Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mm ilikuwa chupa ya dawa fulani ilikuwa marked na seller kuwa itakuwa shipped kwa USPS
USPS iko priority mail na standard mail nahisi kuna moja iko fast na naona nao tracking number zao ziko kama hakina dhl kwamba unajua kila step ya parcel na wako fasta pia nahisi 5days utakuwa umefika
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/63743-usps-package-to-tanzania-anybody.html

Aisee mid nimetumiwa text hiyo Leo nashindwa kuelewa bado kwamba ndo mzigo umekuja au ni nini labda???!! Naomba mwenye uzoefu bandugu

🔙Why be a "king"👑 When you can be "God"💰🔚
 
Attachments

  • 1392746994895.jpg
    1392746994895.jpg
    23 KB · Views: 171
mie natumia akaunti ya shilingi, na laptop zipo ambazo wana ship tanzania

Kaka sasa inakuaje pale mbona kila unapotaka nunua ,na kuandika box inakataa kwenye hiyo box yangu hasa ninaponunua electronic ,je si kila laptop au phones zna shipping kwa tanzania??
 
Kaka sasa inakuaje pale mbona kila unapotaka nunua ,na kuandika box inakataa kwenye hiyo box yangu hasa ninaponunua electronic ,je si kila laptop au phones zna shipping kwa tanzania??

Siyo zote zinaship to Tanzania. Hivyo kabla hujanunua hakikisha umeangalia wana ship wapi na ikiwezekana mcontact seller kuwa na hakika iwapo wanaship kuja Tz.

Hiyo unayonunua imesoma wanaship wapi?
 
shipping inategemea ni wapi mzigo unatoka, mfano mzigo unaotoka marekani na mwingine unatoka hongkong bei itakuwa tofauti, au mzigo unakuja kwa meli au kwa ndege bei zinakuwa tofauti na uwa wanazitaja,

kama huna haraka na mzigo chagua free shipping

Sasa mda mwngne wanasema kua seller haja specify shipping au wanasema kua kW adress yako hatuwez kufanya shipping vp apo mkuu
 
Sasa mda mwngne wanasema kua seller haja specify shipping au wanasema kua kW adress yako hatuwez kufanya shipping vp apo mkuu

Kwanza kama hawaja specify wanaship wapi, basi simply muulize seller iwapo anaship to Tz
Pili ikiwa hawaship kwa labda P.O. Boxes basi tafuta sellers wengine wanaoship kwa njia unayotaka kwa sababu sellers wako wengi sana!
 
Zinazingua nini?

Juzi nimeambiwa MasterCard inamatatizo haifanyi automatic FUNDING pindi pale unapopokea zile Refunds
sasa ikitokea na ile email ya paypal ulishafuta hawakusikilizi kabisa
au kama mtu haujui kwamba refunds kama hauioni kwenye acc inabidi ufatilie Bank huyoo inakula kwake
 
Siyo zote zinaship to Tanzania. Hivyo kabla hujanunua hakikisha umeangalia wana ship wapi na ikiwezekana mcontact seller kuwa na hakika iwapo wanaship kuja Tz.

Hiyo unayonunua imesoma wanaship wapi?

Nchi za ulaya tu kk,bt thnx nmeelewa vema
 
Kwanza kama hawaja specify wanaship wapi, basi simply muulize seller iwapo anaship to Tz
Pili ikiwa hawaship kwa labda P.O. Boxes basi tafuta sellers wengine wanaoship kwa njia unayotaka kwa sababu sellers wako wengi sana!

Vp na hii usps priority mail international ,je shipping yao ni nzur????
 
kwa Tanzania bila S.L.P ni vigumu mzigo ukufikie labda uwambie waship kwa DHL ambayo unaweza kuta bei iko juu kibishi
Nakushauri kafungue SLP kuna uzi umu unaongelea na wanasema ni bei rahisi mm mwenyewe sina SLP ila natumia SLP ya chuo na sidhani kama unaweza ibiwa kitu chako sababu seller anao uwezo waku-track huo mzigo hivo kama zimechezwa njama atawashtukia tu nawatakuwa responsible hata wao wanaogopa kufanya haya mambo.

