NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
internet banking kuna mpunga unakatwa initially, ila online purchase ni fomu unajaza afu unasikilizia
Kuna watu wanachanganya Internet Banking na Purchase online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
internet banking kuna mpunga unakatwa initially, ila online purchase ni fomu unajaza afu unasikilizia
....Lakini kama unanunua simu, kamera laptop nk yaani bidhaa nzima ni bora ukawatumia akina DHL au ukatumiwa kwa registered hapo utakuwa na uhakika wa kupata mzigo wako ingawa gharama inahusika zaidi....
Hivi kitu kikitumwa kwa Register na Posta, kuna tofauti yoyote?? Nijuavyo huduma ya register inatolewa na posta na watu wanasema Posta ni wezi ufafanuzi kidogo hapo?
Mkuu heshima mbele.
Nafikiri anamaanisha kwamba mzigo ambao ukitumwa itabidi mpokeaji atie saini au kwa njia ya kawaida ya posta ambayo mzigo haujulikani utafika lini.
Posta ya Tanzania ni wezi kwa sababu kama unamtumia mtu mzigo wake kwenda Tanzania na imekugharimu kiasi kama paundi 60, haiwezekani mzigo huo ulipiwe tena unapofika Tanzania kiasi kama elfu 70 ingine ambayo ni paundi ingine kama 30 hivi, kwani huo ni wizi wa kimachomacho.
Mimi pia ni mwanachama na mtumiaji mkubwa wa Ebay na Amazon na huwa nalazimika kulipia mzigo kupitia DHL na unakuwa umelipia kila kitu.
Mkuu hapo una Huakika?
Maana mwenyewe nina Cargo nimeagizia kiroho kina dunda watanikwapua Ngapi
Mkuu heshima mbele.
Nafikiri anamaanisha kwamba mzigo ambao ukitumwa itabidi mpokeaji atie saini au kwa njia ya kawaida ya posta ambayo mzigo haujulikani utafika lini.
Posta ya Tanzania ni wezi kwa sababu kama unamtumia mtu mzigo wake kwenda Tanzania na imekugharimu kiasi kama paundi 60, haiwezekani mzigo huo ulipiwe tena unapofika Tanzania kiasi kama elfu 70 ingine ambayo ni paundi ingine kama 30 hivi, kwani huo ni wizi wa kimachomacho.
Mimi pia ni mwanachama na mtumiaji mkubwa wa Ebay na Amazon na huwa nalazimika kulipia mzigo kupitia DHL na unakuwa umelipia kila kitu.
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
Kunabaadhi ya mizigo ikiji posta wanachukua 2700 na tra wanakupigia mahesabu yao ila nipesa kiduchu sana kwanza mara nyingi mtu wa tra anarazimika kutokukutoza kodi. Mfano nilinunua taa ya pikipiki usd 13xenon 6000k, so ikaja kwenye kabox nikataka kutozwa nikachana kabox nikawaambia hii ni bulb ya pikipiki ya usd 12 so wakaniachia. Tozo zipo kidogo mmno.
Kuhusu TRA nasikia wanakata 18-20% ya Tax/Custom duty
Kwa hiyo kama umechukua mzigo wa 1M utachajiwa 180,000/=
Lkn si vifaa vyote vinalipiwa
Vifuatavyo Havilipiwi Ushuru
- Educational resources
- Agricultural resources eg felrtilizers
- Medical facilities eg Pharmaceuticals
Mkuu kodi inategemea kwa mfano Import Tax ni 25% ya CIF, na kuna baadhi ya items wanakata 5% - 10% kisha 18% VAT
Hivyo ni bora ukafanya utafiti wa kutosha kwa kwenda ofisi za TRA zilizo karibu nawe kama hujui category ipi bidhaa zako inaangukia na huna ujuzi wa kukokotoa kodi.
Emu funguka Basi hivo kama nime-Import mzigo wananicharge 25%+18%=33%
Au kwa izingo mingine ni 10%+18% au ilo nena kwenye red ulimaanisha nn?
Mkuu nimefuatilia mihadhara yako uliyoitoa humu na nimejifunza mengi kutoka kwako. Ninaomba msaada nimejaza detail za cadi yangu ya CRDB nikafika sehemu wanahitaji 9 digit bank codes. Ninejaribu kupekua mtandaoni nikakuta CRDB wanatimia SWIFT codes ambayo ni CoRUTZTZ ambayo haifiki hizo 9 digits na nimedodosa zaidi nikagundua hii code ya crdb ni kwa ajili ya money Transfer tuu. je nyie mliwezaje kikwazo hiki? tusaidie maana wengine sisi ni maamuma wa haya mambosimu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
Mkuu kodi inategemea kwa mfano Import Tax ni 25% ya CIF, na kuna baadhi ya items wanakata 5% - 10% kisha 18% VAT.
Hivyo ni bora ukafanya utafiti wa kutosha kwa kwenda ofisi za TRA zilizo karibu nawe kama hujui category ipi bidhaa zako inaangukia na huna ujuzi wa kukokotoa kodi.
Mfano ulivyosema kuwa ukiagiza kitu kwa gharama ya 1m basi utalipa 180,000 maana yake hivyo ni VAT na item hiyo itakuwa na zero rate ya Import duty lakini kama inayo kwanza watakupiga hiyo custom duty ndiyo waje wamalizie VAT.
Mfano CIF ya kitu ulichoagiza ni U$1600 basi na kina import tax (customy duty):
Kutegemea na rate itayoangukia hiyo item ila nyingi ni 25% nami naapigia kwa hiyo 25%
Customy Duty.
1600 * 1.25 = 2000, kama ni 10% basi utazidisha mara 1.1 na kama ni 5% utapiga mara 1.05
Excise Duty ni zero kwa item nyingi ukitoa magari ambayo huwa charged kwa CC.
VAT
Jibu la juu ambalo ni 2000 * 1.18 = 2360.
Hivyo 2360 - 1600 = 760 in total
760 * Exchange Rate (1632) = 1,240,320 ndiyo kodi utayotakiwa kulipa wakuu.
Hiyo ni kwa kadri ya uelewa wangu.
Mkuu nimefuatilia mihadhara yako uliyoitoa humu na nimejifunza mengi kutoka kwako. Ninaomba msaada nimejaza detail za cadi yangu ya CRDB nikafika sehemu wanahitaji 9 digit bank codes. Ninejaribu kupekua mtandaoni nikakuta CRDB wanatimia SWIFT codes ambayo ni CoRUTZTZ ambayo haifiki hizo 9 digits na nimedodosa zaidi nikagundua hii code ya crdb ni kwa ajili ya money Transfer tuu. je nyie mliwezaje kikwazo hiki? tusaidie maana wengine sisi ni maamuma wa haya mambo
Emu elezea hiyo moja unayoongeza kwenye 0.25 unaitoa wapi?