Hapaan.
Kusema Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza kuleta madhara mengi katika jamii.
Tumeona jinsi imani za Mungu kuwepo zilivyodhoofisha maendeleo ya kisayansi.
Galileo aligundua dunia inazunguka jua, jua halizunguki dunia. Ukweli huu ulikuwa kinyume na imani za kidini zilizosema kwamba jua linazunguka dunia.
Imani za kidini za kuamini Mungu kaiumba dunia na kaiweka katikati ya ulimwengu zilimpinga Galileo na kusababisha maendeleo ya kisayansi kuzorota.
Watu wanakataa dawa na kuamini watapona kwa kuonbewa jwa Mungu, huu ni ujinga.
Watu hawafanyi kazi, wanaamini wakimuomba Mungu atawasaidia, huu ni ujinga wenye madhara makubwa.
Watu wanaishi kwa hofu ya Mungu ambaye hayupo, huu ni ujinga.
Watu wanaibiwa hela kwa kuambiwa wamtokee Mungu anbaye hayupo, huo ni ujinga.
Kuamini Mungu yupo, kama hayupo, kunaweza juwa na madhara makubwa sana.