Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Ahsante sana aise nilikuwa sina kitu mfukoni umeshamtumia sasa amenipigia tukaenjooooy! Message yake hii hapa 👇

Millie: Babe, Uko wapi? Yule bwege ninayemkamua kashatuma laki mbili nataka nije uni**** mpaka niridhike.Hotel ileile ya siku ile

Mimi: Usijali babe, On my way
 
Ha ha ha aisee!
 
Kinachonifurahisha ni kwamba, hawa mnaowapa pesa na kuwalipia kodi ndio wanaotutunuku bure huku mitaani.

Binti mmepanga sehemu moja anashushwa na Prado Ila baada ya dk 20 anakwambia ameboeka uende chumbani kwake umpe kampani 😂😂😂😂
 
Mkuu wewe unaonekana ni mtu wa upendo sana
Marejeo nyuzi zako 'mwanaume uliyeoa mwanamke mwenye gari.....'
'Kuna wanawake ni wema ila wanauza bar' na uzi wako huu wa leo
Hongera!
Mkuu, nashukuru kwa kunitia moyo [emoji4]

Mimi mwenyewe huwa sijioni kama nina upendo ingawa I am trying to show love.

Nitaongeza maradufu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Comeback ya kibabe hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…