Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

mambo ya kishirikina staki kabisaa bora hawa wanainchi ambao wananipenda sana na mimi nawafanyia kazi yao ya maendeleo vizur na kwa bidii sana, waniambe sasa mh.tafuta kazi ingine [emoji205]

hata hiyo,
Mungu ni mwema sana kati yangu na wanainchi, daima tunaambatana na kuandamana pamoja katika kila hatua ya kufikia malengo ya vipaumbele vyao ambayo tulipanga na kuamua kuyafikia pamoja na mimi [emoji205]

hii ndio muhimu zaidi kwangu, na si kwamba napuuza ushauri wako ilia nauchukua na kuufanya kama fursa ya kujifunza zaidi mambo haya ya dunia. si unajua tena Elimu haina mwisho [emoji205]
Asante,jipange vizuri zaidi maana majira haya dhahabu ndiyo inapitishwa kwenye moto ili iitwe dhahabu.
 
Asante,jipange vizuri zaidi maana majira haya dhahabu ndiyo inapitishwa kwenye moto ili iitwe dhahabu.
Yes,

ni dhahiri hata joto la kisiasa limeongezeka ukali kidogo, wageni wenyeji na wageni ambao nao wanadai ni wakaaji wa huku vijijini ni wengi sana, na kwakweli kumechangamka haswaa, na kidogo hata wanainchi wanapata kakitu kidogo 🐒
 
Yes,

ni dhahiri hata joto la kisiasa limeongezeka ukali kidogo, wageni vya wenyeji na wageni ambao nao wanadai ni wakaaji wa huku vijijini ni wengi sana, na kwakweli kumechangamka haswaa, na kidogo hata wanaichi wanapata kakitu kidogo [emoji205]
Bado haujaelewa naongea nini.
 
Kwanini hayupo? Thibitisha kuwa hayupo.
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, kuwepo na kuumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya ni contradiction.

Ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu hauruhusu mabaya.

Au, ulimwengu unaruhusu mabaya, na Mungu huyo hayupo.

The two are mutually exclusive. You can't have both at the same time.

Ulimwengu unaruhusu mabaya.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Mtafute bwana mmoja anaitwa dr mkali malela .. mwambie mimi siamini uchawi wala Mungu... Atakuomba ruhusa akuroge kwanza... Sasa kwakuwa unataka uthibitisho.. wewe kubali, uchawi utakupata... Atakuacha ukutese baada ya muda atautoa kisha atakuuliza tena uchawi au shetani na Mungu vipo au havipo.... Sasa hapo jibu litatokana na matokeo ya wewe kulogwa...

Kama kweli upo serious we mtafute
 
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.

Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba hatma yake yote awapo hapa duniani. Kazi ya roho ni kutia nguvu tu vilivyopo kwenye nafsi ili mtu aweze kuishi katika kiwango chake cha maisha.

Sasa, ili uweze kufanikiwa katika haya maisha na watu wote ambao tayari wameshafanikiwa, ni lazima uwe na uwezo mkubwa wa ku control (kuendesha) nafsi za wengine ili zikutumikie kwa vipawa vilivyopo ndani yake ndipo ufanikiwe.

Namaanisha kuwa unaweza kuishi hapa duniani na ukawa unatumikia watu wengine maisha yako yote kwa nafsi yako kukamatwa na kuendeshwa na watu hao.

Hapa tunazungumzia masuala ya kiroho. Katika ulimwengu wa kiroho upande wa nuru na upande wa giza,wote huvuta watu,kuwafunga na kuwaendesha kwa namna watakavyo wao ili wao waweze kufikia hatma zao.

Tuangalie mifano kidogo, wafanyabiashara; ili bidhaa zao ziuzike lazima wavute na ku control nafsi za watu, usije ukaona unapendelea kununua bidhaa zako sehemu fulani ukafikiri ni kawaida tu!,nafsi imekamatwa hapo. Watu wengine ni wanasiasa, kwenye mipira,kwenye uongozi, kwenye kuvuta wateja kwenye taasisi na mashirika mbalimbali hususani sekta binafsi na wahubiri wakubwa.

Wote hawa wakikosa nguvu za kuvuta na ku control nafsi za watu ili ziwatumikie,kamwe hawataweza kufanikiwa!. Sasa kazi itaanzia hapa kwa kujifunza vitu wanavyotumia kuvuta na ku control nafsi za watu katika pande zote za nuru na za giza. Vitu vinavyotumika ni;

1. Kiapo (maneno yenye ahadi kamili).

2. Sadaka (fedha au chochote kwa lengo maalumu).

3. Maneno/Maombi (yenye roho ndani yake).

4. Kiwakilishi chako chochote (mfano nguo au picha).

Nitakuwa nachambua kimoja kimoja kadri muda utakavyokuwa unapatikana na ninaimani watu wengi sana watajikomboa kutoka kutumikishwa na watu wengine na watajua mengi sana na siri nyingi sana na kuwa huru kuendesha maisha yao.

