Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Mkuu, nimelima nyanya mbegu nimetumia Imara F1 kutoka east west seeds company., vipi hii aina ya mbegu sokoni inafanya vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nzuri, itakupa matokeo mazuri sababu umeilima wakati wake, ni mbegu inayohitaji maji mengi hivyo kwa mvua hizi itakupa matokeo mazuri

Few years from now you may wish you should have started today...
 
View attachment 1446374View attachment 1446375
Hii ndiyo iliyoanza na miche ikaanza kukatika hapo kwenye shina
ndipo nikapiga
RIDOMIL GOLD na BLUE COPPER

Sent from my iPhone using JamiiForums
Braza huu ugonjwa unaitwa STEM ROT (usifananishe na ROOT ROT)

Hutokea mazao yoteee.
Kwenye mahindi huitwa STALK ROT.

Hata Mimi kwenye shamba la parachichi uliingia (kwenye miche niliyopanda mwaka huu).

Ugonjwa huu ni wa fungus Jamii (Genus) ya Phytophthora.
Phytophthora ni fungus wa ajabu sana.
Mpaka sasa hivi wanasayansi washagundua species 150 na wanaamini kuna species 200 - 500 bado hazijagundulika.

Na mmoja wa species ya huyu fungus ni yule anaeleta early na late bright.

Sasa changamoto ni kwamba kwa huu ugonjwa wa stem rot ni SOIL BORNE DISEASE.

Kuna njia nyingi ya kuuzuia japo HAKUNA DAWA ZAIDI YA KUMFANYA TU ASIENDELEE KUZALIANA (Kutoa spore).

Kuna njia nyingi za Mechanical... Biological na Chemical.

Mi nilitumia zote na nilivyopanda miche mipya niliona MICHE MIPYA HAIHATHIRIKI TENA..!!!

Nakushauri tumia google kusoma STEM ROT.
Mi nilitumia google nikakuta research nyingi zilinisaidia kuutibu.

Nakukumbusha ni SOIL BORNE DISEASE.
Na huweza kuletwa shambani (kusambazwa) shamba kwenda shamba kwa njia nyingi kama palizi kipindi magugu ni mabichi, upepo kusafirisha mbegu zake (spores)...Maji kusafiri shamba moja hadi jengine... Na nyengine kibao.

Wapo wanaosema hauna dawa kwasababu, ni kama ROOT ROT; Hakuna mkulima aliyefanikiwa kuuondoa shambani ukatoka completely.

Mi nilitumia Copper.. Sulphur na Phosphorus NAAMINI wamesepa...!!!!

#YNWA
IMG_20200119_101622.jpg

Wrote from Anfield..!!!
 
Wakuu hii ni Imara F1
nimekuta Leo hii hali sio kwa miche yote bali iliyomingi ina hali hiiView attachment 1446356

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakushauri ukitoa/kuvuna hizo nyanya... Tibu kwanza shamba lako then ndio uendelee kulima.

Au inaonyesha hupigi dawa kwa ratiba... Unapiga mpaka uone ugonjwa.

Unapofanya kilimo cha HOLTICULTURE uwe unapiga dawa kila week au setted interval hata kama huoni ugonjwa wowote.

Kama ni nyanya vile zikochepua tu ni mwendo wa ridomil na copper na usisahau ratiba za dawa za wadudu kama DuduAcelamectine.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!!
 
d34aee175620b5c2b48552d5723388d0.jpg

Hapo mkulima kapatwa mche umenawiri umeanza kuonyesha manufaa, wadudu waharibifu wamefanya yao. Hakuna jinsi ni kuung'oa tuu huku bado ukiwa unauhitaji mche wako, unaweza ukalia.
Hii kitu imenitesa Sana mkuu, dawa yake ni nini?
 
Ohoo hivyo ndo mchawi mkuu, vinakausha sana maua,
Tumia dawa inaitwa protector.

Dawa nyingine watakuja kututajia kina @hotculturalist.

basi vimenitia hasara sana hivyo., mwanzo nilidhani hakuna maji ya kutosha basi nikawa nakadhana kuweka maji mengi.
 
basi vimenitia hasara sana hivyo., mwanzo nilidhani hakuna maji ya kutosha basi nikawa nakadhana kuweka maji mengi.
Ni kweli hivyo vidudu huwa vinapenda sana hali ya jua, nyanya za msimu wa mvua nyingi huwa havipo kabisa au vinakuwepo vichache sana. Ila nyanya za kumwagilia huwa ndiyo mahala pake.

