Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Free shipping?
Hapo ndo kichwa kinauma. Posta nawaogopa kinoma yani. Laptop yenyewe ikipotea cjui ntatoa wapi mkwanja wa kununua nyngne. Gharama ya ku2mia ems, ups na dhl inafika mpaka usd 80!
 
Usikute wanaodai kuwa wanapata vitu vyao kwa njia ya posta ndo WALEWALE.

Mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Akili kumkichwa.
 
Usikute wanaodai kuwa wanapata vitu vyao kwa njia ya posta ndo WALEWALE.

Mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Akili kumkichwa.

Umeonaee??
Yani mi kuna msela katumia raba, ana wiki ya 4 sasa anafatilia.
 
Umejaza ipi? S.l.p au?

Mkuu nimeuliza hilo ufafanuzi naona watu wamepiga kimya! Ukigoogle utaona Postal Code za karibu kila kata kwa hapa Tanzania katika website ya TCRA.

Mdau mmoja kaniambia niandike ya Dar. Sasa nikataka kujua je nikiandika ya mkoa nilipo kwa sasa au ya kata niliyopo sasa itakuwaje? Lakini sijapata majibu bila shaka watatufafanulia ili tuelewe vizuri
 
naombeni kujua Adress lin 1 and adress line 2 ni zipi?
nimekutana na hiyo kitu katika paypal so nashindwa kujua najaza nini?
au nikiiacha bila kujaza haina tatizo????????????

Nadhani address 1 ni lazima ujaze kwani ndo watakutumia mizigo yako. Address 2 ni optional hivyo siyo lazima kuijaza. Wewe Postal Code umetumia ipi?
 
Mkuu ninaposign up kwenye Paypal kuna mahali anauliza Postal code. Nimejaza 00255 kwa kuwa niko Tz ni sawa au kila mkoa wa Tz una Postal code yake?

Ninachoamini postal code unaweka box ya posta na country code ni +255...
 
Assume This:
Name: Joaquem.....
Address 1: P.O. Box 1456
Address 2: Dar es salaam
City: Dar es salaam!

In short, it doesn't matter hata kama utaacha kujaza hapo address 2; labda icahe kwako na kwa wengine; lakini binafsi ikapita basi na shaka!

Namimi nauliza hivi.... Postal code ni lazima nijaze hiyo ya Dar kama alivyosema mtu mmoja humu? Au naweza kujaza ya Mkoa niliko kwa sasa?
 
Ninachoamini postal code unaweka box ya posta na country code ni +255...

Aah! Sidhani! Nadhani SLP unajaza kwenye address line. Postal code unaweka postal code. GOOGLE POSTAL CODE USOME KIDOGO UTAIELEWA
 
Namimi nauliza hivi.... Postal code ni lazima nijaze hiyo ya Dar kama alivyosema mtu mmoja humu? Au naweza kujaza ya Mkoa niliko kwa sasa?
For what I know, Tanzania hatuna postal codes labda ziwe zimeanza jana! Tunayo Country Code, and in fact, calling code ambayo ni +255....but all in all, wala usiumize kichwa unless kama form yenyewe postal code ni mandatory coz' if so, hata ukii-cheat, itakugomea but in most cases; hata ukiweka hiyo country code, form inakuwa sent bila hofu!! Lakini vile vile unaweza ukakuta inakuda 5 figures/digits; so 255 inaweza kukugomea.....if so, just type 00255!! Yah, zipo baadhi ambazo bila postal code, then no way lakini kama ni suala la ebay/paypal; don't bother....just type 255 or 00255
 
Bank statement nahisi huwa wanakata hela kwenye account yako
Mkuu emu niakikishie kuwa NBC hauitaji kujaza fomu ya kuomba kuwa linked online...This will be great maana mm hii siku ya tatu ya kazi lkn bado CRDB hawajanikubalia
Afu hiyo hela 1.9$ wanayokata PayPal kuna ambaye amewai kuiona kwenye Bank statement?
nili-link my paypal account na Visa Card from UBA.....hawa wawana mambo ya kujaza form kwa hili! Unaweza kujaza form just for Internet Banking but not kwa issue ya ku-link visa card na paypal! The very good thing I like about UBA ni kwamba hamna foleni kabisa.....hiyo ndo allergy yangu kuu manake kwenye baadhi ya benki huwa nalazimika kutoka home saa 11 alfajiri au kusubiria late night kama nataka kwenda ATM(am not kidding aisee; nina aleji sana na mafoleni!) Hata hivyo, jiandae kuwaachia book 3 kila mwisho wa mwezi kama maintenance fee!
 
