Thibitisha Mungu yupo kwa njia isiyo na mapungufu ya kimantiki.
Kwa mfano, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwapo, halafu kuwa kaumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya, ni contradiction.
Hivyo, uthibitisho wako wa Mungu kuwepo, nategemea uelezee imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo.
Sijui kama umeelewa hoja.
Uwezo huo anao ndio maana unasikia kuna peponi/paradise.
Hivyo, uthibitisho wako wa Mungu kuwepo, nategemea uelezee imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo.
Mwanzo katika bustani ya Eden Adam na Hawa waliishi waliishi kiroho lakini baada tu ya kukengeuka kwa kumshawishiwa na nyoka gafla walijikuta wame-unlock ulimwengu wa kimwili ndipo wakashtuka kuwa wapo uchi ila katika ulimwengu wa kiroho hawa kuona kua hilo ni tatizo.
Sasa MUNGU kwa kutumia houhuo upendo wake na haki hakutaka kuwafyekelea mbali. Aliwaacha kwa makusudi ya kwamba wao wenyewe watambue wamekosea wapi na nani kati ya MUNGU na shetani ni muongo maana shetani alidai kwamba Mungu ni muongo.(circular argument kwa mara nyingine tena).
Kwahiyo hizi changamoto katika ulimwenguni wa kimwili tulichagua wenyewe kwa kumuasi Mungu.
Mazingira ya peponi na duniani ni tofauti hapa duniani tunaishi kimwili zaidi na ili tuendane na mazingira ya duniani MUNGU alituumbia na miili ambayo physically physiologically (biologically & chemically) psychologically and even behavioural ipo adapted kwa duniani ili tuweze kuishi.
Sasa ukiachana na Community level katika echo-systems ambayo ni much more complex, twende kwenye population level specifically human beings...
Haya mapungufu unayoyaona kutohautiana tabia maumbile upeo na fikra na hata mazingira, ukiwa wise enough ukaya-zoom katika big picture utagundua kua ndio ukamilifu wenyewe huo, eee ndio yaani haya mapungufu ndio ukamilifu wenyewe. Hasa ukizingatia muingiliano within and between population katika community(Balance of nature).
Kuna mfumo mingine unatakiwa iwe negative au positive inhibition katika feedback mechanisms.
Ila ukitaka ukamilifu wa kila kitu basi kwa wanaoamini kuna sehemu inaitwa peponi huko nadhani hakuhitaji miili hii wala hakuhitaji kuadapt mazingira popote una-survive eg katika degree yoyote ya temperature, pH pressure, kiufupi unakua flexible na hakuna mipaka ya muda wala nafasi(ukitaka uwe currently light year au million light years back or future ama unataka kuwa mwezini Mars.