Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.

Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi.

Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia Google Meet, utajiunga kupia link hii

Freelancing
Saturday
12:30-1:30 PM
Ni bure kabisa na nitashare nanyi tips za ku earn kuanzia ela ndogo kama $10 mpaka zile za kuearn 1000+.
Itakuwa ni brief sana, siyo kwamba nitakupa skills, bali utapata idea pa kuanzia na kuendelea kujiendeleza kwa skills nyingine.
Baadhi ya mambo nitakayogusia ni
Annotation
Subtitling
Voice Over
Translation
Transcreation
Copywriting
Online research
Na unafanye ili kupata clients.
Itakuwa ni brief tu ndiyo maana itakuwa ni kwa 1 hour.
Asanteni
Mkuu kwema ? Ase nimepitwa na kitu muhimu sana ktk hizo training uzokuwa ukitoa ndo kwanza nafungua Jf nakutana na habali hii na nikicheki mda ushaniacha tafazari naomba nisaidie hata kw njia ya watsap 0687635282
 
Aise nilisau kuweka notification, but kwa yule anayehutaji kujifunza ujuzi wa kuuza kama Video Subtittling nimewa mafunzo Telegrama kwa gharama ndogo.

Pia Web Design na Mobile App design naelekeza Basic kwa gharama ndogo
IMG_20220614_174157.jpg
 
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.

Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi.

Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia Google Meet, utajiunga kupia link hii

Freelancing
Saturday
12:30-1:30 PM
Ni bure kabisa na nitashare nanyi tips za ku earn kuanzia ela ndogo kama $10 mpaka zile za kuearn 1000+.
Itakuwa ni brief sana, siyo kwamba nitakupa skills, bali utapata idea pa kuanzia na kuendelea kujiendeleza kwa skills nyingine.
Baadhi ya mambo nitakayogusia ni
Annotation
Subtitling
Voice Over
Translation
Transcreation
Copywriting
Online research
Na unafanye ili kupata clients.
Itakuwa ni brief tu ndiyo maana itakuwa ni kwa 1 hour.
Asanteni
Mkuu habari, nimeipenda Sana hii Ila naona ulishea na watu siku nyingi. Napataje msaada? Mmaggiemyambe@gmail.com
 
Back
Top Bottom