Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mkuu nisaidie jinsi ya ku filter kwenye e bay ili niweze kuona only bidhaa ambazo zitaweza kutumwa tanzania
 
Jaman vile vitu vizuru vizuri kama smartphones, video games consoles wanasema cannot be sent to tz. Tunaushia kupata vile vilivyoandikwa for parts and not in good condition, na vile vitu vya bei rahisi. Nahisi kuna mkono wa wafanyabiashara wa tz kublock some of the items
 
wakuu mimi naielewa pay pal ila shipping ndo utata mkubwa., kama mngekuwa mnajua specific duka la ebay naomba mtueleze na pia kama hilo duka linaship tanzania kwa kutumia dhl its even much better mana dhl ndio ya uhakika na inaealeweka pia ofisi zao zimesambaa sana.,
 
Mkuu, eBay ni mnada ambao yeyote anaweza kuuza bidhaa zake iwapo amejisajili huko, hivyo hakuna specific duka la Ebay linalo-ship Tanzania,ila ni seller ndo anaamua a-ship wapi kutokana either na personal experience ya bidhaa alizowahi ku-ship hiyo nchi zikafika au la,pia wengine wanaangalia shipping period toka mzigo utumwe hadi kufika kwenye destination. Ukiwa muda mrefu sana,hawa-ship kwenye nchi husika kwa kuhofia kuharibu reputation ya business yake or wanaangalia customs policies za nchi kama hazitaathiri usafirishaji wa mzigo kufika kwa mnunuaji.

Mfano,mzigo ukitumwa Russia,hukaa muda mrefu ukisubiri customs clearance, hivyo mnunuaji lazima afungue kesi adai kurudishiwa pesa yake. Sellers wengi hawa-ship Nigeria kwa kuwa nchi hiyo imejaa "item not received scammers" ambapo mtu anapokea mzigo na anadai hakupokea au mizigo kupotea mara nyingi kwenye usafiri. Mara nyingi seller akituma mzigo halafu usifike,hiyo nchi aliyotuma anaiondoa kwenye orodha ya nchi anazo-ship ili kukwepa hasara nyingine. Hivyo TZ tujitahidi kuwa waaminifu ili tusiendelee kupoteza reputation yetu kwenye online stores.

Mkuu, kabla hujanunua bidhaa angalia default shipping method(s) anayotoa seller, kama haipo unayotaka, wasiliana naye kabla hujanunua uulize kama huduma uitakayo inapatikana na inagharimu kiasi gani. Kama ipo, wakati wa kulipia baada ya kununua, omba Invoice ya "Request of total" inayohusisha bei ya item na shipping cost, halafu unalipa kwa pamoja.
 
unaweza kunipa utaratibu kidogo wa kununua kitu kwa Ebay , coz kuna vingine nimevikuta vimeandikwa "Bid" sasa mimi sitaki bid , sijui ndio mnada nataka kama ni kununua ninunue kweli.

simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
 
mwana uliefanya manunuzi toa basi hata number ili tupate ,more info kutoka kwako
 
Samahani sijaingia hapa muda kidogo. Ni rahisi, yeyote anaweza pata, unaacha tuu copy ya kitamburisho na min deposit $20. Kisha u are up and running. Wasiliana na retail banking section ya BancABC, kisha omba BancAbc Visa Travel Card.
 
Funguka vyema mkuu i ddnt get u well for wht ur tryng to say
 
Samahani sijaingia hapa muda kidogo. Ni rahisi, yeyote anaweza pata, unaacha tuu copy ya kitamburisho na min deposit $20. Kisha u are up and running. Wasiliana na retail banking section ya BancABC, kisha omba BancAbc Visa Travel Card.

Mimi nimefungua account na nimepata card ya visa travel kwa $ 30 bancAbc. So minimum amount ni $30
 
Heri ya mwaka mpya 2014 wakuu,

Nadhani hii shida si ya kwangu peke yangu, natumaini tupo wengi wenye shida kama yangu.

Naamini pia kwenye hili jukwaa kuna wakuu wanaufahamu au wamekuwa wanafanya hizi shughuli mara kwa mara.

Hivyo basi, nna baadhi ya maswali naombeni msaada:

1. Nimeshaji-register na paypal na nimenunua kitu mfano ebay, nimefanya malipo kwa paypal, je mzigo unaotumwa kwa ile address niliowapa, huo mzigo unalipiwa kiasi gan?

2. Na unatumwa kwa kutumia shirika gani? ukifika huku kuna kodi yeyote unatakiwa kulipa TRA kwa ajili ya huo mzigo?

3. Njia ipi ni salama kabisa kwa ajili ya kutumiwa huo mzigo?

4. Kuna mdau mmoja alikuwa anelezea njia ya kutumia MyUs. Naomba tafadhali aielezee kwa undani zaidi jinsi inavyofanya kazi na ubora wake.

