Mbegu za kisasa zipo nyingi sn tafuta ambayo una uwezo nayo si lazima asila
Ni nzuri, itakupa matokeo mazuri sababu umeilima wakati wake, ni mbegu inayohitaji maji mengi hivyo kwa mvua hizi itakupa matokeo mazuriMkuu, nimelima nyanya mbegu nimetumia Imara F1 kutoka east west seeds company., vipi hii aina ya mbegu sokoni inafanya vizuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza huu ugonjwa unaitwa STEM ROT (usifananishe na ROOT ROT)View attachment 1446374View attachment 1446375
Hii ndiyo iliyoanza na miche ikaanza kukatika hapo kwenye shina
ndipo nikapiga
RIDOMIL GOLD na BLUE COPPER
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakushauri ukitoa/kuvuna hizo nyanya... Tibu kwanza shamba lako then ndio uendelee kulima.Wakuu hii ni Imara F1
nimekuta Leo hii hali sio kwa miche yote bali iliyomingi ina hali hiiView attachment 1446356
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni nzuri, itakupa matokeo mazuri sababu umeilima wakati wake, ni mbegu inayohitaji maji mengi hivyo kwa mvua hizi itakupa matokeo mazuri
Few years from now you may wish you should have started today...

Hii kitu imenitesa Sana mkuu, dawa yake ni nini?
Hapo mkulima kapatwa mche umenawiri umeanza kuonyesha manufaa, wadudu waharibifu wamefanya yao. Hakuna jinsi ni kuung'oa tuu huku bado ukiwa unauhitaji mche wako, unaweza ukalia.
Hakuna vidudu vyeupe hivi? Chunguza vizuri. Vile vidudu ni vibaya sana kwenye maua.msaada tatizo la maua kukauka., kama ni maji naweka ya kutosha ila sijajua tatizo ni nini hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna vidudu vyeupe hivi? Chunguza vizuri. Vile vidudu ni vibaya sana kwenye maua.
Ohoo hivyo ndo mchawi mkuu, vinakausha sana maua,vipo Mkuu vingi sana., sasa nitumie dawa gani?
Ohoo hivyo ndo mchawi mkuu, vinakausha sana maua,
Tumia dawa inaitwa protector.
Dawa nyingine watakuja kututajia kina @hotculturalist.
Ni kweli hivyo vidudu huwa vinapenda sana hali ya jua, nyanya za msimu wa mvua nyingi huwa havipo kabisa au vinakuwepo vichache sana. Ila nyanya za kumwagilia huwa ndiyo mahala pake.basi vimenitia hasara sana hivyo., mwanzo nilidhani hakuna maji ya kutosha basi nikawa nakadhana kuweka maji mengi.
Ni kweli hivyo vidudu huwa vinapenda sana hali ya jua, nyanya za msimu wa mvua nyingi huwa havipo kabisa au vinakuwepo vichache sana. Ila nyanya za kumwagilia huwa ndiyo mahala pake.
Ukiipata protector utaokoa jahazi.
Mkuu huo ugonjwa n sawa na huu ktk mti wangu.Kabla sijauliza zaidi nasubiri majibu, umeshambulia niche yangu 20.Braza huu ugonjwa unaitwa STEM ROT (usifananishe na ROOT ROT)
Hutokea mazao yoteee.
Kwenye mahindi huitwa STALK ROT.
Hata Mimi kwenye shamba la parachichi uliingia (kwenye miche niliyopanda mwaka huu).
Ugonjwa huu ni wa fungus Jamii (Genus) ya Phytophthora.
Phytophthora ni fungus wa ajabu sana.
Mpaka sasa hivi wanasayansi washagundua species 150 na wanaamini kuna species 200 - 500 bado hazijagundulika.
Na mmoja wa species ya huyu fungus ni yule anaeleta early na late bright.
Sasa changamoto ni kwamba kwa huu ugonjwa wa stem rot ni SOIL BORNE DISEASE.
Kuna njia nyingi ya kuuzuia japo HAKUNA DAWA ZAIDI YA KUMFANYA TU ASIENDELEE KUZALIANA (Kutoa spore).
Kuna njia nyingi za Mechanical... Biological na Chemical.
Mi nilitumia zote na nilivyopanda miche mipya niliona MICHE MIPYA HAIHATHIRIKI TENA..!!!
Nakushauri tumia google kusoma STEM ROT.
Mi nilitumia google nikakuta research nyingi zilinisaidia kuutibu.
Nakukumbusha ni SOIL BORNE DISEASE.