Ukiipata protector utaokoa jahazi.
 
sawa mkuu nashukuru sana
 
Tatizo la nyanya kunyauka na mwishowe kukauka kabisa kuanzia shina, majani hadi matunda, nitumie dawa gani wakuu
 
THE HORTICULTURISTS

Jiunge kwenye kundi letu la whatsap tujadili mada mbali mbali kuhusu kilimo.
Kutana na wataalamu upatiwe majibu ya maswali yako kuhusu kilimo.
 
Braza huu ugonjwa unaitwa STEM ROT (usifananishe na ROOT ROT)

Hutokea mazao yoteee.
Kwenye mahindi huitwa STALK ROT.

Hata Mimi kwenye shamba la parachichi uliingia (kwenye miche niliyopanda mwaka huu).

Ugonjwa huu ni wa fungus Jamii (Genus) ya Phytophthora.
Phytophthora ni fungus wa ajabu sana.
Mpaka sasa hivi wanasayansi washagundua species 150 na wanaamini kuna species 200 - 500 bado hazijagundulika.

Na mmoja wa species ya huyu fungus ni yule anaeleta early na late bright.

Sasa changamoto ni kwamba kwa huu ugonjwa wa stem rot ni SOIL BORNE DISEASE.

Kuna njia nyingi ya kuuzuia japo HAKUNA DAWA ZAIDI YA KUMFANYA TU ASIENDELEE KUZALIANA (Kutoa spore).

Kuna njia nyingi za Mechanical... Biological na Chemical.

Mi nilitumia zote na nilivyopanda miche mipya niliona MICHE MIPYA HAIHATHIRIKI TENA..!!!

Nakushauri tumia google kusoma STEM ROT.
Mi nilitumia google nikakuta research nyingi zilinisaidia kuutibu.

Nakukumbusha ni SOIL BORNE DISEASE.
Na huweza kuletwa shambani (kusambazwa) shamba kwenda shamba kwa njia nyingi kama palizi kipindi magugu ni mabichi, upepo kusafirisha mbegu zake (spores)...Maji kusafiri shamba moja hadi jengine... Na nyengine kibao.

Wapo wanaosema hauna dawa kwasababu, ni kama ROOT ROT; Hakuna mkulima aliyefanikiwa kuuondoa shambani ukatoka completely.

Mi nilitumia Copper.. Sulphur na Phosphorus NAAMINI wamesepa...!!!!

#YNWAView attachment 1446394

Wrote from Anfield..!!!
Mkuu huo ugonjwa n sawa na huu ktk mti wangu.Kabla sijauliza zaidi nasubiri majibu, umeshambulia niche yangu 20.
 
Mkuu mavuno ya nyanya yapo hivi, sisi tunauza kwa box, na tunavuna kila wiki.

Sasa ule mchumo wa kwanza tunaita fundisha, sasa mfano mchumo wa kwanza ukichuma box 20 utaangalia na bei itakavyokuwa sokoni mfano ikiwa 10000 utapata 200,000/=

Utakuja mchumo wa pili box zinaongeza unaweza kupata box 60 pia utazidisha kwa bei iliyopo sokoni au tufanye ile ile 10000 utapata 600,000/=

Mchumo wa tatu unaweza kupata box 120 pia utazidisha kwa bei

Mchumo wa 4 utaweza kupata box 180 pia utazidisha kwa bei

Mchumo wa 5 unaweza kupata box 240 utazidisha kwa bei,

Baada ya hapo nyanya nitaanza kupungua mchumo unaofata zitarudi 180 alafu 120 alafu 60 mwisho 20 biashara imeisha

Utajumlisha kila mchumo umepata bei gani utatoa na gharama ulizotumia

Hizo bei ni mfano zinaweza kuzidi au kupungua
We hii michumo ni ya mbegu gani. Mbona kama haina uhalisia ivi?
 
