Hivi gram 75 za ede
n zinatosha kwa eka 2mkuu umbali wa shimo hadi shimo inategemea na mbegu unayotumia, kwa assila tunapiga cm30 shimo na shimo na cm60 mstari hadi mstari
assila uwa tunanunua arusha kwa dar sifahamu zinapatikani wapi