Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Nimemuuliza hajanijibu, labda binadamu kwa Mungu ni sawa tu na kuku?Unajua wewe ni mjinga sana.
Jaribu kuua mtoto binadamu na kifaranga cha kuku ndipo utajua kipi kina haki...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuuliza hajanijibu, labda binadamu kwa Mungu ni sawa tu na kuku?Unajua wewe ni mjinga sana.
Jaribu kuua mtoto binadamu na kifaranga cha kuku ndipo utajua kipi kina haki...
Mungu yupi tena? Si umesema Hakuna Mungu?Nimemuuliza hajanijibu, labda binadamu kwa Mungu ni sawa tu na kuku?
Si opinion, naweza kukuonesha logical basis.It's your opinion, not a universal fact!
Yeye anataka wewe eti ujibu, ilihali umesema huamini kama huyo Mungu yupo, si anakuonea tu.angenijibu kwanza yeye
Je unaamini kwamba wewe ni mfano wa Mungu?Si opinion, naweza kukuonesha logical basis.
Kwa nini ninachoamini kiwe muhimu ikiwa imani ni haki ya kila mtu, iwe ya ukweli au uongo?Je unaamini kwamba wewe ni mfano wa Mungu?
Nimekuuliza Swali dogo tu linahitaji maneno kadhaa tu kulijibuKwa nini ninachoamini kiwe muhimu ikiwa imani ni haki ya kila mtu, iwe ya ukweli au uongo?
Hata nikiamini kuwa mimi ndiye Mungu mwenyewe, kama hilo si ukweli, imani hiyo itakuwa na umuhimu gani?
Kwa nini unauliza kuhusu imani badala ya kuuliza kuhusu facts?
Kwa nini unashindwa kujiuliza kama Mungu yupo au hayupo, objectively, factualky, bila kujaki imani, naunajikita kwenye maswali yanayoangalia kama mimi naamini Mungu yupo au hayupo?
Kwa nini swali la kuamini liwe muhimu katika kutafuta fact?Nimekuuliza Swali dogo tu linahitaji maneno kadhaa tu kulijibu
Nimekuuliza JE UNAAMINI WEWE NI MFANO WA MUNGU?
Ulitakiwa ujibu NDIYO NAAMINI au HAPANA SIAMINI.
Lakini cha ajabu umeshusha paragraph 10 na hujajibu Swali la msingi
Nakutakia wakati mwema, mimi naelekea kupumzika huko mitaani na marafiki
Ungenijibu tu kama ndiyo au HapanaKwa nini swali la kuamini liwe muhimu katika kutafuta fact?
we bwana baada ya kuja wewe umefanya uzi wa mwana uonekane wa hovyo kiufupi umechafua khali ya hewaSi opinion, naweza kukuonesha logical basis.
watu kama hawa dawa yake kumwachia kiranga mana mi tutasumbuana mwisho atani blockYeye anataka wewe eti ujibu, ilihali umesema huamini kama huyo Mungu yupo, si anakuonea tu.
Mungu wako unaesema yupo.Mungu yupi tena? Si umesema Hakuna Mungu?
Kwa nini nijibu swali ambalo halina msingi?Ungenijibu tu kama ndiyo au Hapana
Kwa sasa ni Saa 17 : 47 nazima kila kitu naenda kupumzika
Kesho tena tukijaaliwa
Mkuu unaishusha lini? Kuna jamaa washaanza kufanya hitimisho kwenye uzi wako tafadhari usitoke kwenye mstari.Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.
Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba hatma yake yote awapo hapa duniani. Kazi ya roho ni kutia nguvu tu vilivyopo kwenye nafsi ili mtu aweze kuishi katika kiwango chake cha maisha.
Sasa, ili uweze kufanikiwa katika haya maisha na watu wote ambao tayari wameshafanikiwa, ni lazima uwe na uwezo mkubwa wa ku control (kuendesha) nafsi za wengine ili zikutumikie kwa vipawa vilivyopo ndani yake ndipo ufanikiwe.
Namaanisha kuwa unaweza kuishi hapa duniani na ukawa unatumikia watu wengine maisha yako yote kwa nafsi yako kukamatwa na kuendeshwa na watu hao.
Hapa tunazungumzia masuala ya kiroho. Katika ulimwengu wa kiroho upande wa nuru na upande wa giza,wote huvuta watu,kuwafunga na kuwaendesha kwa namna watakavyo wao ili wao waweze kufikia hatma zao.
Tuangalie mifano kidogo, wafanyabiashara; ili bidhaa zao ziuzike lazima wavute na ku control nafsi za watu, usije ukaona unapendelea kununua bidhaa zako sehemu fulani ukafikiri ni kawaida tu!,nafsi imekamatwa hapo. Watu wengine ni wanasiasa, kwenye mipira,kwenye uongozi, kwenye kuvuta wateja kwenye taasisi na mashirika mbalimbali hususani sekta binafsi na wahubiri wakubwa.
Wote hawa wakikosa nguvu za kuvuta na ku control nafsi za watu ili ziwatumikie,kamwe hawataweza kufanikiwa!. Sasa kazi itaanzia hapa kwa kujifunza vitu wanavyotumia kuvuta na ku control nafsi za watu katika pande zote za nuru na za giza. Vitu vinavyotumika ni;
1. Kiapo (maneno yenye ahadi kamili).
2. Sadaka (fedha au chochote kwa lengo maalumu).
3. Maneno/Maombi (yenye roho ndani yake).
4. Kiwakilishi chako chochote (mfano nguo au picha).
Nitakuwa nachambua kimoja kimoja kadri muda utakavyokuwa unapatikana na ninaimani watu wengi sana watajikomboa kutoka kutumikishwa na watu wengine na watajua mengi sana na siri nyingi sana na kuwa huru kuendesha maisha yao.
NB; Hakuna nafsi yoyote ya mwanadamu isiyokuwa na thamani,kama unataka kuamini we nenda kwa Mungu au kwa shetani ukiwa hali yoyote uone kama atakukataa!,na ukifuata masharti yao kikamilifu utakuwa milionea pasipo kujali ulikuwa katika hali gani ya nafsi yako.
watu kama hawa dawa yake kumwachia kiranga mana mi tutasumbuana mwisho atani block
Halafu na wewe una ndimi mbili...we bwana baada ya kuja wewe umefanya uzi wa mwana uonekane wa hovyo kiufupi umechafua khali ya hewa
Mbio zimekuokoa ndugu miti saba.Nimekuuliza Swali dogo tu linahitaji maneno kadhaa tu kulijibu
Nimekuuliza JE UNAAMINI WEWE NI MFANO WA MUNGU?
Ulitakiwa ujibu NDIYO NAAMINI au HAPANA SIAMINI.
Lakini cha ajabu umeshusha paragraph 10 na hujajibu Swali la msingi
Nakutakia wakati mwema, mimi naelekea kupumzika huko mitaani na marafiki
Kuchafua au kutochafua hali ya hewa si hoja.we bwana baada ya kuja wewe umefanya uzi wa mwana uonekane wa hovyo kiufupi umechafua khali ya hewa
Very logical.Kuchafua au kutochafua hali ya hewa si hoja.
Inawezekana mlikuwa mmekaa karibu na choo mnavuta hewa chafu bila kujua tu, mimi nimekuja kuwaambia tu kwamba hapa kuna hewa chafu.
Sasa, mimi kuwaambia hii hewa chafu, mnaniita nachafua hali ya hewa.
Kitu cha muhimu ni, ukweli uko wapi?
Ndiyo hivyo mkuu.Very logical.