albert_lema
Member
- Oct 30, 2013
- 33
- 4
Mkuu nisaidie jinsi ya ku filter kwenye e bay ili niweze kuona only bidhaa ambazo zitaweza kutumwa tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, eBay ni mnada ambao yeyote anaweza kuuza bidhaa zake iwapo amejisajili huko, hivyo hakuna specific duka la Ebay linalo-ship Tanzania,ila ni seller ndo anaamua a-ship wapi kutokana either na personal experience ya bidhaa alizowahi ku-ship hiyo nchi zikafika au la,pia wengine wanaangalia shipping period toka mzigo utumwe hadi kufika kwenye destination. Ukiwa muda mrefu sana,hawa-ship kwenye nchi husika kwa kuhofia kuharibu reputation ya business yake or wanaangalia customs policies za nchi kama hazitaathiri usafirishaji wa mzigo kufika kwa mnunuaji.wakuu mimi naielewa pay pal ila shipping ndo utata mkubwa., kama mngekuwa mnajua specific duka la ebay naomba mtueleze na pia kama hilo duka linaship tanzania kwa kutumia dhl its even much better mana dhl ndio ya uhakika na inaealeweka pia ofisi zao zimesambaa sana.,
simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
habari wakuu natumaini nyote wazima, nauliza mfano mimi sina SLP na mimi ni mwana chuo je naweza tumia SLP ya chuo na mzigo ukanifikia.
mwana uliefanya manunuzi toa basi hata number ili tupate ,more info kutoka kwako
Samahani sijaingia hapa muda kidogo. Ni rahisi, yeyote anaweza pata, unaacha tuu copy ya kitamburisho na min deposit $20. Kisha u are up and running. Wasiliana na retail banking section ya BancABC, kisha omba BancAbc Visa Travel Card.
Samahani sijaingia hapa muda kidogo. Ni rahisi, yeyote anaweza pata, unaacha tuu copy ya kitamburisho na min deposit $20. Kisha u are up and running. Wasiliana na retail banking section ya BancABC, kisha omba BancAbc Visa Travel Card.
usikute wanaodai kuwa wanapata vitu vyao kwa njia ya posta ndo walewale.
Mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Akili kumkichwa.
nimejaribu kufanya research ya kina na haya ndio niliyoyapata,
ebay unaweza kununua bidhaa vizuri na ikawa shiped easily kuja kwenye sanduku lako la posta bila taabu,pia ukiweza kufanya mawasiliano na muuzaji(contact seller) na atakujulisha kama ataweza kutuma (ship) mzigo wako kwa njia unayoipendelea,hapa ndio tunakuja katika sekta ya DHL,FedEx na nyinginezo,
ukiweza kufanya contact na seller wako unakuwa na uhuru wa kuchagua shipping method ile unayotaka wewe,kiujumla DHL ni njia safi ya haraka na ina insurance ya uhakika ambayo inakupa amani kuwa mzigo wako ukitumwa basi utakufikia, wengi tunashindwa kutumia DHL kwasababu ya gharama na sellers wengi wa ebay hawatumii hii method kwa sababu hiyohiyo ya gharama,
unavyotakiwa kujua kabla ya kutumia njia ya DHL ni hivi:
-inabidi uwe na TIN number kutoka TRA au kama una leseni basi tayari by default una TIN mumber
-weka namba ya simu au mwambie namba yako ya simu seller ili iwe rahisi kujulishwa mzigo wako ukifika.
-hakikisha malipo yako yanafanyika ebay na sio tofauti na hapo maana matapeli online ni wengi na pesa yako haitarudishwa na ebay.
DHl ni njia nzuri zaidi, kwa wale ambao watakua na data kuhusu FedEx na USPS tafadhali tupeni Data,pia msiogope posta ndugu zangu mimi nimenunua remote ya smart Tv yangu ebay na imekuja posta na nimepigiwa simu ilipofika chuo (nimetumia box la chuo). na nilimuuliza seller kama anaweza kutumia DHL akanijibu DHL ni very expensive.
Msiogope kujaribu pia kuweni EXTRA carefull maana inahitaji muda kidogo mpaka uje kuzoea hii system,na ukishaielewe ni rahisi mnooo.
joe out?!!
ebay wanasisitiza utumie paypal kulipa na kataa kama muuzaji ataomba details zako za akaunti ya benki etc.
na nilichopenda ni, wanakwambia kama hujapata ulichonunua siku kumi baada ya muda wa kufikishwa basi waambie ebay na muuzaji ili waweze kujua kimepotelea wapi pia wanaweza kurefund
Hii thread inanihamasisha kufungua petition kui-request Paypal kuruhusu Paypal Tanzanian Accounts to be able to receive money! Wakati fulani nilijaribu kuleta hiyo mada hapa lakini ni kama haikuwa na uungwaji mkono; probably ilitokana na uelewa mdogo wa wadau kuhusu suala zima la Paypal account! We don't have always use Paypal to make payment (Encouraging Importation); I think it's time now to make use of Paypal to receive payment and thus encouraging online exportation! Nadhani kama tunapata uungwaji mkono na serikali na kuondosha vikwazo basi it's possible kabisa! Hatima watu wangeuza vinywago ebay badala ya kusubiria wazungu waje!