Salamu Mkuu
Kiranga siku utakayo jaaliwa neema ya kuujua utukufu wa MUNGU hata kidogo tu, ndio utakua hujui, na ndipo utaukumbuka msemo wa wahenga kwamba "ujanja mwingi mbele kiza"
Kuna vitu kuvielezea physically haimake sense (yaani hakuna maelezo yanayoweza kuuelezea(100%) utukufu wa MUNGU, at highest degree of maximum satisfaction.))
Mfano: Mtu anaweza akakwambia ameongea na Mungu, sasa kwa hali ya kwawaida unamchekiiiii! arafu unajisemea hivi huyu anatuchukuliaje.
Ila kupitia imani ukaexperience mwenyewe kwa usaidizi wa Roho matakatifu ndio unaaweza ukajua hali halisi...unaposema wakusibitishie mambo ya kiroho kwa kutumia kanuni za kimwili unakua unakosea na unachanganya mambo mawili tofauti kabisa( quiet different).
Jambo jema ni kwamba MUNGU anatumainika licha ya kuwa YEYE NDIO MKUU, UFALME UTUKUFU NA NGUVU NI ZAKE MILELE NA MILELE (TO INFINITY) lakini ni mwingi wa rehema. Ukimwita Anaitika Ukimuomba anajibu na ukigonga hodi anafungua.
***Ona hekima ya MWENYEZI MUNGU mambo yote yako ndani ya uwezo wake lakini kwa kuwa yeye ni MUNGU wa haki hataki/haoni kama ni busara kukulazimisha wewe umfuate yeye wala hataki kukushawishi wala kukutisha kwa namna yoyote ile umpende yeye... anachotaka wewe mwenyewe kwa uhuru wako kutoka Moyoni mwako uamue kumfuata (yaani kwa hiari yako)
Sasa mkuu MUNGU ALIKUEPO YUPO NA ATAKUEPO YEYE NDIO MWANZO NA MWISHO
There was no beginning without GOD.
He is the Source Creator and Sustainer of everything.
He did not begin when beginning began, He began the beginning... He did not start when start got started, He started start.
Kama unataka kumjua MUNGU ni rahisi tu
mtafute kwa nia ya dhati kabisa(na sio kwakujaribu).