Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.

Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi.

Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia Google Meet, utajiunga kupia link hii

Freelancing
Saturday
12:30-1:30 PM
Ni bure kabisa na nitashare nanyi tips za ku earn kuanzia ela ndogo kama $10 mpaka zile za kuearn 1000+.
Itakuwa ni brief sana, siyo kwamba nitakupa skills, bali utapata idea pa kuanzia na kuendelea kujiendeleza kwa skills nyingine.
Baadhi ya mambo nitakayogusia ni
Annotation
Subtitling
Voice Over
Translation
Transcreation
Copywriting
Online research
Na unafanye ili kupata clients.
Itakuwa ni brief tu ndiyo maana itakuwa ni kwa 1 hour.
Asanteni
 
Hakika Huu ni msaada mkubwa sana kwa walio wengi.

Sababu walio wengi huitaji Tips za mahala pa kuanzia tu.

Kila lakheri, nami nitakuwepo online.
 
Nina wazo.

Fanya pia utaratibu uweze ku_record hiyo session, Then utauplooad MEGA na kushare link yake hapa JF ili wengi zaidi wanufaike.
Nitafanya hivyo mkuu. Karibu sana. Mkuu.
 
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.
Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi.
Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia Google Meet, utajiunga kupia link hii
Freelancing
Saturday, June 18 · 12:00 – 1:00pm
Google Meet joining info
Video call link: Meet
Ni bure kabisa na nitashare nanyi tips za ku earn kuanzia ela ndogo kama $10 mpaka zile za kuearn 1000+.
Itakuwa ni brief sana, siyo kwamba nitakupa skills, bali utapata idea pa kuanzia na kuendelea kujiendeleza kwa skills nyingine.
Baadhi ya mambo nitakayogusia ni
Annotation
Subtitling
Voice Over
Translation
Transcreation
Copywriting
Online research
Na unafanye ili kupata clients.
Itakuwa ni brief tu ndiyo maana itakuwa ni kwa 1 hour.
Asanteni
Uwa natamani sana hii hila tatizo langu kubwa ni lugha ya malkia, je unaweza nsaidiaje?
 
Anayetaka kujufunza VIDEO SUBTITLE nafundisha kwa 20,000 nishaanza kufundisha Week iliyopita Online utalipia 20,000 mafunzo nimeweka Telegram.
 
Tuelekeze jinsi ya kuwin kupata hata hizo kazi basi maana unaweza ukawa na account ila kazi hupati
 
Salute sana Nafaka kwa sababu ni watu wachache sana wenye courage ya kushea mchongo in such details... Yani mkuu umededicate time yako kabisa hichi ni kitu kikubwa nauhakika wachache tulioudhulia meet ile tumeondoka na kitu kikubwa sana.
 
Salute sana Nafaka kwa sababu ni watu wachache sana wenye courage ya kushea mchongo in such details... Yani mkuu umededicate time yako kabisa hichi ni kitu kikubwa nauakika wachache tulioudhulia meet ile tumeondoka na kitu kikubwa sana.
Nashukuru sana mkuu.. hope itasaidia mkuu.
 
Back
Top Bottom