Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Niliwahi kutana na watu kama wewe ni kazi sana kuwaaminisha kuhusu uwepo wa ulimwengu wa kiroho ...kuna muda utafika lakini utaamini
 
Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Bora wewe umekuwa mkweli, wengi wanapenda kutoa ushuhuda wa uwongo.
 
Hakuna mtu anaweza kuniambia ujinga huo halafu nimwache bila kumpa kipigo cha mbwa koko

Kwa mjibu wa Biblia Mungu alisema na tufanye mtu kwa mfano wetu, hivyo ulivyo wewe ni mfano wa Mungu!!

Sasa iweje mwehu mmoja aniambie ujinga huo na mimi nimwangalie tu?
Unaelewa kuwa mpaka hapa ushakubali kwamba imani ya kuwapo Mungu inaweza kuwa na madhara?
 
Unafikiri ulimwengu unajiendea tu bila ya mipangilio ya huyo unayesema hayupo? na vipi uumbwaji wako
Je wewe unafikiri huyo muumbaji alitokea tu from no where?

Kuna ulazima upi wa kwamba kila kitu kimeumbwa?

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa, Je Mungu huyo aliumbwa na nani?

Kwa nini una exclude Mungu kwenye uumbaji halafu unataka Dunia iwe na muumbaji?

Je huyo Mungu alitokea from nothing?
 
Kwanza kabisa mungu Hana JANJA JANJA, MWENYE ENZI MUNGU YEYE YUPO, kwanza hongera sana maana upo katika hatua nzuri sana ya kwenda kuanza kuziiishi nakuni zake za ukweli kanuni za NAMBA yani upo sehemu sasa unaweza kuanza kuhesabiwa baraka zako, kitu ambacho kutoka sasa unatakiwa Kujifunza Ili ufike sehemu salama na uanze kuenjoy maisha, sasa kunazo hatua za kuanza Kujifunza Ili uanze safari yako vizuri, kuna swali lazma ulijibu Ili safari yako ianze kuwa ya kweli na uhakika, na uwe kwenye mafanikio kwa KADRI na KUDRA zake Kila siku.

JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA ?

Ile siku unapata jibu ata wewe utagundua na kukili MUNGU NI MKUBWA, na utasema YEYE YUPO.

hili swali usipoweza kulijibu ni mpaka unakufa hautoelewa nini ni nini. Mungu akaipe shauku kubwa nafsi yako Ili utafute na ujibu, Asante.
Hili swali alishindwa kulijibu mtakatifu Augustino(Saint Augustine of Hippo), unadhani mr pipa anaweza kulijibu?
 
Je wewe unafikiri huyo muumbaji alitokea tu from no where?

Kuna ulazima upi wa kwamba kila kitu kimeumbwa?

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa, Je Mungu huyo aliumbwa na nani?

Kwa nini una exclude Mungu kwenye uumbaji halafu unataka Dunia iwe na muumbaji?

Je huyo Mungu alitokea from nothing?
chimbuko lako wewe ni wapi?
 
Watu wameaminishwa kwamba ukimuomba chochote Mungu lazima akupe

Wameaminishwa kwamba Mungu ni wa upendo tu yaani ni wa mambo mazuri tu bila kutambua kuwa Mungu wa harusi ndiyo huyo huyo Mungu wa misiba
 
Sasa kwa nini mumpe sifa nzuri nzuri tu huyo Mungu?

Kama huyo Mungu si wa upendo tu, Pia Mungu huyo ni wa Uovu na Ukatili.

Mambo ya kuunda dhana ya "shetani" kwamba ndio chanzo cha uovu ni kujaribu kuficha madhaifu na Uovu wa huyo Mungu wenu.

Huyo Mungu wenu pia ni MUOVU sana.
 
Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Angalau kitu kinaweza kuwepo na kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu huyo ni dhana ya kufikirika tu, isiyokuwepo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo na makisio tu

Ukisema Mungu huyo yupo, eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Otherwise huyo Mungu ni makisio yako tu, imaginations just an illusion.

Na huwezi kuthibitisha yupo.
Je unaamini kwamba kuna Nguvu ya asili inayo ongoza binadamu na dunia? Wengine huita Cosmos Energy/Power na wengine huita Consciousness n.k
 
Sasa kwa nini mumpe sifa nzuri nzuri tu huyo Mungu?

Kama huyo Mungu si wa upendo tu, Pia Mungu huyo ni wa Uovu na Ukatili.

Mambo ya kuunda dhana ya "shetani" kwamba ndio chanzo cha uovu ni kujaribu kuficha madhaifu na Uovu wa huyo Mungu wenu.

Huyo Mungu wenu pia ni MUOVU sana.
Huo uovu na ukatili ni matokeo ya macho yako yanavyoona

Sisi wengine hatuoni kama ukatili bali ni asili jinsi ilivyo

Ndiyo maana kuna usiku na kuna mchana!

Mbona giza likiingia hupigi kelele kwanini mwanga umetoweka??
 
Unathibitisha vipi elimu uliyonayo wewe kuhusu Mungu ni sahihi sana kuliko ya wengine?

Au unafosi mafikirio yako kuhusu huyo Mungu ndio mafikirio ya kila mtu?
Na wewe unathibitisha vipi uelewa ulionao kuhusu Mungu ndiyo sahihi kuliko wa wengine??
 
Sasa kwa nini mumpe sifa nzuri nzuri tu huyo Mungu?

Kama huyo Mungu si wa upendo tu, Pia Mungu huyo ni wa Uovu na Ukatili.

Mambo ya kuunda dhana ya "shetani" kwamba ndio chanzo cha uovu ni kujaribu kuficha madhaifu na Uovu wa huyo Mungu wenu.

Huyo Mungu wenu pia ni MUOVU sana.
Profesa Noah Harari wa chuo kikuu cha Jerusalemu, nae, kwny kitabu chake cha SAPIENS, anasema ''if there is God, then he is evil''
 
Na wewe unathibitisha vipi uelewa ulionao kuhusu Mungu ndiyo sahihi kuliko wa wengine??
Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Hakuna uthibitisho wowote ule wa uwepo wa Mungu zaidi ya blah! blah! na stori za kusadikika tu.

Maandiko yote ya kidini kuanzia Biblia, Quran,Torah, Tip taka na vitabu vingine vyote vya kidini ni Fiction stories sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.
 
Hakuna Madhara yoyote mkuu

Shida iliyopo ni kuwa watu hawana elimu sahihi kuhusu Mungu
Unaelewa kuwa, ikiwa kweli kuna watu hawana elimu sahihi kuhusu Mungu , huo nao ninushahidi kwamba Mungu hayupo?

Kwa sababu, kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, na ndiye kaumba ulimwengu huu, asingeumba ulimwengu ambao inawezekana kiumbe chake chochote kikakosa elimu sahihi kumhusu yeye Mungu.

Unaelewa hilo?

Au maneno mengi nikuwekee picha?
 
Back
Top Bottom