Na huweza kuletwa shambani (kusambazwa) shamba kwenda shamba kwa njia nyingi kama palizi kipindi magugu ni mabichi, upepo kusafirisha mbegu zake (spores)...Maji kusafiri shamba moja hadi jengine... Na nyengine kibao.
Wapo wanaosema hauna dawa kwasababu, ni kama ROOT ROT; Hakuna mkulima aliyefanikiwa kuuondoa shambani ukatoka completely.
Mi nilitumia Copper.. Sulphur na Phosphorus NAAMINI wamesepa...!!!!
#YNWAView attachment 1446394
Wrote from Anfield..!!!
We hii michumo ni ya mbegu gani. Mbona kama haina uhalisia ivi?Mkuu mavuno ya nyanya yapo hivi, sisi tunauza kwa box, na tunavuna kila wiki.
Sasa ule mchumo wa kwanza tunaita fundisha, sasa mfano mchumo wa kwanza ukichuma box 20 utaangalia na bei itakavyokuwa sokoni mfano ikiwa 10000 utapata 200,000/=
Utakuja mchumo wa pili box zinaongeza unaweza kupata box 60 pia utazidisha kwa bei iliyopo sokoni au tufanye ile ile 10000 utapata 600,000/=
Mchumo wa tatu unaweza kupata box 120 pia utazidisha kwa bei
Mchumo wa 4 utaweza kupata box 180 pia utazidisha kwa bei
Mchumo wa 5 unaweza kupata box 240 utazidisha kwa bei,
Baada ya hapo nyanya nitaanza kupungua mchumo unaofata zitarudi 180 alafu 120 alafu 60 mwisho 20 biashara imeisha
Utajumlisha kila mchumo umepata bei gani utatoa na gharama ulizotumia
Hizo bei ni mfano zinaweza kuzidi au kupungua
Mkuu huo ugonjwa ulishambulia parachichi zangi zikafa 10.Braza huu ugonjwa unaitwa STEM ROT (usifananishe na ROOT ROT)
Hutokea mazao yoteee.
Kwenye mahindi huitwa STALK ROT.
Hata Mimi kwenye shamba la parachichi uliingia (kwenye miche niliyopanda mwaka huu).
Ugonjwa huu ni wa fungus Jamii (Genus) ya Phytophthora.
Phytophthora ni fungus wa ajabu sana.
Mpaka sasa hivi wanasayansi washagundua species 150 na wanaamini kuna species 200 - 500 bado hazijagundulika.
Na mmoja wa species ya huyu fungus ni yule anaeleta early na late bright.
Sasa changamoto ni kwamba kwa huu ugonjwa wa stem rot ni SOIL BORNE DISEASE.
Kuna njia nyingi ya kuuzuia japo HAKUNA DAWA ZAIDI YA KUMFANYA TU ASIENDELEE KUZALIANA (Kutoa spore).
Kuna njia nyingi za Mechanical... Biological na Chemical.
Mi nilitumia zote na nilivyopanda miche mipya niliona MICHE MIPYA HAIHATHIRIKI TENA..!!!
Nakushauri tumia google kusoma STEM ROT.
Mi nilitumia google nikakuta research nyingi zilinisaidia kuutibu.
Nakukumbusha ni SOIL BORNE DISEASE.
Na huweza kuletwa shambani (kusambazwa) shamba kwenda shamba kwa njia nyingi kama palizi kipindi magugu ni mabichi, upepo kusafirisha mbegu zake (spores)...Maji kusafiri shamba moja hadi jengine... Na nyengine kibao.
Wapo wanaosema hauna dawa kwasababu, ni kama ROOT ROT; Hakuna mkulima aliyefanikiwa kuuondoa shambani ukatoka completely.
Mi nilitumia Copper.. Sulphur na Phosphorus NAAMINI wamesepa...!!!!
#YNWAView attachment 1446394
Wrote from Anfield..!!!
Huu ugonjwa unaitwa Late blight. Ni ugonjwa unaosababishwa na Fungus( Ukungu). Unajitokeza sana msimu wa mvua(Masika) na msimu wa baridi kali.Huanza kushambulia miche midogo toka ikiwa kwenye Kitalu hadi shambani.View attachment 1446374View attachment 1446375
Hii ndiyo iliyoanza na miche ikaanza kukatika hapo kwenye shina
ndipo nikapiga
RIDOMIL GOLD na BLUE COPPER
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanauzaje, katika package gan mkuu.Kuna zara f1 mbegu bora sana na inavumilia magonjwa yote ya mnyauko,ni ya balton tz si mchezo hiyo,production per acre crate 800 unapata