Jifunze kumuacha aende

Jifunze kumuacha aende

Um
Kweli kabisa Ses. Kama hicho kidot cha tano hapo. Nimekicopy hapo chini.

"MUACHE AENDE !

• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi..."

Kama huyo hapo sasa kuna haja gani ya kumpokea anaporudi. 🙈🙈 Ikitokea anapokelewa basi ujue hayo maigizo hatokaa akayaacha.

Akaaaa. Nakazia aende tu.
Shadeeya umenikumbusha msemo mmoja wa wahenga wa kizungu ambao tafsiri yake inasema hivi;

"Ukimpenda mtu mwache huru, akirudi huyo ni wako asiporudi ujue hakuwahi kua wako" mwisho wa kunukuu

Asili ya neno mapenzi ni "ridhaa". Yaani mtu karidhika mwenyewe akukabidhi moyo wake, akiamua kuuchukua kutoka kwako basi shukuru Mungu utafute mwingine wa kumbembeleza akukabidhi mtima wake kama huyo aliyeondoka
 
Nakazia. 💃💃💃
 
Thank u alot,nina mwanamke sawa nimemkosea alinisamehe ila akaja tena akalianzisha now hajib sms zangu,ata call ilihali naweza mkuta online, najifunza kufunga mlango japo mazoea ,najaribu kumsihi wapi.nitamuacha aende soon nitatoa uamuzi siku yangu ya birthday apo september
Alisamehe mdomoni ila kashindwa kulitoa rohoni, heri muishie hapo maana huyo haupo tena moyoni mwake.
 
Back
Top Bottom