Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Nimecheka 🤣🤣🤣
Ila naamini wanaume wa hivi wapo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna kipindi kila nikitoka ofisini Nampa yule receptionist elfu ishirini. Eebwanaee yule mmama naona kila akiniona kisimi kina pwita.
Halafu sikuwahi kumuomba utelezi.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ngoja waamke baada ya hangover ya jana kuisha [emoji28][emoji28]

Mnisaidie tu kujibu mashambulizi [emoji23][emoji23]
Utakuwa na sura nzito na ngumu sana ambayo haina kabisa ufanano na binadamu ndiyo maana unatumia pesa isivyo hitajika.

Wakati mie najilia k za bure kabisa za kila aina kumbe kuna watu mnataabika kiasi hiki kupata k?

Yaani watoto wazuri hawakauki kujipitisha na nilivyo mkware huwa sibakishi kitu lazima aliwe ili kulinda brand.

Badilika mkuu wanaume hatupo hivyo kikubwa tunatimiza wajibu wa haki kwa wake zetu na sio vinginevyo.
 
Huyu atafutiwe sehemu nzuri sana....tupande na maua kabisa, tutakua tunaenda kupiga selfie pale.😂

Sanamu la tina tutazungushia nyaya za umeme, wanaume wana hasira nae sana
Mkuu na wewe kabisa umeamini huyu ni mwanaume?

Huyu ni dada anayejifanya mwanaume ili awashawishi wanaume halisi wawe wanachezea hela pasipo sababu za msingi.

Pesa za wanaume halisi huwa ni kwa ajili ya maendeleo na kuwawekea watoto future njema sio vinginevyo.
 
Tupo mama [emoji28]

Halafu mbona umeadimika sana mtumishi?
Una mbinu dhaifu sana za kuwatongoza wadada mkuu.

Yaani huu uzi wako ni kama ulimbo ili wadada wapenda mtelezo waamini upo hivyo waje kwako halafu wakutane unaishi kwa shangazi yako na unagombania uporo wa wali maharage na watoto wa shangazi kwa kukosa hela ya vitafunwa.
 
Wewe ni jinsia gani?

Tuanzie hapo kwanza
 
Tafuta pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chai .. naona unataka attention tu humu ...
Hebu tuma screenshot ya hio miamala tuone ,
Attention kwa watu tusiofahamiana [emoji23][emoji23]

Tafuta pesa kijana, hutakuwa na haya makasiriko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…