samahani wakuu, hivi kuomba statement ya akaunti yako ya crdb kupitia email address yao inakubalika? kama inakubalika email yao wanayotumia ni ipi? je wanachaji fedha yoyote ukiomba statement kupitia email? mana nachohitaji ni kupata statement ili niweze kuverify account kwenye paypal.
No just kujiunga na e-banking unaenda kwenye tawi lao unajaza fomu . Watakutumia email na maelekezo namna ya kujiunga na E banking baada ya hapo unaweza kuchek bank statement any time any were free of change
 
Kwa kweli mimi CRDB wamenizungusha sana. Nilijaza fomu mlimani city, kufika singida nkaambiwa fomu imepotea. Juz nimekwenda singida branch nikajaza. Wao wakaituma kama internet banking badala ya internet enabling service. Bdo ckupata jibu ni kwa nini wako na uzembe kama huo

Mkuu huna haja ya kuunganishwa na uduma yeyote tena ukishafungua Ac yako CRDB unatumia kadi uliyopewa kujisajili paypal baada ya hapo nenda kachukuwe bank statement ya AC yako
 
Mkuu huna haja ya kuunganishwa na uduma yeyote tena ukishafungua Ac yako CRDB unatumia kadi uliyopewa kujisajili paypal baada ya hapo nenda kachukuwe bank statement ya AC yako

Hyo haipo. Nilijaribu ikagoma. Kuwapigia wakanambia natakiwa kujaza fomu ya Internet Enabling Service
 
Wakuu hivi ukikamilisha payments katika ebay through Paypal halafu baadae kidogo nikataka kuedit shipping address nafanyaje?
 
Wakuu hivi ukikamilisha payments katika ebay through Paypal halafu baadae kidogo nikataka kuedit shipping address nafanyaje?

Hiyo Contact na Seller wako thru eBay message center
Sijawai kufuatilia kama unaweza badili lkn nahisi haiwezekani sababu wanakuletea u-confirm hivo mpaka umcheki aliyekuuzia kabla ya ku-ship out
 
Hiyo Contact na Seller wako thru eBay message center
Sijawai kufuatilia kama unaweza badili lkn nahisi haiwezekani sababu wanakuletea u-confirm hivo mpaka umcheki aliyekuuzia kabla ya ku-ship out

Niliwasiliana naye kupitia ebay msg center ila hajanijibu, ISIPOKUWA ALINITUMIA EMAIL YA KUSHUKURU KUNUNUA KUTOKA KWAKE. Email hiyo haikuja kupitia ebay msg center. Niliporeply ikawa inafail kwenda!
 
Hyo haipo. Nilijaribu ikagoma. Kuwapigia wakanambia natakiwa kujaza fomu ya Internet Enabling Service

Labda kwa sasa lakini mm nilijiunga na paypal bila Internet enabling nlijiunga nikaenda bank kuchukuwa B/statement kuna ela ambayo imekatwa na paypal na kuna code ipo pale
 
Labda kwa sasa lakini mm nilijiunga na paypal bila Internet enabling nlijiunga nikaenda bank kuchukuwa B/statement kuna ela ambayo imekatwa na paypal na kuna code ipo pale

Bas ndugu, kwa sasa wamezuia hyo inshu. Ni mpaka ujaze fomu
 
Hiyo Contact na Seller wako thru eBay message center
Sijawai kufuatilia kama unaweza badili lkn nahisi haiwezekani sababu wanakuletea u-confirm hivo mpaka umcheki aliyekuuzia kabla ya ku-ship out

Baada ya kuwasiliana naye na kusahihisha shipping address, amenitumia swali lifiatalo " IS THIS THE CORRECT ZIP CODE? +255

Sasa hapo nimjibuje?
 
Back
Top Bottom