Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Mtoa mada usikute anakaa kwa Shemeji yake na hapa kaagizwa akalete karanga mbichi na shemeji yake ili amshughulikie vilivyo dada ake.

Nirudi ktk Mada.

Kutuma tuma hela kipumbavu unamjenga Mwanamke wako kuwa Mpumbavu na Mtegemezi.

Mama ako au Baba ako uliwahi kumtumia hela bila kuomba mara kwa mara kama unavyowatumia hao Malaya?

Binafsi natuma hela ila yenye maelezo yanayoeleweka yaani hela nitatuma ila uje na hoja za msingi na si vinginevyo, unaweza kuomba laki 3 kama hoja yako ni nzito utatumiwa hata laki 5.
 
Tafuta pesa bro acha makasiriko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mtu analo linalomfurahisha kufanya..mtoa mada kwa hakika hana hiyana...
 


Ukikua utakuja jiona mpumbabu sana, mwanamke anatakq kitu ambacho huna.


View: https://youtube.com/watch?v=RIJavth0a9c&feature=shared
 
Huu uzi una watu wake, wanajulikana, lazima wawepo ili kuusherehesha, wakikosekana hao huu uzi ni batili. Ngoja nianze comment moja moja.
 
Jamani weeeh....
Mpo serious humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umenikumbusha mkuu, juzikati hapa nilikutana na mdada mahakamani nikapiga nae story mbili tatu mwisho nikachukua namba. Nikawa namchatisha tu kiungwana leo nimeshangaa ananitumia txt ifuatayo ''embu naomba hela''. Nikamjibu ''rudia kusoma txt yako then tuma tena ikiwa haina makosa''. akauliza kwann nikajibu umeandika kama unakimbizwa hujataja kiasi wala ni lini unahitaji hiyo pesa akaishia kujiumauma tu.
 
Hii ushauri ni kama Umeoa (unamke), huyo ndo anastahili hizo pigo, lkn kama unajifanya unajua kutatua shida za wanawake tatua sana afu tukutane uzeeni.
 
Hivi mwanaume akiamua kumpa pesa mwanamke wake tena anayotafuta kwa jasho lake shida huwa ni nini mbona watu wako na makasiriko sana? Ambae unaona huwezi kutoa pesa usitoe hamna sheria unavunja, hamna dhambi unatenda ila usishangae wanaume wengine kuwapa pesa wanawake zao kila mtu anatumia pesa zake namna anavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…