia ya email kwamba kadi yangu iko tyar kwa manunuzi. Baada ya hapo nikaenda paypal na kuingza details zangu na ikakubali.
 
ebay mambo yao poa. kwa wale wenye kadi za bank ya CRDB nendeni bank jisajili kwa online purchase. Utasubiria kwa wiki moja hadi mbili au hata siku 3 kadi inakuwa active. Then, jisajili paypal nakwambia utaokoa fedha kwa kununua vitu kwa bei poa.

Issue ni je hivyo vitu vikija hutozwi ushuru?
 
Du itabid nikuchek unisaidie

Hivi unapofanya malipo online kwa kadi ya crdb, je hawakati ushuru wao kabisa humohumo? Au wakati unaenda kuppkea mzigo wako ndo unalipa ushuru?
 
Gharama za usafrishaji kwa FedEx walikuchaji bei gani? Ukitoa gharama za manunuz ya cmu

Gharama za usafirishaji zilikua dola 30 tu... nililipa wakati nanunua simu ilipofika sikulipia tena
 
Gharama za usafirishaji zilikua dola 30 tu... nililipa wakati nanunua simu ilipofika sikulipia tena

Yule aliyekuuzia ndo alikujumlishia na hela ya u2maji au ni fedex wenyewe?
 
Yule aliyekuuzia ndo alikujumlishia na hela ya u2maji au ni fedex wenyewe?

Aliyeniuzia.... kulikua na bei ya simu pia shipping ilikua dola 30 then nikalipa kwa pamoja
 
Nilikwenda crdb nikajaza fomu ya internet enabling service. Baada ya cku mbili nikapata ujumbe kwa njia ya email kwamba kadi yangu iko tyar kwa manunuzi. Baada ya hapo nikaenda paypal na kuingza details zangu na ikakubali.

Lakini bado hujanipa jibu kuhusu address line 1 na 2 ...ww ulitumia ipi....
 
Lakini bado hujanipa jibu kuhusu address line 1 na 2 ...ww ulitumia ipi....
Assume This:
Name: Joaquem.....
Address 1: P.O. Box 1456
Address 2: Dar es salaam
City: Dar es salaam!

In short, it doesn't matter hata kama utaacha kujaza hapo address 2; labda icahe kwako na kwa wengine; lakini binafsi ikapita basi na shaka!

In addition, kuhusu Bank; anyway, tumeshaizoea CRDB lakini kwangu linapokuja suala la paypal account, natumia sana UBA.....hakuna cha kujaza form wala nini; labda ujinga huo waanze sasa lakini wakati mimi nafungua paypal account sikujaza form na account(paypal) ikawa approved ndani ya kipindi kifupi tu baada ya kuwa verified! UBA unajaza form just for Internet Banking.
 
Hii thread inanihamasisha kufungua petition kui-request Paypal kuruhusu Paypal Tanzanian Accounts to be able to receive money! Wakati fulani nilijaribu kuleta hiyo mada hapa lakini ni kama haikuwa na uungwaji mkono; probably ilitokana na uelewa mdogo wa wadau kuhusu suala zima la Paypal account! We don't have always use Paypal to make payment (Encouraging Importation); I think it's time now to make use of Paypal to receive payment and thus encouraging online exportation! Nadhani kama tunapata uungwaji mkono na serikali na kuondosha vikwazo basi it's possible kabisa! Hatima watu wangeuza vinywago ebay badala ya kusubiria wazungu waje!
 
Laptop nayo ni education material?

Hivi printer wanachaji ushuru? Nimeona printer zenye free shipping on ebay nawaza kununua

Mfano niko chuo ntaitaji Laptop ya kusomea na atimes kama nimepewa assignement au nimefanya Presentation nataka kupresent desa langu kwa lecture itabidi ni Type kwenye Laptop/desktop afu ni print out hiyo kazi

Hope mmenielewa neno ndio lilikuwa rahisi lkn imenibidi kutengeneza scenario ili muelewe
 
Hii thread inanihamasisha kufungua petition kui-request Paypal kuruhusu Paypal Tanzanian Accounts to be able to receive money
! Wakati fulani nilijaribu kuleta hiyo mada hapa lakini ni kama haikuwa na uungwaji mkono; probably ilitokana na uelewa mdogo wa wadau kuhusu suala zima la Paypal account! We don't have always use Paypal to make payment (Encouraging Importation); I think it's time now to make use of Paypal to receive payment and thus encouraging online exportation! Nadhani kama tunapata uungwaji mkono na serikali na kuondosha vikwazo basi it's possible kabisa! Hatima watu wangeuza vinywago ebay badala ya kusubiria wazungu waje!

What are the procedures maana mm mwenyewe nilikuwa nawaza nianze kuwazingua kwa email ili nione response yao
 
Yani ukitaka kupata mzgo kutoka ebay kwa hz kampun kama dhl na fedex si chin ya usd 80. Kila ninapocheki ni kuanzia usd 80 mpak 100.
Ukichek free shiping napo ni nzur ila hayo maneno 2nayopewa kuhusu posta, ndo balaa
 
Back
Top Bottom