Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji85][emoji85] jina lisikubabaishe mkuu, sawa mkuu ww jipange tuShukrani mkuu kwa maelezo yaliyonyooka japo jina lako ni Yumbayumba. Ngoja nikusanye nguvu ili nami nianze kulima hiyo nyanya inayoitwa Asila, kwa sasa wacha kwanza nikomae na hizi mbegu za kawaida maana hii Asila itanitoa Damu.
Shukrani mkuu kwa maelezo yaliyonyooka japo jina lako ni Yumbayumba. Ngoja nikusanye nguvu ili nami nianze kulima hiyo nyanya inayoitwa Asila, kwa sasa wacha kwanza nikomae na hizi mbegu za kawaida maana hii Asila itanitoa Damu.
Hapana unakosea usilime eneo kubwa mapato kidogo anza na eneo dogo upate zaidi,hata robo eka inatosha kuanzia,lima mbegu bora maana mbegu bora mmea mmoja ni kg10 wala hizi za kawaida mmea mmoja ni kg3 sasa huoni eneo kubwa la hizi za kawaida mavuno unapata kwenye eneo dogo,ekari moja ya za kawaida inapitwa mavuno na robo ekari ya nyanya bora
Dahh! Aisee umenipa mwanga zaidi, kumbe unaweza kuta mazao ninayopata katika hekari mbili kwa kutumia mbegu ya kawaida kwa mbegu ya kisasa ni sawa na Nusu heka.
Hakika na unakua umepunguza cost ya uzalishaji
Mbegu za kisasa zipo nyingi sn tafuta ambayo una uwezo nayo si lazima asilaKupotea njia wakati wa kwenda, nitafanyia kazi ushauri.
Hongereni wakulima wa nyanya, nimeona first page mambo ya mbegu naomba nichangie,
Ukulima nyanya hybrid/chotara au unalima za kawaida/opv tambua huduma zake ni sawa yaani kiasi cha dawa, mbolea,maji,muda wa palizi,vibarua,shamba kama la kukodi bei ni ile ile tofauti iliyopo kati ya kutumia mbegu chotara na mbegu ya kawaida ni mosi bei mbegu chotara ghali kuliko za kawaida na pili mavuno mbegu chotara ina mavuno mengi sana kuliko za kawaida na other advantage chotara inauvumilivu wa magonjwa kuliko za kawaida.
Huwa iko hivi kulima nyanya ya faida kwa asilimia Mia moja za mavuno basi asilimia 10 inatoka kwenye mbegu na asilimia 90 inatoka kwenye huduma. Hivyo unapoona mbegu chotara ghali ukanunua za kawaida tambua umeshajiandaa kupata hasara sababu huduma ni the same.
Tuondoke kwenye kulinganishiana maeneo yaani alielima pakubwa ndio mkulima lah tuje kwenye kulima eneo ambalo unaweza kuhudumia vyema na unapata mavuno bora basi utafanikiwa.
Kama unalima let's say jarrah rz unapata crate 1000 kwa ekari (ndio uzao wake) na mwingine analima rio grand akapata crate 200 kwa ekari na muda Huo Huo uduma sawa sawa kote basi alielima jarrah atapata faida hata kama nyanya itauzwa elf 10 kwa crate na alielima rio grand atapata hasara hata crate likiuzwa elf 40
mkuu nahitaji kwenda nunua mbegu ya nyanya kesho kkoo,,embu nitofautishie mbegu za kawaida na za kisasa zinakuwaje?Hapana unakosea usilime eneo kubwa mapato kidogo anza na eneo dogo upate zaidi,hata robo eka inatosha kuanzia,lima mbegu bora maana mbegu bora mmea mmoja ni kg10 wala hizi za kawaida mmea mmoja ni kg3 sasa huoni eneo kubwa la hizi za kawaida mavuno unapata kwenye eneo dogo,ekari moja ya za kawaida inapitwa mavuno na robo ekari ya nyanya bora
Mkuu naomba nisaidie atleast majina 5 ya mbegu za kisasa na bei zake,,nahitaji kwenda kuchkua keshoMbegu za kisasa zipo nyingi sn tafuta ambayo una uwezo nayo si lazima asila
Mbegu za kisasa hybridMkuu naomba nisaidie atleast majina 5 ya mbegu za kisasa na bei zake,,nahitaji kwenda kuchkua kesho
Na nitajuaje hii ni ya kisasa au ni ya kawaida?
