Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Mkuu unatengeneza circular arguments aidha kwa makusudi au kwakutokujua.

Unanirudisha Nyuma.

Soma hii paragraph na Hakikisha umeielewa pana msingi wa maswali yako mengi unayorudia kuuliza

Na huu mfano unakufaa bado...

Kuhusu kusibitisha uwepo wa MUNGU hii ni kazi unatakiwa uifanye wewe kwa kumtafuta Mungu kwasababu ni ipo katika tabaka la kiroho kwahiyo inatakiwa wewe as an individual na sio twende kama group maana sincerity na willingness hatufanani sisi kama binadamu. Pia kuthibitisha mambo ya kiroho kwa kutumia kanuni za kimwili inakuja changamoto.

Ni kama kitu ili ukielewe inatakiwa utumie model ya 5 hadi 10 dimensions huko wewe unataka uielewe kwa kwa kutumia models za 2 to 3 dimensions.

Nachoweza kukusibitishia ni kwamba tenga muda, Mali nguvu na Akili yako mtafute MUNGU kwa nia nje a kabisa ukifanya hivi...

Na kuhakikisha utakua kuleta ushuhuda huku...
Wewe unasema Mungu yupo, halafu kuthibitisha nithibitishe mimi?

Unaelewa hata burden of proof ni nini na inafanya kazi vipi?
 
Mkuu, imani nzima ya dini na Mungu msingi wake ni miujiza.

Kama huamini katika miujiza, huwezi kuamini dini wala Mungu.

Muujiza ni kitu kuwezekana bila kufuata sheria zozote zinazojulikana za kisayansi.

Mfano, tunaambiwa Mungu aliumba vitu kwa kusema neno tu. Huo ni muujiza. Ukiamini hilo, unaamini katika muujiza wa Mungu.

Ukishaamini kuwa kuna Mungu ambaye hana logical consistency na ulimwengu wa kisayansi, huo ni muujiza, unaamini Mungu wa miujiza.
Nadhani neno miujiza ni neno lililoundwa na watu ambao walikosa maana nyingine ya kuelezea matendo ya Mungu kutokana na wanavyoyashuhudia.

Kuhusu "Neno"

Naamini ( 100%) neno lina nguvu na linaleta matokeo chanya hata kwenye maisha ya sisi viumbe wengine ( binadamu ),

Neno lina nguvu ndani yake.

Nmefanyia kazi hata mimi mwenyewe na inaleta matokeo.

Mengine sioni haja ya kuweka hapa,
Kuna mambo mengine hayahitaji umthibitishie mtu yoyote, Kwasababu mwisho wa siku ni lazima ujiishi "WEWE"

Sometimes huwa nawaweka kwenye kundi moja tu ( Hawa wanaotetea uwepo wa Mungu na wanaohoji/kataa kuhusu uwepo wa Mungu ) kwasababu sioni haja yoyote ya kufanya hivyo.
 
ooh tunaongelea kwenye mungu,, kwenye taifa nina mchango mkubwa tu na mawazo yangu yanaiingizia serikal hela kama hujui " ni mimi ndio nilioshaur serikali iweke kodi ya jengo kwenye ruku" kama ulikuwa hujui tena ni mm nilieshauli porn zifungiwe au nikuletee id na nyuzi zangu za nyuma? Vp wewe umetoa mchango gani kwenye hili taifa? Hapa tunaongelea mambo ya mungu ya kwamba watu wasio mjua mungu wana maarifa ya dini hawajaanza tu kupinga from now where usitake nibadili kichwa changu nionekane sina maana hapa kama hujui mm ndie member mwenye akili 7 ndani ya id moja churaaa wewe
Nmekuelewa,

Ila nakutaarifu kuwa nna uhakika wa 100% madai yako kuwa una akili si kweli

( AKILI HUNA )...

Kwasababu ungekua na akili usingepoteza muda wako kumjibu chura.
 
Shoga,mlevi,teja,Malaya,mwizi ni mtu ambae nafsi yake imekamatwa ikikombolewa mtu uacha tabia hizo
 
Nadhani neno miujiza ni neno lililoundwa na watu ambao walikosa maana nyingine ya kuelezea matendo ya Mungu kutokana na wanavyoyashuhudia.