Braza huu ugonjwa unaitwa STEM ROT (usifananishe na ROOT ROT)

Hutokea mazao yoteee.
Kwenye mahindi huitwa STALK ROT.

Hata Mimi kwenye shamba la parachichi uliingia (kwenye miche niliyopanda mwaka huu).

Ugonjwa huu ni wa fungus Jamii (Genus) ya Phytophthora.
Phytophthora ni fungus wa ajabu sana.
Mpaka sasa hivi wanasayansi washagundua species 150 na wanaamini kuna species 200 - 500 bado hazijagundulika.

Na mmoja wa species ya huyu fungus ni yule anaeleta early na late bright.

Sasa changamoto ni kwamba kwa huu ugonjwa wa stem rot ni SOIL BORNE DISEASE.

Kuna njia nyingi ya kuuzuia japo HAKUNA DAWA ZAIDI YA KUMFANYA TU ASIENDELEE KUZALIANA (Kutoa spore).

Kuna njia nyingi za Mechanical... Biological na Chemical.

Mi nilitumia zote na nilivyopanda miche mipya niliona MICHE MIPYA HAIHATHIRIKI TENA..!!!

Nakushauri tumia google kusoma STEM ROT.
Mi nilitumia google nikakuta research nyingi zilinisaidia kuutibu.

Nakukumbusha ni SOIL BORNE DISEASE.
Na huweza kuletwa shambani (kusambazwa) shamba kwenda shamba kwa njia nyingi kama palizi kipindi magugu ni mabichi, upepo kusafirisha mbegu zake (spores)...Maji kusafiri shamba moja hadi jengine... Na nyengine kibao.

Wapo wanaosema hauna dawa kwasababu, ni kama ROOT ROT; Hakuna mkulima aliyefanikiwa kuuondoa shambani ukatoka completely.

Mi nilitumia Copper.. Sulphur na Phosphorus NAAMINI wamesepa...!!!!

#YNWAView attachment 1446394

Wrote from Anfield..!!!
Mkuu huo ugonjwa ulishambulia parachichi zangi zikafa 10.
Chanzo kiku hapo ni hayo manyasi, hao wadudu wanaishi kwenye hayo majani.
Mkuu usiweke manyasi bora ukomae kumwagilia tu.
 
View attachment 1446374View attachment 1446375
Hii ndiyo iliyoanza na miche ikaanza kukatika hapo kwenye shina
ndipo nikapiga
RIDOMIL GOLD na BLUE COPPER

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu ugonjwa unaitwa Late blight. Ni ugonjwa unaosababishwa na Fungus( Ukungu). Unajitokeza sana msimu wa mvua(Masika) na msimu wa baridi kali.Huanza kushambulia miche midogo toka ikiwa kwenye Kitalu hadi shambani.

Ni vema kuichunguza miche mara kwa mara ikiwa kwenye Kitalu ili kuona km kuna dalili ugonjwa kuingia.Dalili huwa ni madoa meusi hasa kwenye majani na upulizie dawa mapema au km imeathiri sana bora kuacha kuipanda kabisa.

Kwa mche mkubwa dalili huwa km ifuatavyo:-
1.Madoa meusi sehemu ya majani, matawi, na kwenye shina km inavyoonekana kwenye picha.
2. Tunda la nyanya huwa na madoa meusi na huoza kabla ya kukomaa(kuiva)

Tiba na kinga

1.Tiba inawezekana km utaikinga miche mapema toka ikiwa kwenye Kitalu na kupuliza dawa za ukungu mara tu unapogundua ugonjwa kuingia katika shamba lako. Puliza dawa mara mbili kwa wiki km athari ni kubwa ili kupunguza athari japo ukisha ingia ni vigumu kuudhibiti.

Kinga
1.Panda miche misafi ambayo haijashambuliwa
2.Panda aina ya nyanya inayohimili magonjwa ya ukungu
3. Epuka kulima nyanya msimu wa mvua na baridi kali. Labda km unatumia Greehouse.

Nawasilisha.
IMG_20210314_143653_005.jpg
IMG_20210314_143552_389.jpg
IMG_20210314_143616_918.jpg
 
Attachments

  • IMG_20210314_143616_918.jpg
    IMG_20210314_143616_918.jpg
    84.1 KB · Views: 50
Back
Top Bottom