Hiyo anna na eden mara nyingi zinatumika kwenye green house. Na zinaenda juu sana karibu mita mbili mpaka mbili na nusu!!Mbegu za kisasa hybrid
1) Assila f1
2)Eden f1
3)Anna f1
4)Monica f1
5)Imara f1
Kuhusu bei zinatofautiana duka na duka
Kuhusu kutofautisha mbegu za kawaida na za kisasa tofauti ya kwanza ndio hiyo mbegu za kisasa lazima ziandikwe hybrid, hata bei zake tofauti na za kawaida
Mkuu naomba nisaidie atleast majina 5 ya mbegu za kisasa na bei zake,,nahitaji kwenda kuchkua kesho
Na nitajuaje hii ni ya kisasa au ni ya kawaida?
Nashkuru sana mkuu,,ila hiyo Assila nimepita kwnye coments nimeona ni ghali mno ila ngoja tuone.Hiyo anna na eden mara nyingi zinatumika kwenye green house. Na zinaenda juu sana karibu mita mbili mpaka mbili na nusu!!
Kama unalima nje chukua assila maana zinafanya njema sana wakati wa ukame, nazo ni ndefu sana ila hazikutii anna f1!!
Nb: hizi mbegu zinazaa sana na zinahitaji matunzo sana na ujitahidi uweke fito zikianza kukua!!
Shukrani mkuu,Mbegu za kisasa hybrid
1) Assila f1
2)Eden f1
3)Anna f1
4)Monica f1
5)Imara f1
Kuhusu bei zinatofautiana duka na duka
Kuhusu kutofautisha mbegu za kawaida na za kisasa tofauti ya kwanza ndio hiyo mbegu za kisasa lazima ziandikwe hybrid, hata bei zake tofauti na za kawaida
Kuna tofauti gani kati ya ndefu na fupi kwenye mazao??Mbegu za kisasa ziko nyingi sana sababu kila kampuni ya mbegu inakua nazo ila la kwanza mbegu za kisasa nyinyi wanaandika f1 mbele ya jina ila kuna kampuni kama Rijk zwaan wao mbegu zao zote za kisasa.
Ziko nyanya fupi,saizi ya kati na ndefu. Kama unalima nnje nyanya saizi ya kati (semi determinate) zinakufaa zaidi mfano mchache ni
Kipato f1 (east west)
Imara f1 (east west)
Jarrah rz (rijk zwaan)
Assila f1
Etc
Ndefu kuna
Montezul (rijk zwaan)
Anna f1
Vicyory f1 (east west)
Kuna tofauti gani kati ya ndefu na fupi kwenye mazao??
Mkuu kuna dawa ulisema ulitumia kwa ajil ya kantangaze inaitwa Trysel km nlisoma vzur,,inapatikana wp na ni sh ngap? mana nimezunguka kkoo maduka yote hakunaMbegu za kisasa hybrid
1) Assila f1
2)Eden f1
3)Anna f1
4)Monica f1
5)Imara f1
Kuhusu bei zinatofautiana duka na duka
Kuhusu kutofautisha mbegu za kawaida na za kisasa tofauti ya kwanza ndio hiyo mbegu za kisasa lazima ziandikwe hybrid, hata bei zake tofauti na za kawaida
Nilinunua 35,000/= sijui kwann kariakoo hakuna ila jaribu kuulizia wana dawa gani za kantangaze maana madawa kila siku yanatoka mapyaMkuu kuna dawa ulisema ulitumia kwa ajil ya kantangaze inaitwa Trysel km nlisoma vzur,,inapatikana wp na ni sh ngap? mana nimezunguka kkoo maduka yote hakuna