Kuhusu "Neno"

Naamini ( 100%) neno lina nguvu na linaleta matokeo chanya hata kwenye maisha ya sisi viumbe wengine ( binadamu ),

Neno lina nguvu ndani yake.

Nmefanyia kazi hata mimi mwenyewe na inaleta matokeo.

Mengine sioni haja ya kuweka hapa,
Kuna mambo mengine hayahitaji umthibitishie mtu yoyote, Kwasababu mwisho wa siku ni lazima ujiishi "WEWE"

Sometimes huwa nawaweka kwenye kundi moja tu ( Hawa wanaotetea uwepo wa Mungu na wanaohoji/kataa kuhusu uwepo wa Mungu ) kwasababu sioni haja yoyote ya kufanya hivyo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote hayupo.

Huyu ni wa hadithi za kutungwa na watu tu.

Ndiyo maana nikikwambia uthibitishe yupo, huwezi.

Ndiyo maana ulimwengu tunaouona unam contradict.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo, kisha ondoa contrqdictions katika dhana za kuwepo kwake.
 
Sidhani kama ipo haja ya kukuthibitishia.
 
Ukimkubali au umkatae yeye yupo tuu, Wala huwezi kuzuia uwepo wake kwenye maisha ya watu wengine.
 
Sidhani kama ipo haja ya kukuthibitishia.
Kuna haja ya kunithibitishia, ndiyo point nzima ya kuwa na JF, kubadilishana mawazo.

Hivyo, suala si haja, suala ni uwezo.

Huna uwezo wa kunithibitishia Mungu yupo, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Mungu hayupo.

Habari za Mungu kuwapo ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Ni sawa kaka, Nashukuru pia.

sasa ndugu yangu, kabla ya hadithi za mababu kuwepo ni ipi ilikua hadithi ?

kabla ya mababu kutunga hadithi nani alikua babu zao ?

kabla hadithi ya kutunga na watu tu, nani alikua mtu kwa mfano wetu ?

Achana na Adamu na Hawa kabla ya Dark energy and Light energy who was there ?

MUNYE ENZI MUNGU IS STILL HERE, one day you are going to like him. He is good every now wallah☺️.

Psalm 46:10
BE STILL, KNOW HE WAS THERE BEFORE YOUR PROFILE GALAXY.
 
Unataka uthibitisho upi ? Unahitaji kumuona ? Au anakoishi ?
Hapana,

Nahitaji uthibitisho wa kimantiki tu, kwa mfano, uthibitisho utakaoeleza kimantiki imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya.

Uthibitisho utakao resolve the problem of evil na Epicurean Paradox.
 
Hujathibitisha Mungu yupo, unaendeleza kurudia hadithi.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Unataka uthibitisho upi ? Unahitaji kumuona ? Au anakoishi ?
Mkuu kama Mungu ni muweza wa yote, anajuq yajayo na yaliyopita, kwanini alimuumba shetani ili hali akijua huyu atakuja kuwa mpinzani wangu.?
 
Wewe unasema Mungu yupo, halafu kuthibitisha nithibitishe mimi?

Unaelewa hata burden of proof ni nini na inafanya kazi vipi?
Njia nyingine zipo ila hiyo niliokuelekeza ilikua bora zaidi. Tatizo hauko tayari kuonesha ushirikiano... kwa mantiki hiyo wewe ndio hutaki kusibitishiwa.

Mkuu hii ndio namna ya ku kuthibitishia, huwezi kuchagua kuthibitishiwa kwa namna unavyotaka wewe kwani hujui alivyo na hauamini sasa wanaoamini wanapokupa namna ya kuthibitika kwake ndio unatakiwa ufuate maelekezo.

