Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Mm kutokana na approch yangu kwa mademu ya upole na full time care hujikuta wanashindwa kuniomba hela .Basi hulazimika kutumia hii sana .yaan huwa najiweka karibu na mwanamke wangu nijue issues zake kisha nakisia huyu ana shida na laki 3 .naamka tu namtumia laki 3.5 namwambia "bby najua mi sio tajiri ila naomba uipunguzie ulipokwama,love u "
[emoji1666]

Safi sana mkuu, wewe naona tumeelewana.
 
Ahsante sana aise nilikuwa sina kitu mfukoni umeshamtumia sasa amenipigia tukaenjooooy! Message yake hii hapa [emoji116]

Millie: Babe, Uko wapi? Yule bwege ninayemkamua kashatuma laki mbili nataka nije uni**** mpaka niridhike.Hotel ileile ya siku ile

Mimi: Usijali babe, On my way
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachonifurahisha ni kwamba, hawa mnaowapa pesa na kuwalipia kodi ndio wanaotutunuku bure huku mitaani.

Binti mmepanga sehemu moja anashushwa na Prado Ila baada ya dk 20 anakwambia ameboeka uende chumbani kwake umpe kampani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nobody cares [emoji57]
 
Unapata hela kimagendo magendo, easy money..

Unataka kutufunza matumizi.ya hovyo sisi tunao hangaikia hela kwa jasho na damu.

Wewe honga tu mkuu ila kaa ukijua atazoea hiyo style yako akishazoea utamsaidia kutumia hela yako kuwahonga wanaume marijali na wahuni wanaomsugua hadi anahama kitandani anaanguka chini sakafuni pwaaah .
 
Unapata hela kimagendo magendo, easy money..

Unataka kutufunza matumizi.ya hovyo sisi tunao hangaikia hela kwa jasho na damu.

Wswe honga tu mkuu ila kaa ukijua atazoea hiyo style yako akishazoea utamzaidia kutumia hela yako kuwahonga aanaume marijali na wahuni wanaomsugua hadi anahama kitandani anaanguka chini sakafuni pwaaah .
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom