Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Um
"Ukimpenda mtu mwache huru, akirudi huyo ni wako asiporudi ujue hakuwahi kua wako" mwisho wa kunukuu
Asili ya neno mapenzi ni "ridhaa". Yaani mtu karidhika mwenyewe akukabidhi moyo wake, akiamua kuuchukua kutoka kwako basi shukuru Mungu utafute mwingine wa kumbembeleza akukabidhi mtima wake kama huyo aliyeondoka
Shadeeya umenikumbusha msemo mmoja wa wahenga wa kizungu ambao tafsiri yake inasema hivi;Kweli kabisa Ses. Kama hicho kidot cha tano hapo. Nimekicopy hapo chini.
"MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi..."
Kama huyo hapo sasa kuna haja gani ya kumpokea anaporudi. 🙈🙈 Ikitokea anapokelewa basi ujue hayo maigizo hatokaa akayaacha.
Akaaaa. Nakazia aende tu.