Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Asante,jipange vizuri zaidi maana majira haya dhahabu ndiyo inapitishwa kwenye moto ili iitwe dhahabu.
 
Asante,jipange vizuri zaidi maana majira haya dhahabu ndiyo inapitishwa kwenye moto ili iitwe dhahabu.
Yes,

ni dhahiri hata joto la kisiasa limeongezeka ukali kidogo, wageni wenyeji na wageni ambao nao wanadai ni wakaaji wa huku vijijini ni wengi sana, na kwakweli kumechangamka haswaa, na kidogo hata wanainchi wanapata kakitu kidogo πŸ’
 
Yes,

ni dhahiri hata joto la kisiasa limeongezeka ukali kidogo, wageni vya wenyeji na wageni ambao nao wanadai ni wakaaji wa huku vijijini ni wengi sana, na kwakweli kumechangamka haswaa, na kidogo hata wanaichi wanapata kakitu kidogo [emoji205]
Bado haujaelewa naongea nini.
 
Kwanini hayupo? Thibitisha kuwa hayupo.
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, kuwepo na kuumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya ni contradiction.

Ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu hauruhusu mabaya.

Au, ulimwengu unaruhusu mabaya, na Mungu huyo hayupo.

The two are mutually exclusive. You can't have both at the same time.

Ulimwengu unaruhusu mabaya.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
Mtafute bwana mmoja anaitwa dr mkali malela .. mwambie mimi siamini uchawi wala Mungu... Atakuomba ruhusa akuroge kwanza... Sasa kwakuwa unataka uthibitisho.. wewe kubali, uchawi utakupata... Atakuacha ukutese baada ya muda atautoa kisha atakuuliza tena uchawi au shetani na Mungu vipo au havipo.... Sasa hapo jibu litatokana na matokeo ya wewe kulogwa...

Kama kweli upo serious we mtafute
 
mimi haya yote siyajui, na nina wateja wengi, na pesa inakuja,
mimi nachojuvunia ni dini yangu safi....ISLAMIA
 
Sema wewe ni mwamba sana chifu big up,sijui watu hawakuelewi wapi asee,sulemani yule jamaa wa hekima kwenye kitabu hiko hiko cha biblia alikiri duniani kuna ujinga mwingi na kupoteza muda tu,akakosana na mungu wake,sema sababu alikuwa ana ushahidi wa uwepo wake mwisho wa siku alimrudia,ila sisi huku tukiomba ushahidi tunaonekana wapuuzi.enewei, whether there is god or not,hii Afrika haikupaswa kabisa kuwa na hizi dini za mashariki ya kati,bora kutoa kafara tu kwa mizimu ya amboni.
 
Bora hata wewe unaelewa ndugu,watu hawaelewe ninaongea nini pamoja na kwamba natumia maneno rahisi na ya wazi.
 
kiongozi ni lini utapuuza hawa vijana wadogo na upate kuendeleaaa na uzi wako ...asante
Hawa vijana hawanisumbui ndugu,nilikuwa nataka nianze kushusha mambo mazito huku,nilipoangalia baadhi ya watu nikakuta asilimia kubwa wameshakamtwa nafsi zao na hawaelewi na hawataelewa ninachoongea hapa. Naweka mambo sawa nitarudi kushusha mambo mazito.
 
namuh
Ee Mungu nakuhitaji njoo ujidhihirishe maishani Mwangu
 
Habari mkuu,

Naomba unikoti ulipoendeleza maana uzi wako umevamiwa na watu wasioeshimu mijadala husika.

Natanguliza shukrani zangu.
Ngaboru.
 
Habari mkuu,

Naomba unikoti ulipoendeleza maana uzi wako umevamiwa na watu wasioeshimu mijadala husika.

Natanguliza shukrani zangu.
Ngaboru.
Nenda kwenye comment ya 340 utakuta hapo mwendelezo kidogo,kabla sijazuiliwa kuendeleza tena kutokana na kubanwa na shughuli za kushughilikia kufungua nafsi za baadhi ya watu humu ili wanielewe kwa mazito yatakayoshushwa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…