Natanguliza Shukrani za dhati.

NB: NAOMBA MODS WASIIUNGANISHE HUU UZI NA NYUZI NYINGINE ZINAZOHUSU HII MADA.
 
Kuhusu kufanya manunuzi kwa ebay, maelezo na majibu ya maswali yako yote utayapata kupitia hii thread HAPA. Kuhusu kufanya manunuzi kwa amazon, siwezi kukupa maelezo ya kutosha kuhusu hilo maana mpaka sasa sijawahi kufanikiwa kununua chochote amazon...kila bidhaa ninayojaribu kununua amazon naambiwa kuwa hawasafirishi kuja huku Tanzania. Bidhaa ambazo unaweza kununua amazon ni vitabu, DVDs, music na VHS videos.
 
nimejaribu kufanya research ya kina na haya ndio niliyoyapata,
ebay unaweza kununua bidhaa vizuri na ikawa shiped easily kuja kwenye sanduku lako la posta bila taabu,pia ukiweza kufanya mawasiliano na muuzaji(contact seller) na atakujulisha kama ataweza kutuma (ship) mzigo wako kwa njia unayoipendelea,hapa ndio tunakuja katika sekta ya DHL,FedEx na nyinginezo,
ukiweza kufanya contact na seller wako unakuwa na uhuru wa kuchagua shipping method ile unayotaka wewe,kiujumla DHL ni njia safi ya haraka na ina insurance ya uhakika ambayo inakupa amani kuwa mzigo wako ukitumwa basi utakufikia, wengi tunashindwa kutumia DHL kwasababu ya gharama na sellers wengi wa ebay hawatumii hii method kwa sababu hiyohiyo ya gharama,
unavyotakiwa kujua kabla ya kutumia njia ya DHL ni hivi:
-inabidi uwe na TIN number kutoka TRA au kama una leseni basi tayari by default una TIN mumber
-weka namba ya simu au mwambie namba yako ya simu seller ili iwe rahisi kujulishwa mzigo wako ukifika.
-hakikisha malipo yako yanafanyika ebay na sio tofauti na hapo maana matapeli online ni wengi na pesa yako haitarudishwa na ebay.
DHl ni njia nzuri zaidi, kwa wale ambao watakua na data kuhusu FedEx na USPS tafadhali tupeni Data,pia msiogope posta ndugu zangu mimi nimenunua remote ya smart Tv yangu ebay na imekuja posta na nimepigiwa simu ilipofika chuo (nimetumia box la chuo). na nilimuuliza seller kama anaweza kutumia DHL akanijibu DHL ni very expensive.
Msiogope kujaribu pia kuweni EXTRA carefull maana inahitaji muda kidogo mpaka uje kuzoea hii system,na ukishaielewe ni rahisi mnooo.
joe out?!!
 
hapo kwenye RED pameniumiza mpaka nawachukia DHL
Yaaani wamekaa na mzigo wangu eti kisa sina TIN mwezi mmoja na nusu sasa na hadi hii naandika bado wanazingua
Kitu kingine kilichochelewesha mzigo wangu ni kuwa Seller alituma Proforma invoice(PI) instead of Commercial Invoice(CI)
Ilibidi aitume tena kwa njia ya Posta...Hivo kama sio mpole IMPORTING goods utaumia
 
ebay wanasisitiza utumie paypal kulipa na kataa kama muuzaji ataomba details zako za akaunti ya benki etc.

na nilichopenda ni, wanakwambia kama hujapata ulichonunua siku kumi baada ya muda wa kufikishwa basi waambie ebay na muuzaji ili waweze kujua kimepotelea wapi pia wanaweza kurefund

kama umepokea mzigo na ukawaambia hujapokea watahakikishaje kama umepata mzigo?
 
Hii thread inanihamasisha kufungua petition kui-request Paypal kuruhusu Paypal Tanzanian Accounts to be able to receive money! Wakati fulani nilijaribu kuleta hiyo mada hapa lakini ni kama haikuwa na uungwaji mkono; probably ilitokana na uelewa mdogo wa wadau kuhusu suala zima la Paypal account! We don't have always use Paypal to make payment (Encouraging Importation); I think it's time now to make use of Paypal to receive payment and thus encouraging online exportation! Nadhani kama tunapata uungwaji mkono na serikali na kuondosha vikwazo basi it's possible kabisa! Hatima watu wangeuza vinywago ebay badala ya kusubiria wazungu waje!

aminia mkuu, kama unaweza fanya hivyo haraka, utawasaidia wajasiriamali wengi sana.

heri ya mwaka mpya
 
Back
Top Bottom