Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Fanya muamala chap bibie afurahi
Nasubiri tarakimu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya muamala chap bibie afurahi
Am talking about pocket status Ephen.Status ipi? Ya nina hela au sina?
Au ya single au mahusiano? Kama ni hii mleta mada kasema tumeni kwa wapenzi
Hii kawaida sanaUnaweza ukampa hizo pesa zote lakini akatangaza Kwa shoga zake amepata zoba & Na mvuvi kitandani. LOVE IS UNCONDITIONAL
Cc wanaume woteIf you want your woman to feel like a real woman kuna baadhi ya mambo lazima umfanyie aisee, sio ufundi tu kitandani, ni zaidi ya hapo.
Hata mimi mwanaume nikimpa mwanamke wangu hela tena bila yeye kuniomba huwa nau-feel kabisa uanaume wangu.
Juzi kuna mtu nilikuwa namwambia kwamba hadi mwanamke akusaliti ni lazima kuwe kuna ufirauni umemfanyia, otherwise, wanawake mko loyal sana kwa wanaume wanaowapenda na kuwathamini.Acha uchochezi wewe! Wanawake hatujuagi kusaliti.
Mkuu wewe unaonekana ni mtu wa upendo sanaIf you want your woman to feel like a real woman kuna baadhi ya mambo lazima umfanyie aisee, sio ufundi tu kitandani, ni zaidi ya hapo.
Hata mimi mwanaume nikimpa mwanamke wangu hela tena bila yeye kuniomba huwa nau-feel kabisa uanaume wangu.
Hawezi kutushurutisha. Ameshauri tu.Wala haitaki hasira, mtoa mada asikilizwe🤣🤣🤣
Uko sahihi kabisa mkuu, "tunaujua ukweli" [emoji28]Wasichana wataunga mkono hili huku wavulana wakipinga vikali, sisi wanaume tunaujua ukweli.
Sio mimi bhana! Bibie wa nyumbani hukoNasubiri tarakimu...
Aisee! Sio kila muda atakaokua broke atasema utashangaa anakua mtu wa hasira tuAm talking about pocket status Ephen.
Hizi ni hela ndogondogo sana ambazo nazitoa bila maumivu yoyote mkuu [emoji2]Nikki wa Pili kafanya haya yote na bado kaambulia za uso.
We unatuma na kisha ulizotuma anatumiwa mwingine na huyo mwingine anamtumia mwingine. Ukija kufahamu tunasikia alimchoma kwa gunia la mkaa. Crime of passion
Halafu mwambie pesa haijawahi kukosa matumizi, yaani siku zote pesa huwa haitoshi.Status ipi? Ya nina hela au sina?
Au ya single au mahusiano? Kama ni hii mleta mada kasema tumeni kwa wapenzi
Lengo ni jema tu la kuongezeana maarifa kwenye mapenzi mkuu [emoji28][emoji28]Mkuu lengo lako ni nini hasa la kuleta huy uzi? Tuonekane wengine hatujui kupenda?
Ladies naomba muupuuze huu uzi.
Yote mipango ya Mungu.Hapo sawa mkuu [emoji28]
Ila kuzaliwa masikini sio kosa lako, kufa masikini ndio kosa lako.