Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 210
hiyo paypal ndo tatizo mimi nina mastercard ya NBC vp inafaa kwa online buying?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninatumia mastercard ya NBC ukienda kuwauliza sidhani wengi watakuwa wanajua huu mnada wa ebay, lakini ukijirejister na Paypal unaweza kutumia mastercard au Visa na kulipa kwa urahisi sana labda nirudie tena kwa NBC hauna haja ya kwenda Branch ukiisha nunua utaona debit entry kwenye account yako baada ya siku chache
hiyo paypal ndo tatizo mimi nina mastercard ya NBC vp inafaa kwa online buying?
Ni kweli ndugu. Nilikwenda kuwauliza pale customer care ila wakanambia kuwa haiwezekani japo kulikuwa na ukweli kwamba hawajui hiyo inshu ya paypal na ebay. Leo nimewapigia customer care wakanambia haina haja ya kwenda kujaza fomu. Kadi iko tyr kwa hzo huduma. Nimeka detais ktk paypal na imekubali. Kilichobaki ni kufatilia zile 4 digits ambayo wametu paypal kwenda nbc. Sasa cjajua kuwa ntalipia hyo bank statement au la.
samahani wakuu, hivi kuomba statement ya akaunti yako ya crdb kupitia email address yao inakubalika? kama inakubalika email yao wanayotumia ni ipi? je wanachaji fedha yoyote ukiomba statement kupitia email? mana nachohitaji ni kupata statement ili niweze kuverify account kwenye paypal.
Ninavyofaham inabidi uende bank ili ukachukue Universal Bank Statement. ... cna uhakika kama unaweza kuipata kupitia njia ya email
BankABC wana kadi nzuri for online transactions. Na huhitaji kuwa na account. Naiona ni safe kwa sababu unaitumia pale unapohitaji tuu.
ni vyema kupeana taarifa, au sio comrade
Mkuu hapo una Huakika?
Maana mwenyewe nina Cargo nimeagizia kiroho kina dunda watanikwapua Ngapi
Mkuu ninaposign up kwenye Paypal kuna mahali anauliza Postal code. Nimejaza 00255 kwa kuwa niko Tz ni sawa au kila mkoa wa Tz una Postal code yake?
tumia ya DSM 11000
Ninavyofaham inabidi uende bank ili ukachukue Universal Bank Statement. ... cna uhakika kama unaweza kuipata kupitia njia ya email
tumia ya DSM 11000
samahani wakuu, hivi kuomba statement ya akaunti yako ya crdb kupitia email address yao inakubalika? kama inakubalika email yao wanayotumia ni ipi? je wanachaji fedha yoyote ukiomba statement kupitia email? mana nachohitaji ni kupata statement ili niweze kuverify account kwenye paypal.
nijuavyo si lazima uende kila mara benki, cha muhimu ni kwenda kuwaambia wakupe fomu ya kujaza email na akaunti unayohitaji kupata statement, baada ya apo kila mwezi wanakutumia tena bure.mimi kila mwisho wa mwezi napata statement kwenye email. Ila ukienda kuomba za kuprint wanachaji gharama, ukitumiwa kwenye email ni bure...
DHL kiboko, barua tu kuja Uingereza wanatoza elfu sabini na tano!!! Walipo hojiwa wakasema hiyo ni minimum charge kwa uzito wa kuanzia milligram mpaka nusu kilo i.e flat rate bila ya kujali uzito mradi usizidi nusu kilo, ukizidisha nusu kilo unaingizwa kwenye charge bracket nyingine!