All in all fungua SLP nahisi inabidi ule uzi wakufungua SLP ufufuliwe sijui tuuupataje maana search box naona inazingua

Kaka shipping inafanywa na usps lakin nimeandika p o box yangu,je mzigo naenda chukua kwa hao usps au ntaenda kwenye iyo pobox yangu kucheck?? Asanten sn
 
Na mbona nkiarbu kumtafuta seller simpat ili niweze fanya mawasiliano nae.au ni njia gan ya kuwasiliana na seller?? Asante sn wanajamvi jf

Seller unaweza muandikia kwa email uwa wanaacha contact zao au unaweza muandikia feedback kupitia ebay
 
Juzi nimeambiwa MasterCard inamatatizo haifanyi automatic FUNDING pindi pale unapopokea zile Refunds
sasa ikitokea na ile email ya paypal ulishafuta hawakusikilizi kabisa
au kama mtu haujui kwamba refunds kama hauioni kwenye acc inabidi ufatilie Bank huyoo inakula kwake

Hapo nimekuelewa ila sijaelewa shida ni crdb au mastercard?
 
Wakuu njunwa wamavoko C6 ThinkPad na wataalamu wengine naombeni kufahamum jamani, nikishajiunga na paypal kupitia crdb kama mtu akinitumia pesa inaingia kwenye akaunti yangu naweza kuiona kwenye balance na kuitumia kama kawaida (say kutoa kwenye atm)? Kuna watu wangependa kunitumia pesa kwa njia hiyo, au ndiyo nitalazimika kuitumia kwa kuagiza vitu tu? je kama nataka iingie kwenya akaunti yangu ya benki crdb inawezekana? Msaada wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu huwa nawauzia vitu fulani, sasa wanapendelea zaidi wanilipe kwa paypal, sasa wengine nikiwaambia sina wananishangaa sana wanaona siko serious. Nisaidieni nafanikishaje hilo?
 
Wakuu njunwa wamavoko C6 ThinkPad na wataalamu wengine naombeni kufahamum jamani, nikishajiunga na paypal kupitia crdb kama mtu akinitumia pesa inaingia kwenye akaunti yangu naweza kuiona kwenye balance na kuitumia kama kawaida (say kutoa kwenye atm)? Kuna watu wangependa kunitumia pesa kwa njia hiyo, au ndiyo nitalazimika kuitumia kwa kuagiza vitu tu? je kama nataka iingie kwenya akaunti yangu ya benki crdb inawezekana? Msaada wakubwa.

Watanzania haturuhusiwi au niseme hatuwezi Kupokea malipo kwa paypal bali ni kununua tu

Tushukuru Mungu kwa hilo maana kuna nchi haziruhusiwi hata kununua kama Nigeria nahisi hapa PayPal wanakwepa CASE za mara kwa mara sababu Afrika uaminifu ni zero
 
Na mbona nkiarbu kumtafuta seller simpat ili niweze fanya mawasiliano nae.au ni njia gan ya kuwasiliana na seller?? Asante sn wanajamvi jf

Tafuta mahali anakoeleza About the seller. Halafu chini yake utaona 'contact' ambapo unaweza kumuuliza seller swali. Mkuu pitia kwa umakini utaona!
 
Watanzania haturuhusiwi au niseme hatuwezi Kupokea malipo kwa paypal bali ni kununua tu

Tushukuru Mungu kwa hilo maana kuna nchi haziruhusiwi hata kununua kama Nigeria nahisi hapa PayPal wanakwepa CASE za mara kwa mara sababu Afrika uaminifu ni zero

i can reship for guys wanaotaka kununua staff usa.utatumia address ya kwangu kuorder hapa usa.au ujinunulie ebay au popote au tuma hela nikunulie kwa leading shops hapa usa kwa commision.its faster na convinient halafu nitakuelewa zaidi kuliko kampuni za online marchandising. au vipi
 
Niliagiza mizigo ebay na nimeipokea yote, moja nimeukuta na matatizo wakanirefund nusu ya pesa kuutengeneza.
 
Hiyo ndio swala kuu my friend.may be nipe suggestion kwa sababu biashara kama hii mara nyingi ni trust. Maybe nitakupa my fone no. Tuongee hana kwa hana. Nimegoggle the other company ulisema and what they did is charging you for use of there company address.sisemi wamekosea but that the address they sell to everyone.
 
Back
Top Bottom