Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Mkuu miche yangu nlopandikiza shamba majani yake yanaelekea kwnye rangi ya njano na kuna miche mingine imekufa kwa kuoza kuanzia chini mpk katikat ya mcheFupi inakaa miezi mitatu inakua imeisha inatoa nyanya juu kwenye kichwa cha mche,mavuno unavuna mengi kwa wakati mfupi sababu kila shina linaachwa hivyo ikiwa na mashine manne inamaana ni zaidi ya kg 2 utavuna kwa wiki kwa kila mmea,mmea mfupi mpaka kuisha chotara nyingi ni kg 10 kwa mche mmoja ila za kienyeji fupi ni kg 2 mpaka 3 kwa mche mmoja.
Ndefu hazina mwisho wa kukua hivyo uvunwa sita mpaka nane na hata zaidi kutegemea na huduma yako,ndefu hukupa wastani wa chini kg 20 kwa shina moja ila uvunaji wake kila wiki ni kichane kimoja ambacho mara nyingi huwa kg 1
Ni ugonjwa gani huu na nafanyaje kuukabili,, Msaada wako tafadhali..


