Jifunze kilimo cha nyanya

Hivi gram 75 za ede
mkuu umbali wa shimo hadi shimo inategemea na mbegu unayotumia, kwa assila tunapiga cm30 shimo na shimo na cm60 mstari hadi mstari

assila uwa tunanunua arusha kwa dar sifahamu zinapatikani wapi
n zinatosha kwa eka 2
 
Kwa wataalamu hivi udongo ambao ni kichanga kabisa kile cheupe kinafaa kwa kupandia nyanya??au udongo wa mfinyanzi?
 
Gram ngapi zatosha kwa ekari 1 kwa kuzingatia nafasi za kitaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…