Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Ok i still doubt it tho but kama kweli u do that God be with you cuz ni ngumu sana Ku Fanya hicho ki2 as fellow Tanzanian cc tunajijua ni wezi tu! But nope Skype yako niku add then tuta check Kule I swear nikiridhika ntawapa feedback na watu wengine pia nipe Skype yako or add me +255718242663(Darhood)
 
naomba nielekeze namna ya kujisajiri mtandao huo nami nifaidike na huduma hizo
Ebay siyo matapeli. Ipo organized sana. Yaani kila utakacho utakipata.

Ila wengi wa wauzaji wanataka uwe na paypal ambayo wengi wa wabongo hatuna au hatujajisaijili na mtandao huo.
 
Watanzania haturuhusiwi au niseme hatuwezi Kupokea malipo kwa paypal bali ni kununua tu

Tushukuru Mungu kwa hilo maana kuna nchi haziruhusiwi hata kununua kama Nigeria nahisi hapa PayPal wanakwepa CASE za mara kwa mara sababu Afrika uaminifu ni zero

Sidhani kama tatizo ni uaminifu, Tanzania sidhani kama kuna watu wanaweza kuiibia paypal, wako tight sana security zao, wanawezwa na walioendelea wenzao.
Hivi kwenye situation ambayo unatakiwa kurudishiwa pesa yako (refund) inakuwaje kama ac haiwezi kupokea malipo?
 
Mm naweza kutengeneza paypal ya mda afu nikakwambia nitumie 150$ ili nikuuzie let say RADIO fulani wewe ukinitumia basi mm nakutepeli ...we ukifungia case na acc yangu iko 0 balance hawataweza kufanya kitu zaidi wao itabidi waingie cost kukurudishia wewe... hii ndo uaminifu na effect yake niliongelea hapa ..

Kuhusu Refund hizo zinakuja tu bila shida ila nyingi sio automatic...paypal wanaziweka kwenye acc yako ya visa au mastercard....afu department husika wanaziamisha kuziingiza acc yako ya Bank iwapo haikufanyika automatic na wewe unazo evidence
 
Hahahaa, wabongo hawajafikia hatua ya kuogopeka hivyo Mkuu. BTW, business accounts za paypal zina masharti tofauti kabisa, you cant cash-out that easy, otherwise tungekuwa scammed kila siku, unajua you can easily buy a hacked paypal account for up to 5% of balance (yaani kama akaunti ina $10000 unatoa kama $500 tu unapewa login details!!), tatizo linakuja kwenye CASHOUT, jamaa wako tight mbaya. Nadhani ni hawajafikia makubaliano ya kisheria na kibiashara tu.
 
Kuhusu Refund hizo zinakuja tu bila shida ila nyingi sio automatic...paypal wanaziweka kwenye acc yako ya visa au mastercard....afu department husika wanaziamisha kuziingiza acc yako ya Bank iwapo haikufanyika automatic na wewe unazo evidence

Hapo wanatunyima fursa kabisaa, dah! bora kuhama bongo. Hivi nikifungua akaunti ya kcb naweza nikalink na akaunti ya paypal iliyofunguliwa kenya?
 
Nimesoma uzi mwanzo Mwisho kwa Masaa Ma4 .Nimeelewa na kupata ufafanuzi wa hali ya juu!::
 
Ukizoea kununua vitu ebay utapata shida kununua vitu bongo hasa vidogovidogo ambavyo havitozwi ushuru.

SABABU KUBWA NI UBORA WA BIDHAA.
Nyingine ni urahisi wa bei!

NYINGINE NI KWAMBA UNAWEZA KUNUNUA UKIWA POPOTE- beach, safarini, sebuleni, garden, kitandani!
Faidi utandawazi!!
 
Hapo wanatunyima fursa kabisaa, dah! bora kuhama bongo. Hivi nikifungua akaunti ya kcb naweza nikalink na akaunti ya paypal iliyofunguliwa kenya?

kwan kenya wamefika vigezo gan had waruhusiwe kuuza ebay??
 
Back
Top Bottom