NB; Hakuna nafsi yoyote ya mwanadamu isiyokuwa na thamani,kama unataka kuamini we nenda kwa Mungu au kwa shetani ukiwa hali yoyote uone kama atakukataa!,na ukifuata masharti yao kikamilifu utakuwa milionea pasipo kujali ulikuwa katika hali gani ya nafsi yako.
mimi haya yote siyajui, na nina wateja wengi, na pesa inakuja,
mimi nachojuvunia ni dini yangu safi....ISLAMIA
 
Sema wewe ni mwamba sana chifu big up,sijui watu hawakuelewi wapi asee,sulemani yule jamaa wa hekima kwenye kitabu hiko hiko cha biblia alikiri duniani kuna ujinga mwingi na kupoteza muda tu,akakosana na mungu wake,sema sababu alikuwa ana ushahidi wa uwepo wake mwisho wa siku alimrudia,ila sisi huku tukiomba ushahidi tunaonekana wapuuzi.enewei, whether there is god or not,hii Afrika haikupaswa kabisa kuwa na hizi dini za mashariki ya kati,bora kutoa kafara tu kwa mizimu ya amboni.
 
Sema wewe ni mwamba sana chifu big up,sijui watu hawakuelewi wapi asee,sulemani yule jamaa wa hekima kwenye kitabu hiko hiko cha biblia alikiri duniani kuna ujinga mwingi na kupoteza muda tu,akakosana na mungu wake,sema sababu alikuwa ana ushahidi wa uwepo wake mwisho wa siku alimrudia,ila sisi huku tukiomba ushahidi tunaonekana wapuuzi.enewei, whether there is god or not,hii Afrika haikupaswa kabisa kuwa na hizi dini za mashariki ya kati,bora kutoa kafara tu kwa mizimu ya amboni.
Bora hata wewe unaelewa ndugu,watu hawaelewe ninaongea nini pamoja na kwamba natumia maneno rahisi na ya wazi.
 
kiongozi ni lini utapuuza hawa vijana wadogo na upate kuendeleaaa na uzi wako ...asante
Hawa vijana hawanisumbui ndugu,nilikuwa nataka nianze kushusha mambo mazito huku,nilipoangalia baadhi ya watu nikakuta asilimia kubwa wameshakamtwa nafsi zao na hawaelewi na hawataelewa ninachoongea hapa. Naweka mambo sawa nitarudi kushusha mambo mazito.
 
mambo ya kishirikina staki kabisaa bora hawa wanainchi ambao wananipenda sana na mimi nawafanyia kazi yao ya maendeleo vizur na kwa bidii sana, waniambe sasa mh.tafuta kazi ingine 🐒

hata hiyo,
Mungu ni mwema sana kati yangu na wanainchi, daima tunaambatana na kuandamana pamoja katika kila hatua ya kufikia malengo ya vipaumbele vyao ambayo tulipanga na kuamua kuyafikia pamoja na mimi 🐒

hii ndio muhimu zaidi kwangu, na si kwamba napuuza ushauri wako ilia nauchukua na kuufanya kama fursa ya kujifunza zaidi mambo haya ya dunia. si unajua tena Elimu haina mwisho 🐒
namuh
Hawa vijana hawanisumbui ndugu,nilikuwa nataka nianze kushusha mambo mazito huku,nilipoangalia baadhi ya watu nikakuta asilimia kubwa wameshakamtwa nafsi zao na hawaelewi na hawataelewa ninachoongea hapa. Naweka mambo sawa nitarudi kushusha mambo mazito.
Ee Mungu nakuhitaji njoo ujidhihirishe maishani Mwangu
 
Habari mkuu,

Naomba unikoti ulipoendeleza maana uzi wako umevamiwa na watu wasioeshimu mijadala husika.

Natanguliza shukrani zangu.
Ngaboru.
 
Habari mkuu,

Naomba unikoti ulipoendeleza maana uzi wako umevamiwa na watu wasioeshimu mijadala husika.

Natanguliza shukrani zangu.
Ngaboru.
Nenda kwenye comment ya 340 utakuta hapo mwendelezo kidogo,kabla sijazuiliwa kuendeleza tena kutokana na kubanwa na shughuli za kushughilikia kufungua nafsi za baadhi ya watu humu ili wanielewe kwa mazito yatakayoshushwa hapa.
 
Back
Top Bottom