Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
It's your opinion, not a universal factKwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hakuna uthibitisho wowote ule wa uwepo wa Mungu zaidi ya blah! blah! na stori za kusadikika tu.
Maandiko yote ya kidini kuanzia Biblia, Quran,Torah, Tip taka na vitabu vingine vyote vya kidini ni Fiction stories sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.