Kitu kingine katika Ebay ni zile "daily deals" zao. Ikiwa unanunua mwenyewe nakushauri uwe unavizia item unayotaka kama iko katika deal ya siku hiyo uinunue hapo. Daily deals ni vifaa ambavyo huuzwa kwa bei rahisi sana. UKIINGIA EBAY CHECK MWENYEWE DAILY DEALS UONE TOFAUTI