Mkuu Nimekuelewesha vizuri kabisa kwamba Vyote hivyo ninavijua ulivyolishwa na watu waliokufundisha hivyo (Wazungu)..
Nimesoma Theology najua Lugha ya Kihebrania ambayo Biblia Imeandikwa..
Kuhusu Biblia Yeah nahisi naweza kuwa mmoja wa wanaoijua vizuri sana na kuhusu Dini ya Kikkristo yes pia l..
Narudia tena kwa Herufi kubwa..
..KATIKA LUGHA ILIYOAMDIKIWA BIBLIA NA QURAN HAKUNA UTENGANISHA WA KIHERUFI BAINA YA HERUFI KUBWA NA NDOGO..
Herufi hizo zimekuja baada ya kutafsiri Biblia kwenye Lugha ya Kingereza na Kilatini ila kwa lugha za Asili Biblia haina Tofauti wa Herufi kubwa wala ndogo..
Hakuna Tofauti wa MUNGU, mungu,Mungu,mUNgu au vyovyote vile kwa lugha ya Kihebrania..
zaidi Wanatheolojia waliazimia kuweka utofauti wa Maneno ambayo hapo kale hayakuwepo