Anza sasa bila kuangalia nyumaNgoja nijifunze namna ya kumwacha,manake nahisi kama roho yake ipo kwa mwingine
Eehwafaransa wanasema LAISSER PASSER
wafaransa wanasema LAISSER PASSER
Upo sawa kabisaTatizo mazoea
Upo sawa kabisa
Thank u alot,nina mwanamke sawa nimemkosea alinisamehe ila akaja tena akalianzisha now hajib sms zangu,ata call ilihali naweza mkuta online, najifunza kufunga mlango japo mazoea ,najaribu kumsihi wapi.nitamuacha aende soon nitatoa uamuzi siku yangu ya birthday apo september
Usikilize moyo unataka niniDar ila japo roho inauma bora nimuache aende