Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #481
Tafuta pesa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hujajibu swali langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta pesa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hujajibu swali langu
Bado hujajibu swali langu mkuuTafuta pesa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pesaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Bado hujajibu swali langu mkuu
Hela ambazo hazina maelezo ya kina sitoiWewe mpe hela bwana!! Acha porojo nyingi😂
Nimecheka 🤣🤣🤣Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
🤣🤣🙌Kuna kenge inasakwa soon damu itavuja
Utapta huo😂 hamna mahaba ya hivyo mama, ile ya bby hujaumia pale akiachia kishuZi😂😂😂Sio unafki ni mahaba 😂😂
Kimbunga hidaya 😂😂Ngoja wanaume wakware waje hapa na kasi ya kimbunga....😹
Tupo mama [emoji28]Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila naamini wanaume wa hivi wapo.
Mama mtumishi huonekani au una nguo mpya unaishi nayo humu?🤣🤣🙌
Nimewamiss jmn
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Utakapo kuta huo Mwamala ameutransfer kwa Bwana Wake kama ulivyo usianze kule nyuzi za masikitiko humu.
Ukiskia mwanume kamuua mwanamke au kumdhuru ni baada ya kufanya ujinga kama huu akiamini Mwanamke atampenda.
Hiyo miamala watumie malaya tu watakulamba hadi makalio.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna kipindi kila nikitoka ofisini Nampa yule receptionist elfu ishirini. Eebwanaee yule mmama naona kila akiniona kisimi kina pwita.
Halafu sikuwahi kumuomba utelezi.
Utakuwa na sura nzito na ngumu sana ambayo haina kabisa ufanano na binadamu ndiyo maana unatumia pesa isivyo hitajika.Ngoja waamke baada ya hangover ya jana kuisha [emoji28][emoji28]
Mnisaidie tu kujibu mashambulizi [emoji23][emoji23]
Mkuu na wewe kabisa umeamini huyu ni mwanaume?Huyu atafutiwe sehemu nzuri sana....tupande na maua kabisa, tutakua tunaenda kupiga selfie pale.😂
Sanamu la tina tutazungushia nyaya za umeme, wanaume wana hasira nae sana
Una mbinu dhaifu sana za kuwatongoza wadada mkuu.Tupo mama [emoji28]
Halafu mbona umeadimika sana mtumishi?
Tafuta pesa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tafuta pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu na wewe kabisa umeamini huyu ni mwanaume?
Huyu ni dada anayejifanya mwanaume ili awashawishi wanaume halisi wawe wanachezea hela pasipo sababu za msingi.
Pesa za wanaume halisi huwa ni kwa ajili ya maendeleo na kuwawekea watoto future njema sio vinginevyo.
Tafuta hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una mbinu dhaifu sana za kuwatongoza wadada mkuu.
Yaani huu uzi wako ni kama ulimbo ili wadada wapenda mtelezo waamini upo hivyo waje kwako halafu wakutane unaishi kwa shangazi yako na unagombania uporo wa wali maharage na watoto wa shangazi kwa kukosa hela ya vitafunwa.
Attention kwa watu tusiofahamiana [emoji23][emoji23]Chai .. naona unataka attention tu humu ...
Hebu tuma screenshot ya hio miamala tuone ,