Au wewe unataka nikuthibitishie kivipi? nikutumie picha! au nije nae physically? na nikifanya hivyo hautaamini!? hata mimi mtu akija na MUNGU au akasema hii ndio picha ya MUNGU hata awe/iwe ya ajabu vipi sitaamini nitafikiria kuna trick janjajanja au miujiza imefanywa ili kunizuga. Kwasababu hakuna standards kua ukiona kitu kipo hivi basi ujue ni MUNGU huyo.
 
Thibitisha Mungu yupo kwa njia isiyo na mapungufu ya kimantiki.

Kwa mfano, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwapo, halafu kuwa kaumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya, ni contradiction.

Hivyo, uthibitisho wako wa Mungu kuwepo, nategemea uelezee imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo.

Sijui kama umeelewa hoja.
 
Hapana,

Nahitaji uthibitisho wa kimantiki tu, kwa mfano, uthibitisho utakaoeleza kimantiki imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya.

Uthibitisho utakao resolve the problem of evil na Epicurean Paradox.
Mimi nadhani maswali mengine majibu anayajua Mungu mwenyewe,
 
Mkuu kama Mungu ni muweza wa yote, anajuq yajayo na yaliyopita, kwanini alimuumba shetani ili hali akijua huyu atakuja kuwa mpinzani wangu.?
Mengine anayajua yeye mwenyewe, Kuna maswali mengine majibu yake nadhani hayanihusu mimi nnaemuamini Mungu,

Yatunze hayo maswali, Ukija kubahatika kuonana nae utamuuliza.
 
Thibitisha Mungu yupo kwa njia isiyo na mapungufu ya kimantiki.

Kwa mfano, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwapo, halafu kuwa kaumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya, ni contradiction.

Hivyo, uthibitisho wako wa Mungu kuwepo, nategemea uelezee imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo.

Sijui kama umeelewa hoja.
Uwezo huo anao ndio maana unasikia kuna peponi/paradise.

Hivyo, uthibitisho wako wa Mungu kuwepo, nategemea uelezee imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo.
Mwanzo katika bustani ya Eden Adam na Hawa waliishi waliishi kiroho lakini baada tu ya kukengeuka kwa kumshawishiwa na nyoka gafla walijikuta wame-unlock ulimwengu wa kimwili ndipo wakashtuka kuwa wapo uchi ila katika ulimwengu wa kiroho hawa kuona kua hilo ni tatizo.

Sasa MUNGU kwa kutumia houhuo upendo wake na haki hakutaka kuwafyekelea mbali. Aliwaacha kwa makusudi ya kwamba wao wenyewe watambue wamekosea wapi na nani kati ya MUNGU na shetani ni muongo maana shetani alidai kwamba Mungu ni muongo.(circular argument kwa mara nyingine tena).

Kwahiyo hizi changamoto katika ulimwenguni wa kimwili tulichagua wenyewe kwa kumuasi Mungu.

Mazingira ya peponi na duniani ni tofauti hapa duniani tunaishi kimwili zaidi na ili tuendane na mazingira ya duniani MUNGU alituumbia na miili ambayo physically physiologically (biologically & chemically) psychologically and even behavioural ipo adapted kwa duniani ili tuweze kuishi.

Sasa ukiachana na Community level katika echo-systems ambayo ni much more complex, twende kwenye population level specifically human beings...

Haya mapungufu unayoyaona kutohautiana tabia maumbile upeo na fikra na hata mazingira, ukiwa wise enough ukaya-zoom katika big picture utagundua kua ndio ukamilifu wenyewe huo, eee ndio yaani haya mapungufu ndio ukamilifu wenyewe. Hasa ukizingatia muingiliano within and between population katika community(Balance of nature).

Kuna mfumo mingine unatakiwa iwe negative au positive inhibition katika feedback mechanisms.

Ila ukitaka ukamilifu wa kila kitu basi kwa wanaoamini kuna sehemu inaitwa peponi huko nadhani hakuhitaji miili hii wala hakuhitaji kuadapt mazingira popote una-survive eg katika degree yoyote ya temperature, pH pressure, kiufupi unakua flexible na hakuna mipaka ya muda wala nafasi(ukitaka uwe currently light year au million light years back or future ama unataka kuwa mwezini Mars.
 
Back
Top Bottom