Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Swali hili ni zuri“JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA”
Kiranga Tafadhali mkuu pita huku kidogo wasaidie ndugu zetu
Sio janja vipoKuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Usiogope,bado kidogo utafika mwisho wako wote na hapo ndipo Mungu ataanzia. Relax.Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Ukimjua Mungu utamuuliza maswali yote uliyonayo na atakujibu. Tafuta kumjua Mungu.“JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA”
Kiranga Tafadhali mkuu pita huku kidogo wasaidie ndugu zetu
Nitajitahidi nikukutanishe naye alafu utakuwa ushuhuda kwa wengine hapa.Mungu hayupo.
Habari za Mungu kuwapo ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Huyo atakupotezea muda, kwa makusudi kabisa amechagua kutoelewa chochote kuhusu MunguNitajitahidi nikukutanishe naye alafu utakuwa ushuhuda kwa wengine hapa.
Kiranga unaitwa hukuHuyo atakupotezea muda, kwa makusudi kabisa amechagua kutoelewa chochote kuhusu Mungu
Atakuletea maelezo mengi na kiingereza kingi ili kuhalarisha ujinga wake
Be specific olease.Nitajitahidi nikukutanishe naye alafu utakuwa ushuhuda kwa wengine hapa.
Yupo aliyeniita, that is a fact.Aende huko, Hakuna aliyemuita hapa
Naogopa kupoteza muda bure kwa mambo yasiyo na faida yoyoteYupo aliyeniita, that is a fact.
Unaogopa nini? Kuthibitisha Mungu yupo?
Unaogopa kupoteza muda na uliponijibu hapo umetumia nini, mabua?Naogopa kupoteza muda bure kwa mambo yasiyo na faida yoyote
Bora zingekuwa ni hoja walau ningetafuta muda, shida ni hoja za kipumbavuUnaogopa kupoteza muda na uliponijibu hapo umetumia nini, mabua?
Huogopi kupoteza muda, unaogopa kushindwa hoja.